Nimeandikiwa msg hii!

Huyo mrembo ameshapima upepo ameona kwako huna lolote,
Kaamua kwenda kwa msela mwingine.

Kama bado unamtaka na unataka abadili mawazo.

Muandikie hivi!!!
OK
,,naheshimu maamuzi yako,
japokuwa wewe ndy mwanamke wa ndoto yangu.

Ningekutunza na kukujali vyema..
Siku yeyote ukihitaji kuwa na mm still nafasi ipo wazi..
Utabaki moyoni mwangu daima.

Ukimsindikiza na 200,0000/ kwenye muamala wake wa simu..

Tatizo lenu ubahili mwingi,,kubinuwa midomo kwa sana..
Lazima uachwe..

Hakuna siagi ngumu mbele ya kikaango cha moto.

Mbinu za kibaharia hizi ,,hata mke wa mtu unabeba..
Sasa hapo si atakuwa kanipendea pesa? Huo sio upendi, pia mtu wake wamedumu kwa miaka 2 now, wametoka mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom