babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,935
- 20,229
Nimewaza sana, hawa ndio wanakua maprofesor badae hawa ku**nyoloHuo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
Nimewaza sana, hawa ndio wanakua maprofesor badae hawa ku**nyoloHuo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
Sawa kaka, ila nashukuru sijakataliwa, bali kasema ukweli.Acha ufala kashasema ana mtu wake hakuitaji
Mara nyingi ma single majibu yao yanajulikana mfano siitaji kuwa na mtu sasa ,hao sikuhitaj ,husikii akitaja mtu so huwa tunaendelea kukaza
Huyo yupo specific
Nimetokea kukupenda, nifanyeje?We mvulana soma.
Ahsante kaka, ila mimi nina 23 yrs, inakuwaje mapema sasa? Na sijawahi ku-date, hii ingekuwa mara yangu ya kwanza.Nafikiri umeanza mahusiano mapema sana, na pia tafuta kila njia ya kufanya maamuzi yako binafsi....
Respect brother......
Nimependa, kwani kuwa kwenye mahusiano huku ukisoma ni mbaya? Large enough nina 23 yrs, umri ambao unaniruhusu kuwa katika mahusiano kwa sasa.We mvulana soma.
Maamuzi gani kaka? Sijui yaani, ukizingatia hii ingekuwa mara yangu ya kwanza ku-date, sijawahi ku-date.Unatutia aibu wanaume hasa waliofika chuo. Unashindwaje kuchukua maamuzi hapo alaaa
Jifunze kumuacha aendeHabarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Ndio hivyo, naona ni complex kaka, au kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kutongoza na kujihusisha na dating!Sasa umeshindwa kuelewa nini hapo ?
Large enough ndo nini? Unasoma course gani mdogo wangu?Nimependa, kwani kuwa kwenye mahusiano huku ukisoma ni mbaya? Large enough nina 23 yrs, umri ambao unaniruhusu kuwa katika mahusiano kwa sasa.
JikillNimetokea kukupenda, nifanyeje?

Sasa kumbe kwa muda. Kwahiyo tatizo linalokuumiza ni kwakua hujapiga amaKukaa kwa muda kaka!

Huyo ni mlokole yaani, halafu mshamba fulani hivi, kiasi kwamba mambo haya ya kizungu hatokubali.Mwambie
Mie najuaa una mtu wako ,na hadi nakutongoza nilijua una jamaa wako na wala sikutaka muachane, nilitaka muendelee lkn unapopata nafasi ya kua namm basi tnakaa mahali tunakula, tunakunywa, tunaenjoy basi, Ukirudi kwa jamaa yako, mie nakaa kimya tu.
Atakachokujibu chochote. Wee komaa naye.. Hawa huwa wana huruma. Ukikomaa naye,ukaonyesha hukat tamaa.
Kweli dada yangu? Ila wewe ni mwanamke, ungekuwa mwanaume ungenishauri hivi ingependeza.Large enough ndo nini? Unasoma course gani mdogo wangu?
Hapana. Kuwa na age hiyo haimaanishj ndo umeshapevuka vyema kuwa katika mahusiano. Bado mdogo wangu. Tulia uwe na akili ya kung'amua mambo. Dunia uionavyo sivyo ilivyo
Yes. Bado mdogo wangu. Na usisahau condom, pia kupima muhimu. Hivi watoto wa mama salma siku hizi hawapo?Kweli dada yangu? Ila wewe ni mwanamke, ungekuwa mwanaume ungenishauri hivi ingependeza.
Naweka msisitizo, 'large enough' ni kiingereza cha mtaani, maana yake ni 'kubwa kuliko' kwa kiswahili cha kawaida.Large enough ndo nini? Unasoma course gani mdogo wangu?
Hapana. Kuwa na age hiyo haimaanishj ndo umeshapevuka vyema kuwa katika mahusiano. Bado mdogo wangu. Tulia uwe na akili ya kung'amua mambo. Dunia uionavyo sivyo ilivyo
Mmmh sidhani, sasa kwa nini unasema nisisahau condom wakati umesema mimi bado mdogo na sijajua maisha?Yes. Bado mdogo wangu. Na usisahau condom, pia kupima muhimu. Hivi watoto wa mama salma siku hizi hawapo?
Petrol litre 2 inatosha kwenye chumba cha 10*12!Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Mkuu, "age is just a number" tu...Ahsante kaka, ila mimi nina 23 yrs, inakuwaje mapema sasa? Na sijawahi ku-date, hii ingekuwa mara yangu ya kwanza.
Hujawahi kudate??Maamuzi gani kaka? Sijui yaani, ukizingatia hii ingekuwa mara yangu ya kwanza ku-date, sijawahi ku-date.