Nimeamua kuwa Atheist

Nimeamua kuwa Atheist

Mungu anataka kuaminiwa kwa imani tu, hajataka athibitishwe kwa logic na akanushwe kwa falacy, kwani ufahamu wetu upo kinyume na uhalisia wake. Sisi ufahamu wetu unataka uwe kwenye mipaka ya wakati na mahali, wakati Mungu yupo kinyume na hicho.
Kama unaweza kuamini hata uongo, Mungu ukimuamini kwa imani tu utajuaje unachoamini ni kweli na si uongo?
 
Kama unaweza kuamini hata uongo, Mungu ukimuamini kwa imani tu utajuaje unachoamini ni kweli na si uongo?
Huenda uongo ukawa ukweli usiyoujua, haijapatapo kutokea mtu kujua yote kwa wakati wote.
Siwezi kuogopa kuamini kwa kuwa kuna watu wanaona ninachokiamini ni uongo wakati ukweli wao hawana.
 
simply ni kwamba kama kuna dark conspiracy and demonic rituals ujue hvo vitu hawafanyi kwa fun wanafanya kudestroy mifumo ambayo itakupa access ya wew kua karibu na mungu wanakuletea maswala ya internet, wanakuambia mara mtu uwe awakened 👁 mara cjui ujifunze kufanya lucid dream.

Simply uhalisia nikwamba wanatutoa kwenye channel ya kuamini mungu yupo na tujikeep busy kwenye project zao ambazo ni real demonic.

Hivyo basi kama kunagiza it means kuna nuru, na kama uchawi upo bac pia neema ya mungu ipo na kama kuna shetani bac pia MUNGU yupo
So Choose wisely kijana mdgo.

DEARTH is sure HELL is real
But JESUS saves
 
Huenda uongo ukawa ukweli usiyoujua, haijapatapo kutokea mtu kujua yote kwa wakati wote.
Siwezi kuogopa kuamini kwa kuwa kuna watu wanaona ninachokiamini ni uongo wakati ukweli wao hawana.
Hoja ya kuwapo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kauumba ukimwengu huu ni potofu kimantiki.

Kwa hivyo ukiikubali mantiki, utajua Mungu huyu hayupo.

Na hata ukiikataa mantiki, hoja nyingi za kuwapo Mungu pia (primary mover, etc) zinaondoka.

Kwa hivyo, ukikubali mantiki Mungu hayupo.

Ukikataa mantiki Mungu hayupo.
 
Kwanza kabisa, kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.

Narudia tena, kisichopo, hakithibitishiki kuwa hakipo.

Kwa sanabu hakipo, na kama hakipo, hakithibitishiki kuwa hakipo, uthibitisho unaendana na kilichopo.

Tunaweza kujenga hoja kama za proof by contradiction kuonesha contradiction zinazoonesha kitu fulani hakiwezi kuwapo. Katika hii dhana ya Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo, nimeelezea sana Epicurean Paradox mpaka michoro nimeiweka hapa. Google Epicurean Paradox, soma, ielewe, kama una swali kuhusiana an Epicurean Paradox lilete hapa.

Zaidi.

Mzigo wa uthibitisho unamuangukia yule anayesema kitu kipo.

Ndiyo maana Polisi wakija nyumbani kwako, wakisema una madawa ya kulevya, wao wanaosema una madawa ya kulevya wanatakiwa wafanye msako mpaka wayapate, wathibitishe yapo.

Hawakwambii wewe unayesema huna madawa ya kulevya uthibitishe huna madawa ya kulevya.

In principle, we cannot prove a negative, but we can show contradictions that shows the impossibility of a negative.

Swali la kuuliza hapa, ni kuwauliza wanaosema Mungu yupo, wathibitishe Mungu yupo.

Unasema Mungu yupo?

Kama unasema hivyo, thibitisha Mungu yupo
Nini huthibitisha kuwa jambo linalosemwa lipo au halipo?

Uthibitisho maana yake ni nini?
 
Mungu anataka kuaminiwa kwa imani tu, hajataka athibitishwe kwa logic na akanushwe kwa falacy, kwani ufahamu wetu upo kinyume na uhalisia wake. Sisi ufahamu wetu unataka uwe kwenye mipaka ya wakati na mahali, wakati Mungu yupo kinyume na hicho.
Mungu anataka kuaminiwa tu 🤣🤣🤣
Hata kama ni uongo tuamini tu 🙌🙌
Dunia ya Sasa tunahitaji mambo Kwa Ushahidi, siyo blablah
 
Nini huthibitisha kuwa jambo linalosemwa lipo au halipo?

Uthibitisho maana yake ni nini?
Uthibitisho kwa muktadha wa maongezi haya ni kwa kutumia mantiki, kuangalia hoja kimantiki, kuangalia truth table kimantiki, kuangalia contradictions.

Hoja ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya, ina contradictions nyingi zinazoonesha kuwa Mungu huyo hayupo, katungwa tu katika hadithi za watu, hadithi zenye makosa mengi ya kimantiki, ndiyo maana hoja ya kuwapo Mungu huyo ina contradictions nyingi kama

1. Epicurean Paradox / The Problem of Evil.
2. The incompatibility of God's perfect knowledge and human perfect freewill.
 
Imani zote ni imani tu hazina uthibitisho wa imani ya kweli wala ya uwongo , hiyo ya kusema imani yako ndio sahihi na inapaswa kufuatwa ni ego za kimani na kampeni zake tu
Sifa ya imani tofauti na kusadiki, lazima ithibitike kweli.

Jambo ambalo halijathitika kweli haliwezi kuwa imani.

Usichanganye imani na kusadiki (Faith and belief).
 
Sifa ya imani tofauti na kusadiki, lazima ithibitike kweli.

Jambo ambalo halijathitika kweli haliwezi kuwa imani.

Usichanganye imani na kusadiki (Faith and belief).
Habari ya kuwapo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu, hakuna ilipothibitishwa.
 
Back
Top Bottom