jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,101
Watakuja kuwa mawaziri wetu wa fedha na Elimu .Nimewaza sana, hawa ndio wanakua maprofesor badae hawa ku**nyolo
Watakuja kuwa mawaziri wetu wa fedha na Elimu .Nimewaza sana, hawa ndio wanakua maprofesor badae hawa ku**nyolo
We mkomalie husikate tamaa mwenyewe atatepeta tu, kakujib hivyo ili ukatetamaaNdio hivyo, naona ni complex kaka, au kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kutongoza na kujihusisha na dating!
ilikuwaje mpaka mshikaji wake akajua?Yaani mchizi wake kanitishia baada ya kugundua, kani-text msg ya vitisho. Demu kwa wakati wake naye akaniandikia huo ujumbe, baada ya mchizi kunitumia wake kwa number ya demu wake.
Acha ujinga ndugu,jambo hili ni la kuja kuuliza huku katika dunia hii ya wanawake wengi wasio kataa wanaume!! Umri wako ni gani?Habarini!
Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Huwa nina mpango wa kuanzisha mada maalumu juu ya kanuni za uandishi, kwa sababu hali ni mbaya sana.Huo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
ukweli mtupu mkuu, hii kitu nashangaa now pisi hata zile zilokawa zinaringa chuo zinajileta afu sina appetite Niko busy nina mwanamke wangu mmoja hata kushuulika na hawa wengine nakua mzito kinoma. ajikeep busy tuNdio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!
Ukiwa Mtaani unakua na cash ila sasa unakua huna muda, huna appetite, una majukumu! Dah unakua unapishana na fursa!
DahNiambie my lovely, kwanza umeachana na yule fundi magari au!


akina uchebe mnatudissNakazia MkuuEspy njoo utoe ushauri.
Ushauri wangu kwako mvulana soma sana. Kama una muda wa ziada anza kujifunza ujasiriamali huku uraiani ajira hakuna.
Tatizo vijana age flani huwa ni nyege zinatawala fikra.mwanamke akiwa friendly kwako sio kwamba kaingia kibla ..huko chuoni watu wanajichanganya..na wee unaonesha unamchukulia uyo manz mshamba ...fanya jaribio Moja tafuta rafiki yako awe anawasiliana nae pia..uone mwenendo...akiwa friendly Napo atakuwa kaingia kibra..? Akileta pozi anaringa..asee...Sio hanipendi, alishaingia kingi ila mtu wake kashtukia.
Endelea kukaza na uchumi huu watu wanatembea na masona na stress waje kumaliza kukukaza nawewe ..unajikuta umepigwa chupa bar au club kisa hujui kumbe wapwa walikufwatilia wanakutafutia sababu....na kama upo Moshi uko jiangalie apo mocuKama niendelee kukaza au!
Angalau umenishauri kiume mkuu! Nakupa salute!Uwa munatakia nini kuowa vibinti vya chuo bandugu! Ndio maana wengi wao haviolewi vinaishia kupigwa mimba nyambafu zao.
Sifa zao kuu
1 Viongeaji
2 Vijuaji
3 Viburi
4 Vinunaji
5 Visilani
Alafu na wewe mleta mada, soma acha mambo ya kijinga, usipokua makini utaolewa mzee
Umenitisha sana mkuu!Endelea kukaza na uchumi huu watu wanatembea na masona na stress waje kumaliza kukukaza nawewe ..unajikuta umepigwa chupa bar au club kisa hujui kumbe wapwa walikufwatilia wanakutafutia sababu....na kama upo Moshi uko jiangalie apo mocu
23 yrs kaka!Acha ujinga ndugu,jambo hili ni la kuja kuuliza huku katika dunia hii ya wanawake wengi wasio kataa wanaume!! Umri wako ni gani?
Ni kweli kaka, mimi ni mpambanaji pia.Ngoja umalize chuo ndio utauona uhalisia wa maisha. Sasa hivi hauwezi kuona mana kuna boom! Subiri tu! Muda utaongea.
Hauwezi kukuta kijana mpambanaji anauliza swali kama hilo!