Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

mkuu una umr gani?....unaweza kumwacha mtu unae mpenda kisa wazaz, kwani wazaz ndio wanaenda kuushi nae!
 
Safi sana mkuu, SASA INABIDI UHESHIMU MAONI YA WAZAZI WA MWENZIO PIA, KAMA WANAONESHA KUTOKUTAKA NDOA INA MAANA HAWAKUTAKI, KAMA TU WAZAZI WAKO WASIVYOMTAKA MCHUMBA WAKO WA KWANZA!!

Hili linawezekana kabisa....kuwa na yeye anakataliwa kama alivyokataliwa binti wa watu.....
 
Mkuu hapa busara zaidi zinatakiwa yawezekana kweli dada mtu amejifungua anahitaji msaada wa kibinadamu kama alivyodai lakini pia yawezekana hofu yako ikawa kweli,nakuomba tumia njia zote ili kuthibitisha kama kweli dada mtu kajifungua then utajua pakuanzia.
 
Mungu ana njia nyinngi kuepusha majuto ambayo utayajutia maishan. Ndoa sio jambo dogo kaka. Mshukuru Mungu mno maana kuna kitu anakuepushia

Mawazo yako yanafanana na yangu mkuu!!
 
Kwahiyo mkuu na wewe uko radhi ukosane na wazazi wako kisa m/mke?
Kwangu mimi m/mke nitaiweka kupata mwingine lakini sio kupata mzazi mwingine. Period


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hahaha utakuwa huoi au ukioa ndoa itakushinda utakuwa unaenda kwa wazazi kila wakati kwa issue ndogo tu....umeshakuwa mkubwa for Gods sake u need to make ur own decisions..
 
dont force marriage else inaweza kuwa ya majuto baadae....Ipe muda na utapata majibu sahihi
 
Hii imekula kwako kwanza unaonekana kwamba we una value katika familia yao,kama ungekuwa na value wangesamini ndoa,pili huyo dem akupendi kama anakupenda angegoma kwenda kwa ajiri yakoa,hapo ndoa hakuna kaka
 
Ajiulize kama baba yake anakubali amri za babu yake kwake.

Ila kwa msimamo wako huu, nakuhakikishia utateseka sana... lazima wewe kama mwanaume uwe na msimamo wako.. nakuambia kwa uzuoefu wa miaka mingi kwenye ndoa..

Huwakatalii, ila unawaelekeza kwa heshima kubwa.. sijui wewe utaamua vipi ugomvi wa mkeo na mama yako.. maana huo mara chache sana kukosa kutokea... sijui utaacha wangapi..
 
Amen. Bora aibu kuliko kukosa aman katika maisha yako yaliyobakia
 
Mkuu nashkuru sana sema Jambo hili lisikie tu kwa mwingine lisikukute,,,mwanzo nilikuwa nasoma tu na kusikia kuwa bibi harusi kamkimbia jamaa, sasa naona linanikuta!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

yamenikuta ndo maana nakwambia,,,,let it go
 
Labda chozi la yule binti alokataliwa na wazazi wako ndo linalipwa, na wewe unakataliwa na wazazi wa mtarajiwa wako...labda Karma...

Ila tuliza moyo, kama ndoa ipo ipo tu, hata aende wapi...atarudi.

Karma is a bitch,pole mkuu..
 
mwambie hutaki aende kama akikataa jua changa la macho. huu ushauri wa mtu mzoma
 
Mdogo wangu ushauri wangu ni huu

  • Mwambie huyo mkeo mtarajiwa kuwa hujaafiki hilo suala, ila usimlazimishe kubaki,uanaume wa kweli haupimwi kufosi vitu.
  • Ndoa hailazimishwi, ukimlazimisha kubaki na kweli ukamuoa, sawa utakuwa umefanikiwa lakini utakuwa umemlazimisha binti na wazazi, ndoa haitakuwa na amani.
  • Inawezekana ikawa ni hofu zako tu, lakini binti na wazazi hawana mpango wa kumtorosha, let time provide u the answer.
  • Waambie wazazi na watu wengine muhimu juu ya hili mapema, itakusaidia kupunguza shock kama kweli akitoroka/toroshwa
  • Wewe bado kijana mdogo, hivyo hakuna haja ya kuona kama unachelewa kuoa,hata isipo-happen saiv bado una muda wa kutosha

Mkuu ushauri wako mzuri sana na ni kitu ambacho nachokifikiria sasa hivi.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mkuu, SASA INABIDI UHESHIMU MAONI YA WAZAZI WA MWENZIO PIA, KAMA WANAONESHA KUTOKUTAKA NDOA INA MAANA HAWAKUTAKI, KAMA TU WAZAZI WAKO WASIVYOMTAKA MCHUMBA WAKO WA KWANZA!!

Rudia mwanzo mkuu nilishasema hili kuwa hawajanikataa


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Unalizamisha mambo mkuu.Acha binti akasome kama wazazi wake wanavyotaka.Si busara kufunga ndoa ambayo haina baraka ya wazazi wa pande zote mbili

Ni kweli mkuu ndoa ambayo haina baraka haifai lakini kumbuka sikulazimisha,,ingekuwa nimepeleka posa halafu wamekataa ingekuwa kweli lakini hadi tukaitwa majibu yamekubaliwa na wakapanga mahari juu so, sidhani kama nililazimisha mkuu.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
mkuu una umr gani?....unaweza kumwacha mtu unae mpenda kisa wazaz, kwani wazaz ndio wanaenda kuushi nae!

NinaAproach 28 mkuu...
Hilimla pili nimelitolea ufafanuzi humu zaidi ya mara 5


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Rafiki, hapa sijui niseme kuna kitu gani kinataka kuingia.......
Ni binti huyu huyu ambaye wazazi na ndugu zake woooteeee walikataa asiolewe na jamaa kwa kisingizio cha kusoma..... Mimi niliolewa nikiwa undergraduate, ingawa kwa zengwe but mpaka sasa nadunda tu na ndoa yangu.......
sasa inaonekana kabisa wazazi + binti waliona sababu waliyoitoa mwanzo kwa sasa ime-expire wanatafuta sababu nyingine...... Hapa mtoa mada naona ajipange tu. Azungumze na huyo binti, kama kweli anampenda basi afanye maamuzi magumu, la sivyo amwache aende maana anaweza kumsababishia kuwa na ndoa ya majuto miaka yote.
On the other hand, Mtoa mada akumbuke pia kuwa mdada wa mwanzo alimuacha sababu ya kuogopa baraka za wazazi. kasema wazi kuwa kwake yeye wazazi ndo kila kitu kwake, anataka baraka za wazazi wa pande zote ili aishi kwa amani katika ndoa. sasa kwa nini sasa hataki mwenzake naye apate baraka za wazazi? haoni kwamba kwa kumkataza binti asifwate watakavyo wazazi basi atakosa baraka kwenye hiyo harusi yake?
Unalopenda kufanyiwa basi na wewe watendee wenzio sawa.
Nakutakia maandalizi mema ya harusi.

Nashkuru sana mkuu kwa mchango wako,,,naomba uniambie kidogo hilo Zengwe ulilivuka vipi? By the way, wazazi wake nitawalaumu kufa kwa kukubali mahari na tarehe ya ndoa pia.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom