Nimeathirika...nataka kula kila siku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeathirika...nataka kula kila siku.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mitishamba, Jan 26, 2012.

 1. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada wa haraka.

  Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
  Naombeni msaada wenu waungwana.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii sio masuala ya chit-chat kweli?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  yah...ni kawaida kila mtu kula chakula kila siku ili aweze kuishi.....sioni tatizo hapo......
  tunakula ili tuishi.......
   
 4. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eeeh sio.
   
 5. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Punde utapata ajira humu.
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Unataka ule nini???
   
 7. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kwamba nina tatizo hapo?
   
 8. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chakula.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwakweli unaumwa sana fanya haraka umwone daktari mana wenzio tunamaliza wiki 2 ndo tunakula wewe kila siku. MWONE DAKTARI HARAKA
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hakuna tatizo hata ukitaka kula kila saa, ni jambo la kawaida..
   
 11. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2 weeks?
  Si kila chakula mtaani utakitamani!
   
 12. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kwa wenzangu utaratibu ukoje?
   
 13. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Umeathirika na nini mafuriko,kimbunga,ugonjwa au?
   
 14. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukisoma vizuri utanielewa.
   
 15. K

  Kilaza Flani Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  we kula tu.. swala usile vya watu
   
 16. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we nawe husomeki,unataka kula nini????hata kama unatumia tafsida basi iendane na unachomaanisha.........
   
 17. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tiba ya ugonjwa ni kuutaja kwanza. Ukisema kimafumbo hamna mtu ataelewa. Ayeumwa ndio anayesema dalili - eleza kwa uwazi utasidia. Mafumbo hayasaidii - kwani hapa sio kitendawili tega.
   
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hauna tatizo utakula weee iko siku utakinai tu, mark my words, enjoy eating were you can.
   
 19. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Umesema umeathirika halafu ukauliza 'je mi ni mgonjwa?'...Swali nakuuliza umeathirika na nini? Kwani wapo walioathirika kisaikolojia kutokana mambo mbalimbali wakawa na reaction kama yako.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa si ule?
   
Loading...