Nimeamua kuwa Atheist

Nimeamua kuwa Atheist

Mkuu nimekuuliza swali very plain, ukanijibu lakini kuna kipande hukugusia, nikakukumbusha

Haya ndo majibu yako


Mimi nimetafsiri labda unaona noma, kama hamna noma weka jibu tulione
Naona mkuu unataka kujadili suala la peponi na motoni ndio unaona mie naona noma kuzungumzia, haya nakujibu wasioamini wanaenda motoni.

Haya funguka sasa.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Naona mkuu unataka kujadili suala la peponi na motoni ndio unaona mie naona noma kuzungumzia, haya nakuja wasioamini wanaenda motoni.

Haya lete funguka sasa.
shukrani mkuu, maswali yangu yameishia hapo
 
Back
Top Bottom