Nimeathirika...nataka kula kila siku.

mi nilijua kula kitimoto au tigo kumbe chakula basi utakuwa na minyoo mi kubwa kama pen za obama..
 
Msaada wa haraka.

Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
Naombeni msaada wenu waungwana.

Swali:Je chakula unacho? Au unavizia vyakula vya WATU.Kama ni vya watu utajiju....Jasho la mtu aliliwi ovyo eee
 
Back
Top Bottom