Mimi nitafungwa asubuhi mkuu, maana kichwa changu kina mengi ya kuwaza na kufanyia kazi.Hakika mkuu ni kupiga moyo konde.
Sasa nani anamtafuta mwenzake na nani analipa mahali. Mahali ni kama kumnunua mke sasa ukianza kutombesha nje si unanidhulumu niliyekununua.Kwaiyo mkuu wanaume wakitoka nje ya ndoa sawa,ila wanawake ni roho mbaya si ndio
dawa ya moto ni moto.Kwaiyo kutafutia wenzake ndo solution au nn tofauti yake na uyo mkewe itakua ni nn
Kwanini unasema show ya kibabe. Una uhakika gani unampa show yakibabe?Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Mara zote huwa nasema hayana mwongozo, na kwa bahati mbaya tunawapenda wanaotuumiza tunawaumiza wanaotupenda, cha muhimu uwe tayari kuyahimili maumivu bila kuleta madhara makubwa, jambo zuri ni kuwa wewe unaweza. Sio wanawake sio wanaume sote tumekuwa wasaliti, ubaya ni pale mmoja wetu akigundulika.Naomba ujumbe kabisa, na sio mpenzi mtazamaji
Maisha yetu hatatakaa yawe sana hili ni doa kubwa sana na ni ngumu kuubeba huu mzigo moyoni kwa mtu nikae amka nae kitandani kwa miaka yangu/yetu yakuiishi iliyosalia.Mara zote huwa nasema hayana mwongozo, na kwa bahati mbaya tunawapenda wanaotuumiza tunawaumiza wanaotupenda, cha muhimu uwe tayari kuyahimili maumivu bila kuleta madhara makubwa, jambo zuri ni kuwa wewe unaweza. Sio wanawake sio wanaume sote tumekuwa wasaliti, ubaya ni pale mmoja wetu akigundulika.
Usianze upya maana hata utakaempata atakuwa hivyo au awe hatari kuzidi huyo, jipe muda utafakari uyamalize.
unahisi ukipata mwingine hatakuwa hivyo?Maisha yetu hatatakaa yawe sana hili ni doa kubwa sana na ni ngumu kuubeba huu mzigo moyoni kwa mtu nikae amka nae kitandani kwa miaka yangu/yetu yakuiishi iliyosalia.
Makosa ya mtu mmoja isiwe hukumu ya wengiMapema Sana kujibu hili mkuu, muda msema kweli.
Have a class kama mwanaume dont sleep na wake za watuNina mke wa mtu ananisumbua hap ni mshone mumeo ni injinia wa trc anasimamia sgr muda mwingi yuko nje kikaz dad'a ana nyege za kisenge snaa tumepanga kwa aprtmemt moja Hapa bas hata alfajiri anatak aje nimep kimoja nimekatomba mara mbili ila naona kbsa Hapn anaitangenezea majanga
Ujinga huu sasa ulikuwa jingaSaluti nyingi sana kwako....huo ndio uanaume mwanangu....dunia uwanja wa fujo....hayo yamenikuta sana...mwanzoni ilinisumbua sana....baadae nikakomaa....nikaapa sitafuatilia tena....Kuna wakati katika kutafuta maisha nitajikuta naishi na mshangazi miaka zaidi ya 35 iliyopita.....nikawa napangwa mimi ni kaka mtu...napisha chumba nalala sebuleni....jamaa anabandua usiku kucha...na mimi nasikilizia......