Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,201
- 99,925
Unauliza swali au unashauri?It's general kwamba ukiwa tu mtaani unakuwa na cash?.
Unauliza swali au unashauri?It's general kwamba ukiwa tu mtaani unakuwa na cash?.
Basi umekosea. English sawia huwezi kutumoa neno hilo.Naweka msisitizo, 'large enough' ni kiingereza cha mtaani, maana yake ni 'kubwa kuliko' kwa kiswahili cha kawaida.
Una mihemko ya kimwili. Bado hujapevuka kiakili. Hujui namna ya kuhandle mambo. Busara ni kutulia na kuusoma mchezo. Na kama unashindwa kujizuia basi angalau tumia kinga.Mmmh sidhani, sasa kwa nini unasema nisisahau condom wakati umesema mimi bado mdogo na sijajua maisha?
Good after noon boss. Need we say more?Mkuu, "age is just a number" tu...
Ili kumudu vizuri mahusiano inahitaji vitu vikuu vitatu
1: Biological maturity ( age): ambayo kwa wewe tayari umefikia....
2: Emotional maturity, hii kitu ni muhimu sana inakusudia ku-handkle vitu kama dissapontiment, break up, na nk.....
3: intellectual maturity, pia ni muhimu sana. hapa namaanisha elimu nzima ya mahusiano utakusaidia kujua wapi, kwanini muda gani, na kwa nani unatakiwa kuwajibika.....
Soma sana vitabu kujifunza mkuu na siku zote kumbuka
"Love doesn't keep people together but its knowledge"
Respect............
AlaaaSawa babe Ugu😍😃
Aah huko jela mimi huku mtaani naishije sasa😂 na ukimwambia namuacha mazima nahama 😂Eheee,,, kweli kufa usemwe😅 yani jamaa katiwa jela tu mke ushaanza kuuza utu huku umepata bahasha jamaa akitoka keko nampa story nzima Extrovert mke huna kumbe
Yaani mchizi wake kanitishia baada ya kugundua, kani-text msg ya vitisho. Demu kwa wakati wake naye akaniandikia huo ujumbe, baada ya mchizi kunitumia wake kwa number ya demu wake.Hujawahi kudate??
Kama ana mchizi wake na wanakuandama wote temana nae tu. Haina haja ya kugombania manzi na wapo wengi tu kitaa.
Shemeji tulia basiii nipo na babe mpya😂Alaaa
Fanya hivi mludishie hiyo sms kama alivyo ituma bila kuongeza kitu wala kupunguza kitu,kisha piga pini no,zake zote halafu baada ya hapo futa kabisa na uwe kalibu na mungu wako zaidi kwa msaada wa imani yako,na endelea na maisha yako.N.B kama una picha zake futa kabisa.Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Yeah, ni cha mtaani, kama lilivyo neno 'naendaga' tu! Sio official.Basi umekosea. English sawia huwezi kutumoa neno hilo.
Jiandae na litre 2 za petrol navyomjua yule mwamba hawezi kuacha kutekeleza ahadi ya kukuwahisha kunako mawinguni kumlaki bwana Yesu!Aah huko jela mimi huku mtaani naishije sasa😂 na ukimwambia namuacha mazima nahama 😂
Mi imeniuma sababu extro ni baharia mwenzangu yani kaenda keko hata week aijishaShemeji tulia basiii nipo na babe mpya😂
Hahaa hanainaga makombo hii akirudi tu narudi kimyaa kama hamna chochote kilichotokea. Atanielewa tu 😂Jiandae na litre 2 za petrol navyomjua yule mwamba hawezi kuacha kutekeleza ahadi ya kukuwahisha kunako mawinguni kumlaki bwana Yesu!
We cheka tu ila nakusemea hivooHahaa hanainaga makombo hii akirudi tu narudi kimyaa kama hamna chochote kilichotokea. Atanielewa tu 😂
Ahaa mbona husemi nnavomfumaniaga humu anasaundisha wadada wengine ? Ngoma drooMi imeniuma sababu extro ni baharia mwenzangu yani kaenda keko hata week aijisha
Kwa kingereza ni hapana. Na hakuna cha mtaani kwa hivyo kwa English. Accept that.Yeah, ni cha mtaani, kama lilivyo neno 'naendaga' tu! Sio official.
Umefeli sana shemelaAhaa mbona husemi nnavomfumaniaga humu anasaundisha wadada wengine ? Ngoma droo
Jamani... dah!Jikill![]()
Sio kuwa nakupinga, ila niliki-note somewhere, na aliyeongea alikuwa actor. Kwa hiyo nikakichukua kama kilivyo, so ninaamini ni cha mtaani. Maybe jamaa niliyem-note hakuwa sahihi, nakubali.Kwa kingereza ni hapana. Na hakuna cha mtaani kwa hivyo kwa English. Accept that.
Temana nae mzee, usijeingia vibaya ukayachukia mapenz.Yaani mchizi wake kanitishia baada ya kugundua, kani-text msg ya vitisho. Demu kwa wakati wake naye akaniandikia huo ujumbe, baada ya mchizi kunitumia wake kwa number ya demu wake.