Nimeandikiwa msg hii!

Nimeandikiwa msg hii!

Tatizo Hawa madogo wanatupa hasira sana tunajikuta sie wakongwe tuliosoma kipindi hicho vyuo bado vinahadhi ya kuitwa chuo kikuu Ila sio Sasa hivi mkuu tuwaone ni maboya kujisifia nipo chuo kikuu
elimu imepoteza mvuto kabisa sasahivi chuoni kumejaa utoto tu
 
Habarini!

Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Typing ya ovyoo achana nae
 
Wewe ndo yule mtoto wa Irine Uwoya?
 
Jifunze kuwa na maamuzi magumu. Usiigize bali kuwa na maamuzi magumu.
 
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako
Huu ni mwandiko wa mwanafunzi wa chuo kikuu? Basi wasitoe lawama kwa mtu yeyote wananaposhindwa kuajiriwa. Kwa mwandiko huu nani atakubali kuajiri kituko kama hiki?
 
Achana nae usimlazimishe kama anakupenda ipo siku atakutafuta. Ukiendelea kumng'ang'ania atakusumbua kichwa. Piga kimya kuanzia sasa yeye mwenyewe itamuuma kama anakupenda kweli.
 
Habarini!

Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Huyo mrembo ameshapima upepo ameona kwako huna lolote,
Kaamua kwenda kwa msela mwingine.

Kama bado unamtaka na unataka abadili mawazo.

Muandikie hivi!!!
OK
,,naheshimu maamuzi yako,
japokuwa wewe ndy mwanamke wa ndoto yangu.

Ningekutunza na kukujali vyema..
Siku yeyote ukihitaji kuwa na mm still nafasi ipo wazi..
Utabaki moyoni mwangu daima.

Ukimsindikiza na 200,0000/ kwenye muamala wake wa simu..

Tatizo lenu ubahili mwingi,,kubinuwa midomo kwa sana..
Lazima uachwe..

Hakuna siagi ngumu mbele ya kikaango cha moto.

Mbinu za kibaharia hizi ,,hata mke wa mtu unabeba..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom