stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
- Thread starter
- #241
Kaka umesoma hadi la ngapi?
Nina degree mkuu ila nina mpango wa kuendelea kusoma bodi mwaka huu!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kaka umesoma hadi la ngapi?
Hamna mke hapo...
Ki vp labda mkuu?
Maana alikataa kuendelea ili nimuoe vile vile ye mwenyewe hataki kwenda huko ingekuwa labda anahitaji kwenda hapo sawa ningeweza labda kukuelewa!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
ana maanisha utapelekeshwa sana hadi ujute...
ye anakupenda ila ndugu zake watata.
.!!
Kijana Umetegwa na ka Mtihani kadogo tu unayumba yumba... Shaurizako Utakosa Mke hivi hivi waambie utamsubiri huku ukiendelea na Maandalizi ya harusi Yenu... Tego dogo sana hilo wanakupimia... huko walipo wanacheka sana wanajua unavyojichanganya kwa maswali.... bado kuna lingine endapo akifika huko watakuambia mchumba wako amepata kazi na offer ya kusoma Bure hivyo umesubili kwa miaka miwili uchanganyikiwe kabisa... Tafuta humu humu JF wapo wengi wanatafuta waoaji haswa Husninyo sema nae usione so
Tarehe 27/10 natimiza 28
Kwa huyu Binti sidhani maana kama kuna mtu ambaye anahitaji ndoa ni yeye nafikiri kuliko mimi.
Mimi kuwa na 28 sidhani kama bado ni mtoto maana najitambua na nahitaji ndoa kwakweli.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
tatizo lako unalazimisha hiyo ndoa. ndoa haifungwi kwa sababu ya umri au uhitaji wa ndugu
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa!
Ni jana nimepigiwa Simu usiku so sijaenda bado kwa wazazi kuwapa taarifa.
Wangenidharau lkn wasingekubali nimuoe Binti yako japokuwa walikaa miezi6 kunichunguza ndio posa ikakubaliwa.
Mkuu nitaonesh uanaume kivp labda maana Binti hayuko mikononi kwangu so any thing inaweza tokea like kurudishiwa mahari. Msimamo wangu nimekataa asiende huko.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mafumbo hayatakiwi Ustadhat go straight...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mkuu kwangu huu ni mtego mkubwa na si mdogo kama unavyodai,,siwezi kumruhusu kwa kweli bora hata ungesema nishamuoa ndio aende huko America lakini sio sasa hivi kwenye maandalizi.
Mkuu kweli huyu mchumba arukie kwenye gear halafu tena hapo hapo nije kutafuta mwingine? Labda baadae sana
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Asiyejuwa maana haambiwi maana.
Akizingua njoo nioe mimi