Nimeandikiwa msg hii!

Nimeandikiwa msg hii!

Hiyo writing mmh kweli chuo ameenda kusomea ujinga😀

Ila nemuelewa kasema koma kabisa kummendea na mpua wako huo kama bakuli🏃‍♀️
Duuu!!!, Pua kama bakuli mmmmmh 🙌🙌🙌
We dada wewe......🙆🙆🙆🙌🙌🙌
 
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Hili jina Chuo Kikuu linhetafutiwa maana nyingine.
 
Hapana,kusema kuwa anapua kama sahan una udhibitisho?.,..Mnyakyusa mwenye saut ya kokoto aliekuwazisha mwaka mzima
Pua kama sahani tena? Umeona na wewe unavyomvaa mwanaume mwenzio?, kwahiyo kama namuwaza mwaka mzima ndiyo sitakiwi kucomment chochote kwenye nyuzi? Nikae kama nipo eda? Aah mkuu life is too short afu hapo mimi nilitania na ndyo maana mleta uzi akaishia kucheka, sasa naona wewe ndiyo umenivaa mimi unanifokea. Usinifokee bana na kama umemind meza tikiti.
 
Nafikiri umeanza mahusiano mapema sana, na pia tafuta kila njia ya kufanya maamuzi yako binafsi....

Respect brother......
 
Pua kama sahani tena? Umeona na wewe unavyomvaa mwanaume mwenzio?, kwahiyo kama namuwaza mwaka mzima ndiyo sitakiwi kucomment chochote kwenye nyuzi? Nikae kama nipo eda? Aah mkuu life is too short afu hapo mimi nilitania na ndyo maana mleta uzi akaishia kucheka, sasa naona wewe ndiyo umenivaa mimi unanifokea. Usinifokee bana na kama umemind meza tikiti.
Kwa hyo mkuu umeamua nivaa kwa kukukumbusha ya nyuma?nisamehe mkuu,it was not ma intention,nlikuwa natania tu pia
 
Kama niendelee kukaza au!
Acha ufala kashasema ana mtu wake hakuitaji

Mara nyingi ma single majibu yao yanajulikana mfano siitaji kuwa na mtu sasa ,hao sikuhitaj ,husikii akitaja mtu so huwa tunaendelea kukaza

Huyo yupo specific
 
Kwa hyo mkuu umeamua nivaa kwa kukukumbusha ya nyuma?nisamehe mkuu,it was not ma intention,nlikuwa natania tu pia
Sitakii wewe ndiye unanivaa mimi! Ya nyuma wala hata hayahusiani na mada, we ni mkorofi tu, nna kosa gani kumwambia kuhusu pua yake ilivo kubwa? Nimekusamehe ila sitokusahau Kill boy🙄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom