Nimeandikiwa msg hii!

Nimeandikiwa msg hii!

Mkuu huyo nimefunga nae pingu ya damu sijui utaanzia wapi kumchukua, ikiwa fundi magari kashindwa ije kuwa wewe mchomelea maget[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] nisamehe mkuu
[emoji119][emoji119] sawa mkuu endlea kam n pingu za damu[emoji12]......
 
Ila watoto wa siku hizi imekuwaje yaani kwani inahitaji uwe na phd kuelewa hiyo meseji?
 
Achana nae, kwani mbunye anayo yeye tu duniani?.

Unless otherwise una ndoto nae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom