Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Hivi wazungu wana mahari?

Kama sio, wanakubaliwaj kuoana kanisani?

Nia yangu ni kujua nafasi ya mahari kwenye dini, hasa ya kikristo. Najua waislam/waarabu wana mahari, na mara nyingi hupewa binti anayeolewa.

Ila wasukuma, mahari ndio ndoa halali, mengine ni usomi na ustaarabu wa kisasa. Tena ikishapokelewa, mzazi anawaambia kabisa waje kumbeba mwali wao, kama ni taratibu za dini watazifuata wakiwa huko kwao, yeye hana dhamana ya kumtunza tena.

Mwanasheria wangu na msomi EMT , ukiondoa hizi dini zilizoletwa na meli/ndege. Kiafrika zaidi, mtu akishatoa mahari na kukubalika, mwali anakuwa hajaolewa?

Kama mleta mada ametumbukiza hoja yake kwenye dini..... hizi dini zinakubalije mahari?? Ni ahsante kwa mzazi au mhuri wa ndoa??
 
Umekuja JF kuomba ushauri. Tutakupa mkuu. Inaonekana ulikua na ndoto za kuoa mke ambae ni wa certain class. Your first fiancé alikua na mtu ambae I get a feeling alimuweka in good life then wewe ukampenda kwa class aliokua nayo. Huyu wa pili ukataka umeintain the same class. Sema kwao wako okay na hilo ndio tatizo. Hawawaeshimu. Trust me atashika mimba utaambiwa akazalie marekani.
Maamuzi afanyayo mwaname uwe na kifua cha kuyabeba. Ukioa katika familia ambayo inauwezo kuliko wa kwako kubali kupata challenge nyingi tu mkuu.
Tafuta mzee kwenye busara aongee na baba mkwe kuhusu concern zako, na wawe wawazi kama ndoa ipo au la. Wakikataa usifosi mkuu. Kama Mungu alikupangia basi atakua wako. Kama hakupanga move on with your life.
 
Acha kulazimiasha mambo kwa sababu ya u-USA na wewe, ndiyo matatizo ya kupenda kila msichana unayeonana naye. Kwani hauna shughuli ya kufanya ukahamishia mawazo yako huko wakati unawaacha hao wa USA nao waangaike wenyewe?
 
kwamba hujanimenshen ndo kusema mi
-sijaolewa
-sijaona mengi
-sio mkubwa kwa stata mzuka
AU?
we haya!

We ni mwalimu
-umeolewa
-umeona mengi
-mkubwa kwa stata mzuka
-unanipenda.

Nakuletea chikirimu taam ya azam
 
Last edited by a moderator:
wazazi wanapaswa kusikizwa kama hakuna madhara, kwani akienda si atarudi na utafanya hiyo harusi, nnaloliona kosa lao ni kutowasiliana na wazazi wenzao juu ya safari ya binti azawise kwenda sio issue
 
stata mzuka huu msuli unaoudindisha hapa ungeutumia kurestore ur manhood ungefanya booooooooooooonge la akili!
hii debate unayoiendeleza hapa nahs haikusaidii!
maana msimamo uliokuwa nao page 1 umebaki nao mpk page 19!
kwangu mimi mwalimu learning haijatake place
ningesoma ds ningesema development hamna!
 
Last edited by a moderator:
Naogopa sana mwanaume anayeona wazazi ndio kila kitu, sijui mimi na wanangu hatma yetu katika hiyo ndoa
 
Hivi wazungu wana mahari?

Kama sio, wanakubaliwaj kuoana kanisani?

Nia yangu ni kujua nafasi ya mahari kwenye dini, hasa ya kikristo. Najua waislam/waarabu wana mahari, na mara nyingi hupewa binti anayeolewa.

Ila wasukuma, mahari ndio ndoa halali, mengine ni usomi na ustaarabu wa kisasa. Tena ikishapokelewa, mzazi anawaambia kabisa waje kumbeba mwali wao, kama ni taratibu za dini watazifuata wakiwa huko kwao, yeye hana dhamana ya kumtunza tena.

kwetu ungonini ukishatolewa mahari unatamkiwa kabisa na babako !
wewe sasa ni mke wa mtu!
hahahahaha salama yangu.nikichelewa kurudi ni nirudishwe na mchumba usiku huo!
sasa hii ya baba mkwe kuahirisha kupanga safari za binti inanishitua kidogo!
tafsiri yangu
ZEREU TU ZINAENDELEA HAPA!
 
Umeona eeehh...hataree
 
WAKUU TUMESHAFIKIA TAMATI YA KIKAO...
BABA MKWE KAPIGIWA SIMU NA WASHENGA KUWA WANAHITAJI KUONANA NAE KWA MAZUNGUMZO ZAIDI NA KATOA UDHURU YUKO SAFARINI ILA BY THE DAY AFTER TOMORROW ATAKUWA AMESHARUDI KWAHIYO WAKAONANE SIKU YA ALHAMISI SAA 10 JIONI NYUMBANI KWAKE....

MAAZIMIO YA KIKAO NI:-
Tulivyoafikiana swala la kughairisha ndoa halipo na haliwezi kukubalika (kwasababu sisi waoaji ndio tuliopanga siku ya ndoa na kama kughairisha ni sisi) kama swala la kwenda na kurudi ni kuwa tufunge ndoa kuhusu mambo mengine Sherehe sijui na nini huko yaje baadae,,ya huo mwezi atakao rudi. After all sisi ni Waislam wote hakuna haja ya kufanya Jambo liwe kuuubwa hadi lini sijui kwani kuna inawezekana hata siku ile tuliyopeleka mahari nikafungishwa ndoa kabisa kwa mujibu wa dini inavyosema!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
heee kumbe hamkuchangisha hata watu, hamkukodi hata ukumbi, hakuna gharama za before, au kwenu cost sio ishuuuu
 
WAKUU TUMESHAFIKIA TAMATI YA KIKAO...
BABA MKWE KAPIGIWA SIMU NA WASHENGA KUWA WANAHITAJI KUONANA NAE KWA MAZUNGUMZO ZAIDI NA KATOA UDHURU YUKO SAFARINI ILA BY THE DAY AFTER TOMORROW ATAKUWA AMESHARUDI KWAHIYO WAKAONANE SIKU YA ALHAMISI SAA 10 JIONI NYUMBANI KWAKE....

MAAZIMIO YA KIKAO NI:-
Tulivyoafikiana swala la kughairisha ndoa halipo na haliwezi kukubalika (kwasababu sisi waoaji ndio tuliopanga siku ya ndoa na kama kughairisha ni sisi) kama swala la kwenda na kurudi ni kuwa tufunge ndoa kuhusu mambo mengine Sherehe sijui na nini huko yaje baadae,,ya huo mwezi atakao rudi. After all sisi ni Waislam wote hakuna haja ya kufanya Jambo liwe kuuubwa hadi lini sijui kwani kuna inawezekana hata siku ile tuliyopeleka mahari nikafungishwa ndoa kabisa kwa mujibu wa dini inavyosema!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mkuu mbona kama kuna pupa ya ndoa hapo,wakati MTU anasafari!
Unajua atarudi lini?kwanini asisubiriwe arudi!
 
Mara nyingi huwa napata tabu kidogo kuwaelewa waanzisha mada hapa MMU.

21 Julai 2014

Lakini ukirudi nyuma kidogo unakutana na maandishi kinzani, mwanzoni nilidhani kuwa huyu binti anayeelezewa hapa chini ndio huyo aliyetoswa na wazazi hapo juu lakini sidhani.

TIme frame ya kila tukio haishahabiani hata kidogo, sababu ya kutosana na huyu binti hapa chini bila shaka ni wasiwasi wa kufanywa kidumu, muda walidate ni miaka mitatu.

24 Desemba 2013

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/574605-niko-dilemma-wana-mmu.html

Ukiachana na hilo, hapo juu naona mleta mada anajieleza kama katika maisha yake kashawahi kuwa na mahusiano mara mbili tu kwa vipindi tofauti, lakini mbona kama kuna mahusiano mengine yameshawahi kufanywa na mleta mada?

18 Januari 2013
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/386417-nashindwa-kumuelewa.html

We mtu ulikuwa wapi muda wote?

Dah!!!
 
We mtu ulikuwa wapi muda wote?

Dah!!!

Babu Asprin nishamfafanulia hili Jambo mkuu hapo sikuweka yote kwasababu utakuwa Uzi juu ya Uzi halafu ni kashindwa ushauri wa kile kitu nachokihitaji!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom