Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Usikurupuke kuonyesha uuwanaume wako ukweni,hilo tukio ni kipimo cha umakini na uvumilivu wako kwao,usije ukafanya jambo lolote ukaja kuonekana wa hovyo baadae.we tulia na uangalie nini kitaendelea baada ya yy kuondoka je,ni janja yao akasome? au n kwel kajifungua?,maana kama unavyojua majuu kuweka mfanyakazi wa kuhudumia mzazi ni gharama kubwa lakn kumbuka kwenye ukoo kuna watu weng hawana kazi na kwann wasiwachukue hao kwenda kumsaidia na kumuacha huyu aendelee na mipango yake pia hilo ni la kujiuliza kwa umakin mkubwa.
Kila kitu hutokea kwa sababu
 
Na hata akioa miongo kadhaa anaweza kurudi kulalamika hapa kwamba baba mkwe anampangia maisha ya ndoa.

Kwa maelezo ya huyu dogo.. inaonekana hawa wote, yeye na mwenzie wazazi wao wanaoan kuwa hawajakomaa kuoana, au kuchukuwa maamuzi yoyote ya maana, ndio maana wanapangiwa kila kitu na kulazimishwa.
 
Mkuu watu8 hizo threads ni ya aina moja sema vipindi viwili tofauti
1.Ni Msichana huyo huyo wa mtaa mmoja niliyokuwa namzungumzia, mwanzo nimesema jinsi nilivyompata and 2nd jinsi tulipofikia hadi kutaka kumuoa
2.Kwahiyo ktk Uzi huu si kutaja sababu ya kwanini wazazi walipinga kuchelea itakuwa Uzi juu ya Uzi,,,,ila kifupi ilivyokuwa ni alikuwa na mahusiano na huyo suggar dad wake ambayo hadi wazee walikuja kuambiwa kuwa mkanye kijana wako ambapo mimi baadae ndio nikaja kujitumbukiza kwa huyo Binti.
Nilikuwa kukolea haswaa hadi kuja kusema nataka kumuoa hapo ndipo ilipokuja kuwa utata na wazee na kudai huwezi kumuoa m/Mke ambaye alikuwa na mahusiano na mtu mwingine tena kwa kumpokonya, ni kwamba huyo m/mke atakuja kukufanyia na wewe kitu kama hicho hicho. Kikubwa wazee walipinga na hawakutaka hata kumjua.

Halafu nachoweza nilibadilisha kidogo muda wa kuwa na mahusiano nae kuja kuchelea akija kuuona huu Uzi maana yeye huwa anaingia km guest ila ni mada hizo hizo soma vizuri mkuu.

NAOMBENI tujikite kwenye hii mada mpya maana sikutaka kuyasema haya kutokana tutazungumzia vitu ambavyo vilishapita wakata nataka msaada kwenye hili jambo!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:

Mkuu bado sijakuelewa point yako,,ina maana kukomaa kwangu niende kumchukua ki nguvu au kumzuia kwa wazazi wake safari isiwepo?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Inaweza ikawa huyo mpenzi wako ajatamani kuolewa

Si kweli basi ye ndo ana hamu kubwa sana ya kuolewa kuliko hata mimi navyotamani kumuoa.
Alikataa kuendelea kusoma na amekataa safari.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mh...What goes around, comes around.....
Mkuu hii ni revenge japo wewe inakuonea but ipokee tu, Yule mliomkataa mwanzo hakufurahia yeye na wazazi wake pia, sasa na wewe na wazazi wako mu experience the same pain. Ila pole sana

Ahsante mkuu..

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
JANA NILIMPIGIA SIMU MZEE NA KUMUAMBIA NA MAONGEZI NA YEYE KWA HIYO ASITOKE,,LEO ASUBUHI KAMA LISAA LIMOJA HIVI LILILOPITA NIMEKUJA KUONGEA NAE NA AKAWAPIGIA WASHENGA WANGU WALIOPELEKA POSA NA MAHARI WAMESEMA WATAKUWEPO BAADAE KULIZUNGUMZIA JAMBO HILI...

MZEE KANIHAKIKISHIA KUTOKUWA NA WASI WASI WOWOTE ULE,,,KILA JAMBO LINAPANGWA NA MUNGU

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watu8 hizo threads ni ya aina moja sema vipindi viwili tofauti
1.Ni Msichana huyo huyo wa mtaa mmoja niliyokuwa namzungumzia, mwanzo nimesema jinsi nilivyompata and 2nd jinsi tulipofikia hadi kutaka kumuoa
2.Kwahiyo ktk Uzi huu si kutaja sababu ya kwanini wazazi walipinga kuchelea itakuwa Uzi juu ya Uzi,,,,ila kifupi ilivyokuwa ni alikuwa na mahusiano na huyo suggar dad wake ambayo hadi wazee walikuja kuambiwa kuwa mkanye kijana wako ambapo mimi baadae ndio nikaja kujitumbukiza kwa huyo Binti.
Nilikuwa kukolea haswaa hadi kuja kusema nataka kumuoa hapo ndipo ilipokuja kuwa utata na wazee na kudai huwezi kumuoa m/Mke ambaye alikuwa na mahusiano na mtu mwingine tena kwa kumpokonya, ni kwamba huyo m/mke atakuja kukufanyia na wewe kitu kama hicho hicho. Kikubwa wazee walipinga na hawakutaka hata kumjua.

Halafu nachoweza nilibadilisha kidogo muda wa kuwa na mahusiano nae kuja kuchelea akija kuuona huu Uzi maana yeye huwa anaingia km guest ila ni mada hizo hizo soma vizuri mkuu.

NAOMBENI tujikite kwenye hii mada mpya maana sikutaka kuyasema haya kutokana tutazungumzia vitu ambavyo vilishapita wakata nataka msaada kwenye hili jambo!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Ukisoma comments za wengi utajua msimamo ni upi na kwamba sredi hapa ibakoelekea hakuna ushauri mpya..nilichoona ni kwamba hutaki kuukubali ukweli mkuu..wakubwa zako tumeoa na kuolewa tumeona mengi...

Cc Fixed Point Asprin watu8 Dark City Kongosho cacico
 
Last edited by a moderator:
Bwana mdogo Stata Mzuka, katika umri na uzoefu wangu, hilo ni changa la macho, unaingizwa mjini aka king, kaa chonjo saa mbaya!!! Akili ya kuambiwa changanya na yako!!!

Wewe tulia, suprise ni kitu kizuri kwake, atapata somo. Unaweza ukamwambia sasa akasema poa tu

Hiyo ni kazi ndogo mbona ahirisha shughuli mpaka vumbi litakapotulia in the name of "sababu zilizo juu ya uwezo wako" Miaka miwili kitu gani bana!
By the way una haraka gani?

Mkuu ushaonja apo kweli? Usikute mzuka wako ukaonjee ndani ndio mana una mzuka sana wa kuoa au asije kukuponyoka bila kuonja.

Zingatia, chakula huonjewa jikoni sio mezani! Hahahaaaa!!!!

Kwanza shukuru Mungu kwamba hii "safari" yake ya kwenda USA imetokea kabla ya harusi. Fikiria kama baada ya mwezi tangu umuoe ndio angeibuka na hii safari ya "mwezi mmoja" halafu kila siku anakupiga kalenda dada bado hali yake si nzuri hivyo naongeza muda wa kuwepo huku halafu baada ya miezi michache anakwambia "nimepata shule huku hivyo nimeamua kusoma" hapo ndio ungechanganyikiwa zaidi. Mwache aende lakini sioni tatizo la wewe kuona shida kuwaambia Wazazi wako nini kinachoendelea kuhusiana na mkeo mtarajiwa. Pole sana na kila la heri.

Angekua ameafikiana na wewe asingekubali kwenda angeungana na msimamo wako kama mmewe mtarajiwa.

Sorry to say ila Mkuu huna maamuzi at all na post ndoa utafanya wakwe wakucontrol Kama watakavyo

Duh brother pole kwa mitihani mizito,better step up and make a decision Kama mme sasa,Hamna kwenda mpaka ndoa ifungwe na HAKIKISHA unakomaa kweli kweli

Harusi zinahairishwa tuu mbona, utalazimisha mwishowe yatakua makubwa kuliko uyaonavyo sasa.

Ahsanteni kwa pole
Ahsanteni kwa michango yenu wakuu. Tuko pamoja

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ukisoma comments za wengi utajua msimamo ni upi na kwamba sredi hapa ibakoelekea hakuna ushauri mpya..nilichoona ni kwamba hutaki kuukubali ukweli mkuu..wakubwa zako tumeoa na kuolewa tumeona mengi...

Cc Fixed Point Asprin watu8 Dark City Kongosho cacico

Nashkuru wakuu kwa ushauri wenu lakini sio kwamba nilikuwa sitaki ni katika kuweka sawa hili Jambo na ushauri mbalimbali kupata.
Waswahili wanakuambia miluzi mingi humpoteza Mbwa,,,sasa hapa na wasubiri WASHENGA tuone Jambo hili litafikia wapi!

Ahsanteni sana wakubwa zangu. Much love

Poa tutafurahi kama utatupa feedback haraka hali itavokuwa
 
JANA NILIMPIGIA SIMU MZEE NA KUMUAMBIA NA MAONGEZI NA YEYE KWA HIYO ASITOKE,,LEO ASUBUHI KAMA LISAA LIMOJA HIVI LILILOPITA NIMEKUJA KUONGEA NAE NA AKAWAPIGIA WASHENGA WANGU WALIOPELEKA POSA NA MAHARI WAMESEMA WATAKUWEPO BAADAE KULIZUNGUMZIA JAMBO HILI...

MZEE KANIHAKIKISHIA KUTOKUWA NA WASI WASI WOWOTE ULE,,,KILA JAMBO LINAPANGWA NA MUNGU

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Kinachonishangaza Mimi ni kwann wazazi wa huyo mchumba wako wameshindwa kuwasiliana na wazazi wako ktk suala Hilo la safari ya binti?!!! Badala yake wewe ndio umefikishiwa ujumbe wa hiyo safari kupitia kwa mchumba wako!!! It's strange hakuna hekima wala busara kutoka kwa wazazi wa huyo mchumba wako na kitu kinachonipelekea niamini hiyo safari hatorudi vinginevyo wazazi wake wangewasiliana na wazazi wako ili kuwaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na kuwahakikishia binti Yao atarudi ktk muda uliopangwa ili mfunge ndoa.
 
Ukisoma comments za wengi utajua msimamo ni upi na kwamba sredi hapa ibakoelekea hakuna ushauri mpya..nilichoona ni kwamba hutaki kuukubali ukweli mkuu..wakubwa zako tumeoa na kuolewa tumeona mengi...

Cc Fixed Point Asprin watu8 Dark City Kongosho cacico
kwamba hujanimenshen ndo kusema mi
-sijaolewa
-sijaona mengi
-sio mkubwa kwa stata mzuka
AU?
we haya!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom