Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

ungekuwa kaka yangu ningepata wasiwasi na hiyo familia utakayoiendesha,maana itakushinda kama sio kukuua kwa presha

Hahahaha next time jaribu hata kwa kuzuga kuwa kama Maria Magdalena LOL
 
Lakini dada yangu umesoma tokea mwanzo Uzi huu?
Kikubwa Binti bado yupo kwao bado hajaja nyumbani kwangu.
Na kuhusu msimamo wangu nimeshamwambia siitaki hiyo safari na yeye akiwa mmoja wapo anaafikiana na mimi.

Sasa wasiwasi wako unakuja vipi nikamchukue kwa nguvu kisa tu nimeshatoa mahari au ki vpi?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Dogo,

Kama msimamo wako ndo huo..... na msimamo wako ni kama wa mke/mchumba wako..... Unachanganyikiwa nini sasa?????

Nikiangalia kwa upande wa kiumeni, mtu wa kuchanganyikiwa hapa ni huyo binti mchumba/mke wako na sio wewe.... Eti Asnam nimekosea??? anapotokea matatizo kwa upande wa ukweni, mme inakuhusu nini mpaka uchanganyikiwe? Follow your heart, follow your decision na bahati nzuri sana SUPPORT your wife!!! Unachanganyikiwa nini sasa???
 
Tell me hapo kwa red...... kweli baada ya kutoa mahari hukukabidhiwa mke???? Kabila gani hilo???? Mi nna uzoefu na haya mambo kwenye makabila mengi. Wakishapokea mahari unakabidhiwa mke. Kinachotokea ni muoaji kuwaomba wakwe waendelee kukaa na binti kwa kuwa kuna taratibu nyingine za kidini zinategemea kufuatwa..... Tena tarehe ya harusi hupangwa hapohapo......

Labda mi ni mzee wa miaka ya kizamani..... I stand to be corrected.

Ukishatoa posa then ikakubaliwa ni mahari kinachofuata, hiyo mahari sasa ndio kishika Uchumba so, hawezi tena kuchumbiwa na mtu mwingine au ije posa nyingine.
Baada ya hapo kinachofuata ni ndoa na kuwa Mke wangu halali. Ndio maana huwezi kupewa cheti cha ndoa ukiwa kwenye Uchumba unapewa ukishafunga ndoa.
Sishindwi kumchukua nikaishi nae lakini siwezi kufanya hivyo km wazazi wake hawajaridhia.
Nafikiri babu Asprin umenielewa kidogo?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Lakini dada yangu umesoma tokea mwanzo Uzi huu?
Kikubwa Binti bado yupo kwao bado hajaja nyumbani kwangu.
Na kuhusu msimamo wangu nimeshamwambia siitaki hiyo safari na yeye akiwa mmoja wapo anaafikiana na mimi.

Sasa wasiwasi wako unakuja vipi nikamchukue kwa nguvu kisa tu nimeshatoa mahari au ki vpi?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

tatizo lako hutakiwi ila unalazimisha,huyo mwanamke wa miaka 25 ni wa kufungashiwa mabegi bila idhini yake,na yeye anakudanganya mchana kweupe @ nalazimishwa hahahaha your not serious hata kwenye ndoa ataambiwa aende likizo nyumbani kwao mwaka mzima
 
Hahahaha next time jaribu hata kwa kuzuga kuwa kama Maria Magdalena LOL

mie ni wale wanawali waliozimikiwa vibatari bora niende dukani nifungiwe geti kuliko kumshuhudia huyu bwana harusi
 
Dogo,

Kama msimamo wako ndo huo..... na msimamo wako ni kama wa mke/mchumba wako..... Unachanganyikiwa nini sasa?????

Nikiangalia kwa upande wa kiumeni, mtu wa kuchanganyikiwa hapa ni huyo binti mchumba/mke wako na sio wewe.... Eti Asnam nimekosea??? anapotokea matatizo kwa upande wa ukweni, mme inakuhusu nini mpaka uchanganyikiwe? Follow your heart, follow your decision na bahati nzuri sana SUPPORT your wife!!! Unachanganyikiwa nini sasa???

Ni kweli nina support ya huyo mchumba wangu.
Vile vile mkuu usichukulie Jambo kirahisi tu na kusema nachanganyikiwa nini, let say ni wewe mmekubaliana pande zote mbili na tarehe ya ndoa halafu yanatokea mauza uza kama haya ni utacheka au kuchukulia so simple?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Dogo,

Kama msimamo wako ndo huo..... na msimamo wako ni kama wa mke/mchumba wako..... Unachanganyikiwa nini sasa?????

Nikiangalia kwa upande wa kiumeni, mtu wa kuchanganyikiwa hapa ni huyo binti mchumba/mke wako na sio wewe.... Eti Asnam nimekosea??? anapotokea matatizo kwa upande wa ukweni, mme inakuhusu nini mpaka uchanganyikiwe? Follow your heart, follow your decision na bahati nzuri sana SUPPORT your wife!!! Unachanganyikiwa nini sasa???

hujakosea baba yangu,hebu kung'uta miguu ulale mwenye masikio kasikia
 
tatizo lako hutakiwi ila unalazimisha,huyo mwanamke wa miaka 25 ni wa kufungashiwa mabegi bila idhini yake,na yeye anakudanganya mchana kweupe @ nalazimishwa hahahaha your not serious hata kwenye ndoa ataambiwa aende likizo nyumbani kwao mwaka mzima

Sitakiwi ki vipi labda? Kwanini wasingekataa tokea posa ilivyokuja?
Naomba unieleweshe kwa hili!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Red: Huo ndio ukweli halisi..... bila kutafuna maneno. Bahati mbaya sana huyu bwana harusi asiyetakiwa hajaelewa hili fumbo jepesi sana.

Blue: Ntawapelekaje jando wakati weye nliekutegemea unipe sapoti na juche uliingia mitini namna hii? I hate missing you ujue. Usirudie tena tafazali.

sitarudia tena babu,kasimu kangu kananinyima fundamental right ya kukugongea likes dah God forbid
 
Ukishatoa posa then ikakubaliwa ni mahari kinachofuata, hiyo mahari sasa ndio kishika Uchumba so, hawezi tena kuchumbiwa na mtu mwingine au ije posa nyingine.
Baada ya hapo kinachofuata ni ndoa na kuwa Mke wangu halali. Ndio maana huwezi kupewa cheti cha ndoa ukiwa kwenye Uchumba unapewa ukishafunga ndoa.
Sishindwi kumchukua nikaishi nae lakini siwezi kufanya hivyo km wazazi wake hawajaridhia.
Nafikiri babu Asprin umenielewa kidogo?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kama nimekuelewa vizuri, umeshatoa mahari, right??? Kama sio basi tuishie hapa.

Kaswali ka uzushi hapo kwa red..... unaoa kwasababu ya kutegemea kupata cheti cha ndoa??? Dakita tano ukienda pale Manispaa unakabidhiwa cheti cha ndoa..... chapchap sana. Kijana kama ishu ni cheti cha ndoa, endelea sana kuwasikiliza wakwe zako, utasota sana kukipata kwa mtindo huo. Kila la kheri lakini.
 
sitarudia tena babu,kasimu kangu kananinyima fundamental right ya kukugongea likes dah God forbid

Na unajua navoimiss like yako ni sawa na saluni inavyomiss nywele??

Kaambie kasimu kako sikapendi kama ambavyo siwapendi Al Shaabab.
 
Sitakiwi ki vipi labda? Kwanini wasingekataa tokea posa ilivyokuja?
Naomba unieleweshe kwa hili!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

ulishasikia wapi posa inachukua miezi sita karne hii ya dijitali,umesema mwenyewe wazazi walitaka asome hivyo wamekubali shingo upande,sahizi route ya kulea mtoto mmmh kwani hakuna yaya huko hadi yeye? nasubiri utuletee majibu utakayopewa kesho na wife to be
 
Na unajua navoimiss like yako ni sawa na saluni inavyomiss nywele??

Kaambie kasimu kako sikapendi kama ambavyo siwapendi Al Shaabab.

hahahaha nakachukia kama al kaida
 
hujakosea baba yangu,hebu kung'uta miguu ulale mwenye masikio kasikia

Amina mjukuu wangu mpendwa. Amina sana.

Wacha babu nikalale.

Usisahau babu yako nakupenda sana.

Ulale salama mpenzi.
 
ulishasikia wapi posa inachukua miezi sita karne hii ya dijitali,umesema mwenyewe wazazi walitaka asome hivyo wamekubali shingo upande,sahizi route ya kulea mtoto mmmh kwani hakuna yaya huko hadi yeye? nasubiri utuletee majibu utakayopewa kesho na wife to be
Hahahahaha mjukuuu bhana.... Malekani hakuna Yaya..... yaya wa Malekani shulti awe anasoma Mastaz..... Stuka Asnam..... Think!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha mjukuuu bhana.... Malekani hakuna Yaya..... yaya wa Malekani shulti awe anasoma Mastaz..... Stuka Asnam..... Think!!!!

nathinki bigi kama gugo.Gudnyt
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli nina support ya huyo mchumba wangu.
Vile vile mkuu usichukulie Jambo kirahisi tu na kusema nachanganyikiwa nini, let say ni wewe mmekubaliana pande zote mbili na tarehe ya ndoa halafu yanatokea mauza uza kama haya ni utacheka au kuchukulia so simple?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Problem is not your fiancee..... problem is YOU!!

CC: cacico
 
Last edited by a moderator:
Kama nimekuelewa vizuri, umeshatoa mahari, right??? Kama sio basi tuishie hapa.

Kaswali ka uzushi hapo kwa red..... unaoa kwasababu ya kutegemea kupata cheti cha ndoa??? Dakita tano ukienda pale Manispaa unakabidhiwa cheti cha ndoa..... chapchap sana. Kijana kama ishu ni cheti cha ndoa, endelea sana kuwasikiliza wakwe zako, utasota sana kukipata kwa mtindo huo. Kila la kheri lakini.

Nimeshatoa mahari tayari
Lakini babu kumbuka kuna Mila, tamaduni na Imani,,,hivi ni vitu vitatu tofauti.
Unazo sema wewe ni Mila kuwa ukishatoa mahari tayari ni Mke sasa hapo inapingana na Imani yangu na yake.
Vile vile kuna tamaduni ambazo m/ume akishajitambulisha tu kwa wazazi wa m/mke anaweza kumchukua na kuishi nae kama Mke wake bila ndoa.

Sasa hapa lazima tuwe na mitazamo tofauti kwa kila mmoja wetu.

Kijana wangu, hapa nadhani ntakuwa fair kama nta- rest my case..... Kama ni ishu ya imani..... nakutaka radhi.

Kila mtu ana imani yake. Endelea na imani yako mkaka. Ila unachokosea, kama umeamua kujifunga na imani hupaswi kulalamika.... fuata imani yako. Subiri akawe yaya wa dada yake Marekani kwa kuwa imani inaruhusu.... subiri chochote utakachoambiwa na wakwe kwa jina la imani. Inaruhusu. Mwisho wa siku utajagundua mahusiano ya mke na mme, watu wawili mliokulia katika malezi/imani/uwezo/mafunzo tofauti kuendeshwa na imani ni sawa na utumwa. Ushauri wangu ni SIMAMIA MAAMUZI YAKO kama baba wa familia. Baada ya kusema hayo ngoja nikutakie mafanikio mema na maandalizi mema ya ndoa yako.

Mungu akubariki sana.

Wasalaam, Babu ODM.
 
Back
Top Bottom