Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Umesema vema rafiki....Kwanza shukuru Mungu kwamba hii "safari" yake ya kwenda USA imetokea kabla ya harusi. Fikiria kama baada ya mwezi tangu umuoe ndio angeibuka na hii safari ya "mwezi mmoja" halafu kila siku anakupiga kalenda dada bado hali yake si nzuri hivyo naongeza muda wa kuwepo huku halafu baada ya miezi michache anakwambia "nimepata shule huku hivyo nimeamua kusoma" hapo ndio ungechanganyikiwa zaidi. Mwache aende lakini sioni tatizo la wewe kuona shida kuwaambia Wazazi wako nini kinachoendelea kuhusiana na mkeo mtarajiwa. Pole sana na kila la heri.
Mi naona wazazi wake wataelewa kirahisi kabisa sababu nao walishawahi kufanya hili. amruhusu mdada aende zake, asimng'ang'anie