Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 5,062
- 8,730
Tanga mjini hapa ..Wee wa Tanga sehemu gan maan mi huko ndiyo home ila kwasas naish mkoani mkuu
Tanga mjini hapa ..Wee wa Tanga sehemu gan maan mi huko ndiyo home ila kwasas naish mkoani mkuu
Kwaiyo mkuu hapa unatajaribu kusema kuwa uyo mpenzi wako bado anampenda ex wake ryt? Kama umethibitisha hilo basi piga chiniHabari za majukumu ndugu zangu hapa JF,
Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang
NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua hatua ya kumwambia asifikilie Tena swala la mim kutakata kumuoa yeye ingawa mama mzazi ananipenda
Vijana wenzangu tuwe zaidi ya umakinI tunapotaka kuoa tusikurupuke tutajikuta kweny msongo na shinikizo la mawazo
Tusikatae ndoa Bali tuwe makini kweny kutafuta ndoa
Watu wa JF wamenipa ushaur na nimeona n kheri nusu shali kuliko shali kamili
*Achana na mwanamke asiyekuwa na msimamo juu Yako.
*Achana na mwanamke asiyekuwa na roho ya kulizka na kidogo kwan hakuna kikubwa kweny Dunia Kila siku watu wanaotafuta
*Mwanamke mwenye historia ya kuwa na mpenzi aliyempenda sana achana naye kwani upendo wa huyo jamaa bado ataishinao siku zote
##wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo ni vyema tutulie katka kuchagua mke
IPO ivyo mkuu sababu anasema wanawasiliana ingawa hawako pamoja though Sion haja ya kuendelea kupoteza muda wanguKwaiyo mkuu hapa unatajaribu kusema kuwa uyo mpenzi wako bado anampenda ex wake ryt? Kama umethibitisha hilo basi piga chini

Ushaongea naye kwenye hilo ? Umefanya uchunguzi wa kina ?IPO ivyo mkuu sababu anasema wanawasiliana ingawa hawako pamoja though Sion haja ya kuendelea kupoteza muda wangu
Huyo bado hajafikia target anakuona wewe km kituo cha.mudaKuna mmojq nataka kumuoa ila kama haeleweki kabisa ...Ni mtihani sana nilitaka mwezi wa saba nimuoe ndoa fasta ila ana mambo mengi sana .
Ni mpole kupitiliza nikiongea naye hawezi kunitazama usoni ,kashika dini sanq ..Ninachompenda haombi pesa maana ana kazi yake .
Alikubali ombi na kuridhia kabisa
mie kama mwanamke kwenye kikao chetu tumeamua tukasema wewe sio muowaji bali ni mzinguaji. nikisoma hapo habari yako kikao kimeamua kusema huna sifa ya kuwa mumeHabari za majukumu ndugu zangu hapa JF,
Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang
NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua hatua ya kumwambia asifikilie Tena swala la mim kutakata kumuoa yeye ingawa mama mzazi ananipenda
Vijana wenzangu tuwe zaidi ya umakinI tunapotaka kuoa tusikurupuke tutajikuta kweny msongo na shinikizo la mawazo
Tusikatae ndoa Bali tuwe makini kweny kutafuta ndoa
Watu wa JF wamenipa ushaur na nimeona n kheri nusu shali kuliko shali kamili
*Achana na mwanamke asiyekuwa na msimamo juu Yako.
*Achana na mwanamke asiyekuwa na roho ya kulizka na kidogo kwan hakuna kikubwa kweny Dunia Kila siku watu wanaotafuta
*Mwanamke mwenye historia ya kuwa na mpenzi aliyempenda sana achana naye kwani upendo wa huyo jamaa bado ataishinao siku zote
##wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo ni vyema tutulie katka kuchagua mke
Hakika brow 👍 ni wazo zuri ILO nitaangalia Kwa mwanamke mwingne ila sio Kwa uyu bintBaada ya kuangalia tabia Suala la kuoa ni muhimu pia kujua unaoa kwenye familia ya namna gani, maana familia yake ina mchango mkubwa sana katika kujenga au kuvuruga ndoa yako.
Akipasha tu imekula kwake mdau huyu kwani wanawake ni wajanja sana hutumia siraha hiyo kupata chochote watakacho. Pia mawasiliano yanapaswa kuvunjwa kabisa maana hawaishi vituko na kumwaga chozi la mamba ziwani.Na unaposonga mbele, tafadhali usiangalie viporo ulivyacha nyuma ili ukapashe gentleman, lahasha,
kua makini zaidi,
ili keuga yako isije kukuangamiza mwenewe 🐒
Mi pia nipo kwenye harakati za kuchagua mke nimeshapata option mbili tabia nzuri na familia wanayoyoka ni familia salama ngoja niangalie moyo umependa wapi zaidi nikaoeHakika brow 👍 ni wazo zuri ILO nitaangalia Kwa mwanamke mwingne ila sio Kwa uyu bint
Ulikuwa haujampenda huyo, vinginevyo ujue kuacha si rahisi hivyo