Nimeathirika...nataka kula kila siku.

unataka ule ili iweje coz km umeathirika ni kwamba sikio la kufa halisikii dawa
 
Nimeanza muda mrefu sana najitahidi kuvumilia lakini wapi. Tena wakati mwingine natamani nile hata mara 4 au 5 kwa siku...yaani sichoki.

wewe ni jini mara 4 au 5 lakini inawezekana kama ni milo midogo midogo unatupa tonge moja unastop tena baada ya masaa 2 au 3 unaanzishia tena. je unakula mboga ya aina moja au unabadilisha?
 
wewe ni jini mara 4 au 5 lakini inawezekana kama ni milo midogo midogo unatupa tonge moja unastop tena baada ya masaa 2 au 3 unaanzishia tena. je unakula mboga ya aina moja au unabadilisha?

Ni msosi wa nguvu mkuu.
Yaani unakula msosi mmoja hadi lisaa.
 
Back
Top Bottom