Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,748
- 91,814
Hapo ndo unafel.. wake za wachungaji Wanaliwa..sembuse huyo?.Huyo ni mlokole yaani, halafu mshamba fulani hivi, kiasi kwamba mambo haya ya kizungu hatokubali.

st john imekufanyaje mzee baba hahah tulipitaga paleChuo kikuu chuo kikuu ajira hakuna wewe unawaza ujinga badala ya kupiga kitabu utoke na ujuzi wa maana na GPA tuje tukupe connection, Cha ajabu unawaza ujinga tu unadhani kuwa chuo kikuu ni sifa ukute chuo chenyewe ni St John 😭😭😭😭😭😭
Mimi sisomi hapo!st john imekufanyaje mzee baba hahah tulipitaga pale
Nmemuonea jamaa huruma sanaa maana huenda huo mpua unafanania sahan kwel ndo maana ikabid ajichekeshe uongo...kubwa zaid ww unajua kabx jamaa anampenda bibie kama ulivyompenda saut kokoto ila ukaamua kumkejeli!nmesema tu ukwl FS huna budi kunisameheSitakii wewe ndiye unanivaa mimi! Ya nyuma wala hata hayahusiani na mada, we ni mkorofi tu, nna kosa gani kumwambia kuhusu pua yake ilivo kubwa? Nimekusamehe ila sitokusahau Kill boy🙄
We mtumie Pesa kila wiki 50,000 bila kusema Chochote. Ataanza kukutafuta yeye..Habarini!
Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Katakwua ka studentHabarini!

Kama uandishi wake ndio huo, mshujuru Mungu kwa kuachwa, unakuaje na mtu ambae hata kuandika hajuiHabarini!
Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Hivyo vifupi😩Kwa nini kiongozi?![]()
Tatizo Hawa madogo wanatupa hasira sana tunajikuta sie wakongwe tuliosoma kipindi hicho vyuo bado vinahadhi ya kuitwa chuo kikuu Ila sio Sasa hivi mkuu tuwaone ni maboya kujisifia nipo chuo kikuust john imekufanyaje mzee baba hahah tulipitaga pale
Yes. Bado mdogo wangu. Na usisahau condom, pia kupima muhimu. Hivi watoto wa mama salma siku hizi hawapo?
Hahah sijuiHivi hawatoto huwa ni wa namna gani?
Na vipi wale wanaosoma shule za mama Salma na wao wote huwa ndio kama hivyo Tena waeukwaa?
Mtumie hela kupitia huduma za simu, na hata huyo mtu wake alikutisha pia mtumie hela kwenye simu yake, baada ya hapo kila kitu kitakua sawaHabarini!
Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
kweli mkuuNdio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!
Ukiwa Mtaani unakua na cash ila sasa unakua huna muda, huna appetite, una majukumu! Dah unakua unapishana na fursa!
Hiyo writing mmh kweli chuo ameenda kusomea ujinga![]()
Ila nemuelewa kasema koma kabisa kummendea na mpua wako huo kama bakuli![]()

Kumbe yupo na fund magariNiambie my lovely, kwanza umeachana na yule fundi magari au!

Anamaanisha we raru huna hela ya kumtunza full stop...Habarini!
Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Anakudanganya huyo fundi magari tulishaachana😀Kumbe yupo na fund magari![]()