Niko Dilemma wana MMU...

stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
Mimi ni kijana around 30yrs kuna Binti mmoja naDate nae for 3ys now tokea ye yupo chuo mwaka wa kwanza hadi anamaliza,sasa imefikia kipindi nahitaji kumuoa kwa kweli ukizingatia tupo dini moja na nampenda na ananipenda pia.

Sasa ishu inakuja hivi,,jinsi nilivyompata huyo Binti ni Left foot kwamba nilimkuta na mtu wake wapo kwenye mahusiano na yeye aliniambia ukweli wote kuwa ana mtu wametoka mbali na kamsaidia mambo mengi tokea anasoma chuo(jamaa alikuwa anafanya kazi kipindi hicho anasoma) kama ujuavyo tena Wanaume hatukubali kushindwa nikaomba walau urafiki tu, tukaanza outing za hapa na pale mwisho wa siku Automatic tukajikuta wapenzi na kulila lile tunda. Binti akawa anatuchanganya mi na jamaa ila mimi najua mchezo mzima ye jamaa hajui lolote lile hadi sasa hivi kwa muda wa miaka mi3. Na Binti anataka nimuoe maana jamaa hajawahi kumgusia hilo neno hata siku moja pia wapo tofauti dini zao jamaa ye ni Muislam.

Mosi, sasa wasiwasi wangu ni huu jinsi nilivyompata huyu Binti na ukizingatia bado ana mahusiano na sisi wote na alishaniambia ye yupo tayari kumuacha jamaa kama nikiwa tayari kumuoa.
Pili, Inaelekea Binti bado anampenda kiasi flani jamaa hasa alivyomsaidia kipindi hicho anasoma.SERIOUS hii ishu naomba utani pembeni. Mwerevu hupimwa na majibu yake Mjinga nae hupimwa kwa majibu yake sasa ili usionekane mjinga kama huna cha kunisaidia ni bora ukawa msomaji tu.
 
Franky

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
1,447
2,000
Ningekuwa mimi ningefuata moyo wangu as long as I love the lady I've no fear. Kama atatulia na wewe atatulia tu kama hawezi kutulia akaendelea na jamaa ataendelea tu. Kwanza si ulijua yupo na mshikadau mwingine for the all period? You prayed for rain why are you afraid of storm? Komaa
 
Ndio mkuu nilijua kama yupo na mtu mwingine ila mi ilikuwa just a game tu ndo makubaliano yetu,,sasa mapenzi ni mchezo wa hatari nimejikuta kwasasa nimezama mazima yaani nahisi namuhitaji nimuite Mke wangu.
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,206
2,000
!
!
haya.....
kwa maelezo yako huyo binti ndio star wa movie nzima hapo na wewe na huyo jamaa wa nje ni macosterling tu! kimsingi na kifupi tu ni kwamba you both are playing at her rules na ndio maana mpaka leo huyo jamaa yake hajajua. Na wewe kujua kuwa ana mtu sio kwamba wewe ni mjanja sana au anakupenda sana, la hasha ila ni muhimu wewe kujua ili mambo yawe kama yalivyo leo. Kifupi amekutumia kwa kipindi chote hicho, na alikuwa anapata mazuri toka huku na huku. Wewe kwa uboya wako kwa kujua kuwa ana mtu ukawa very royal to her na usikute na wewe ulikuwa unatupia msaada vilevile.
Kumuoa au kutokumuoa inategemea na mambo mengi ambayo nadhani hapa hujayaweka wazi
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,828
2,000
Hahahahahaaa,,,,
We Jamaa Demu wa kuiba huku unajua kabisa ana mtu 'ake hafai kuoa,
Nakushauri achana naye au endelea tu kula mzigo huku unasaka demu wa kuoa.
Tofauti na hapo basi jiandae na maumivu ya moyo pale atakapokuwa anaendelea kuliwa mzigo na Msela.
 
stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
Hahahahahaaa,,,,
We Jamaa Demu wa kuiba huku unamjua Jamaa 'ake hafai kuoa,
Nakushauri achana naye au endelea tu kula mzigo huku unasaka demu wa kuoa.
Tofauti na hapo basi jiandae na maumivu ya moyo pale atakapokuwa anaendelea kuliwa mzigo na Msela.

Inawezekana lakini sema nashkuru maana tahadhari kabla ya hatari. Japo alishasema nikimuoa hatokuwa na mahusiano nae.
 
stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
!
!
haya.....
kwa maelezo yako huyo binti ndio star wa movie nzima hapo na wewe na huyo jamaa wa nje ni macosterling tu! kimsingi na kifupi tu ni kwamba you both are playing at her rules na ndio maana mpaka leo huyo jamaa yake hajajua. Na wewe kujua kuwa ana mtu sio kwamba wewe ni mjanja sana au anakupenda sana, la hasha ila ni muhimu wewe kujua ili mambo yawe kama yalivyo leo. Kifupi amekutumia kwa kipindi chote hicho, na alikuwa anapata mazuri toka huku na huku. Wewe kwa uboya wako kwa kujua kuwa ana mtu ukawa very royal to her na usikute na wewe ulikuwa unatupia msaada vilevile.
Kumuoa au kutokumuoa inategemea na mambo mengi ambayo nadhani hapa hujayaweka waziMkuu sijawahi kumsaidia kama unavyofikiria sanasana ishu ndogondogo ambazo sioni kama napoteza kitu tena hadi pale napopenda au kijiskia mimi kwani hajawahi kuniomba chochote hadi napojishtukia mwenyewe mbona.

Sababu ambayo nayo sema mpaka nataka awe wife to be ni kwamba nahisi nampenda sana japo nilimchukulia a hooker tu hapo mwanzoni. Pili umri unasogea nianze tena kutafuta mwingine.
AnavyoniTreat mimi ndo kabisaaa.
 
WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,900
2,000
Tengeneza gogoro, waachane kwanza ndo muendelee na mipango yanu ya kuoana. Otherwise, tulia itokee yenyewe siyo kwa kulazimisha huenda jamaa naye hana mpango wa kumuona mtu asiyekuwa dini moja naye.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,401
2,000
Kitu ya namna hii ilinitokea kwa x wangu. Mimi ndio nilikuwa nammiliki kabla. Jamaa aliyemuoa alichofanya alitafuta namba yangu ya simu na akanieleza kila kitu jinsi binti anavyotuchanganya na yeye anataka kumuoa. Nilipofuatilia na kumuuliza binti mwenyewe akakiri. Yule jamaa akawa amesolve tatizo lake namna hiyo, na baada ya miezi 6 tangu tuachane wakaoana. Ushauri wangu msome jamaa kama hatembei na cha moto na ni muelewa muelezeni ukweli.
 
stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
Tengeneza gogoro, waachane kwanza ndo muendelee na mipango yanu ya kuoana. Otherwise, tulia itokee yenyewe siyo kwa kulazimisha huenda jamaa naye hana mpango wa kumuona mtu asiyekuwa dini moja naye.

Kumuachanisha na jamaa siwezi japo roho inauma.
 
stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
Kitu ya namna hii ilinitokea kwa x wangu. Mimi ndio nilikuwa nammiliki kabla. Jamaa aliyemuoa alichofanya alitafuta namba yangu ya simu na akanieleza kila kitu jinsi binti anavyotuchanganya na yeye anataka kumuoa. Nilipofuatilia na kumuuliza binti mwenyewe akakiri. Yule jamaa akawa amesolve tatizo lake namna hiyo, na baada ya miezi 6 tangu tuachane wakaoana. Ushauri wangu msome jamaa kama hatembei na cha moto na ni muelewa muelezeni ukweli.

Pole mkuu na wewe ila ushauri mzuri umenipa,,,hahahah eti cha Moto sio Mchaga jamaa ake.
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,546
2,000
Kosa kubwa ulilofanya ni kukubali kuchanganywa huku ukijua you are serious with that lady. Mwambie achague moja wewe au yeye. Lakini kuwa makini kama jamaa yake ni mchaga, unaweza ukapotea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom