Nimeathirika...nataka kula kila siku.

Msaada wa haraka.

Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
Naombeni msaada wenu waungwana.

Kwa hiyo unataka siku nyingine uliwe wewe au?
 
Inaonekana ushashiba wewe! Usianze tu kutamani vyakula vya wenzio.
 
Huyu jamaa ndo ndo kaanza ka mchezo ka kula ndo maana anapenda kula kila siku; akikua ataacha. Mjomba eh! kula tu ila angalie usije kula.
 
Oyah! mwana kuna mskaji alikua anatatizo kama hilo,anakula ugali kama wa kilo mbili anashiba ila baada ya lisaa kama limoja njaa iko pale pale. alisumbuka sana mahospitalini lkn wapi madaktari wakamshauri ajaribu na upande wa pili.alienda tegeta,bagamoyo,sumbawanga ....... maana 2lihisi amerogwa maana jamaa alikua kwa wake za wa2 ni thoo. sahv nasikia kapona. kama upo serious niPM nikupe namba za huyo mshkaji akujulishe ni wapi alipata tiba.
POPOBAWA.
 
unamaanisha chakula cha mchana au cha usiku??? kile cha uck hakiishi hamu utakula weeeee ukishiba ukikiona utataka tena..pole but rem to mantain ya figure kinanenepesha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom