stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Hapa mtaan kuna msichana m1 mwaka wa2 ktk chuo kimoja maarufu nimekua nae ktk mahusiano km mwez wa3 now, ana SugarDaddy ake na ndo aliyempangishia chumba na kutoa huduma zote ila halal ni anakuja na kuondoka kwn ana familia yake, huyu msichana sikumtongoza 2likua na mazoea ya hpa na pale ila kila m2 alikua na feeling na mwenzake,,nilimuomba 2toke out moja cku hyohyo 2kajikuta In Relationship kwn nilikula denda za kutosha,,,alikua waz hakuficha ki2 kunieleza kuhusu uhusiano wao kutokana na kumuelewa nilikubali kuwa"kidumu"na huyo mzee awe"ndoo"Alinipa sharti mm na yy ni kuwa just a game na sio kuwa Deep japokuwa mm ckua na msichana mwngne...Tatizo ambalo nashindwa kumuelewa ni amekuwa na wivu kupindukia akiniona na msichana yyte yule au akikuta cm yng ina2mika,km kuna cku1 alikuta picha yaX wng alini2mia whatsapp ilikua ugomvi na kununa cku3 japo nilimuhakikishia ni best yng kwn ana m/ume ake ila yy hatak hta nicwe na mawacliano nae yoyote na kuniambia akigundua na mahusiano na mwingne atajua atakachofanya kwn anadai anahic namsaliti yaan kifupi huyu bi.dada kawaka na mm..NAOMBEN USHAURI KWANI IMESHAKUWA KERO