Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Msamehe tu,wote wako hivyo
 

Pole sana kiongozi, I can feel your pain
Naona unapitia changamoto kubwa inayohitaji solution kutoka kwa wakubwa...
Binafsi nakushauri yafuatayo;
1. Kabla ya hii changamoto ulikuwa unampenda mke wako kwa dhati?
2. Je mke wako alikuwa anakupenda kwa dhati na mnashirikina kwenye mipango ya familia?
3. Kama majibu ya hapo juu ni NDIO; nafikiri usimuache kwanza ILA jitenge naye kitandani kwa muda, Ila aendelee kukaa hapo kwako (nakushauri pia usipanic kwani unayopitia wanapitia wengi kila siku).
4. Jipe muda wa kutafakari vizuri na pata ushauri kwa watu sahihi. Kumbuka wote tunakosea japo wanapokosea wapendwa wetu (wake zetu) tunapanic sana....na kuishia kutoa maamuzi yasiyo sahihi
5. Wanawake wengi WENYE AKILI akikukosea mara moja, ukamsamehe anakuheshim hadi unamuonea huruma; huwezi jua...unaweza kupoteza dhahabu kwa sababu tu imeangukia kwenye kinyesi cha mtoto Kumbe ungeweza ukaiosha na maisha yakaendelea.
6. Mwisho japo sio kwa umuhimu;
Walio wengi hapa jukwaani ni Serengeti boys (hawajaoa hivyo hawana uzoefu wa masuala ya ndoa); hivyo kuwa mwangalifu kuutumia ushauri wao...
 
Ukimuhoji sana kwanini amefanya hivyo ataanza kukupa lawama na hata kwao anaweza kukupa tuhuma nzito na wewe ndio utaonekana umekosea. Hakikisha jamaa wa pande zote wanajua alichofanya mfukuze leoleo huyo ibilisi.
Sawa mkuu.
 
Zungumzia mazingira utusaidie mkuu
Setting > notifications><advanced > notification history
Mkuuu tuwekeee hiyo mbinu uliyotumia kujua sms zilizofutwa ndani ya saa 48.
Kama umeamua kusema kuhusu mke wako kuchepuka usisite kuweka na Hilo ili umalize yote yaliyomo moyoni mwako.
Tafadhari weka
 
Majibu ni Ndio mkuu.
 
Ndiyo maana Chriss Excell anakwambia cheat on her first before she cheats on you😊,zaa njee hata katoto kamoja. Siku ukigundua upuuzi wake haitauma sana.
Nitaifanyia kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…