Nimeamua kumuacha salama salmini

Nimeamua kumuacha salama salmini

Kila renye kheli kwako kijana
Kheri sio kheli
20250308_045213.jpg
 
Yye mwenyewe ananiambia ameniridhia na ananipenda ...Nilitaka kuanza kujuana na ndugu zake kama anakwepa hivi so nikipata binti naona fasta ..Siwezi kuishi kwenye nyumba peke yangu na uzinzi siwezi kabisa kwa imani yangu .
aiseee!!!👿
 
Kuna mmojq nataka kumuoa ila kama haeleweki kabisa ...Ni mtihani sana nilitaka mwezi wa saba nimuoe ndoa fasta ila ana mambo mengi sana .

Ni mpole kupitiliza nikiongea naye hawezi kunitazama usoni ,kashika dini sanq ..Ninachompenda haombi pesa maana ana kazi yake .

Alikubali ombi na kuridhia kabisa
Sasa hapa unataka umueleweje/kosa lake ni lipi hapa
 
IPO ivyo mkuu sababu anasema wanawasiliana ingawa hawako pamoja though Sion haja ya kuendelea kupoteza muda wangu
IPO ivyo mkuu sababu anasema wanawasiliana ingawa hawako pamoja though Sion haja ya kuendelea kupoteza muda wangu
Huyu piga chini mkuu!! Polee jamaa wewe unaonekana una uvumilivu na unampenda uyo demu” piga kisela huku unatafuta sehemu nyingine ujiweke
 
Unadhani utapata mkamilifu? Utasubili sana

Kumuongoza mwanamke inahitaji hekima kama za mzee mguto wa TPLB,

Unamchukulia mwanamke kama mwanaume ktk kufikiri?

Usioe kabisa mkuu vinginevyo utaharibu ndoa ndani ya mwezi mmoja
Kupata mkamilifu haiwezekani, ila at least apate a aye respond kwenye huo ukamilifu
Kuna wa awake ni pasua kichwa na wamejaa ujuaji, balaa tupu kwenye mahusiano
 
Kuna mmojq nataka kumuoa ila kama haeleweki kabisa ...Ni mtihani sana nilitaka mwezi wa saba nimuoe ndoa fasta ila ana mambo mengi sana .

Ni mpole kupitiliza nikiongea naye hawezi kunitazama usoni ,kashika dini sanq ..Ninachompenda haombi pesa maana ana kazi yake .

Alikubali ombi na kuridhia kabisa
Sasa hapo tatizo liko wapi
 
Jichanganye sasa ule za uso. Hakuna Ke asiyependa pesa za Me wake haijalishi ana kipato aina gani au hana kabisa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kuna mmojq nataka kumuoa ila kama haeleweki kabisa ...Ni mtihani sana nilitaka mwezi wa saba nimuoe ndoa fasta ila ana mambo mengi sana .

Ni mpole kupitiliza nikiongea naye hawezi kunitazama usoni ,kashika dini sanq ..Ninachompenda haombi pesa maana ana kazi yake .

Alikubali ombi na kuridhia kabisa
Ukiwa na wasiwasi usipuuze,fanyia kazi
 
Umefanya jambo zuri sana mkuu,hata hivyo kama hujapitia heart break huwezi kufanya chaguo sahihi,unaweza kudhani kwamba upo swa na huyo uliyenaye kumbe yeye anasogeza muda hapo siku ikifika anakupiga chini,ndiyo unakuja kujuwa kumbe ulikuwa hujuwi.
 
Kupata mkamilifu haiwezekani, ila at least apate a aye respond kwenye huo ukamilifu
Kuna wa awake ni pasua kichwa na wamejaa ujuaji, balaa tupu kwenye mahusiano
UPo sahihi mkuu ila tunapitia wakat mgumu kiukwel
 
Umefanya jambo zuri sana mkuu,hata hivyo kama hujapitia heart break huwezi kufanya chaguo sahihi,unaweza kudhani kwamba upo swa na huyo uliyenaye kumbe yeye anasogeza muda hapo siku ikifika anakupiga chini,ndiyo unakuja kujuwa kumbe ulikuwa hujuwi.
IPO ivyo kaka Bora kuangalia njia mapema
 
mie kama mwanamke kwenye kikao chetu tumeamua tukasema wewe sio muowaji bali ni mzinguaji. nikisoma hapo habari yako kikao kimeamua kusema huna sifa ya kuwa mume
Hata hivyo sihitaji kuoa piah na Wala Sina mpangonae tena
 
Huyu majam19 hajamuacha, bali amepata majibu ambayo katika uchumba ni kawaida kupatikana. Kwani siyo kila uchumba uwe ndoa. Hiyo itakuwa ni sawa na kutaka kila mechi unayocheza ushinde. Kitu ambacho siyo mara zote kinatokea. Hata katika ule usemi kila mtu ashinde mechi za uwanja wa nyumbani kwake, ni nadharia tu. Haiko hivyo mara zote
Hapo umenipata kiukwel umeongea mkuu
 
Ni rahisi sana. Sikuzote kwenye mahusiano angalia afya ya akili yako usilazimishe mahusiano na;
  • Mwanamke mzinifu
  • Mwanamke mwenye mashosti
  • Mwanamke anayetongoza wanaume ikiwemo mtandaoni
  • Mwanamke anayebadilisha picha yake na kuweka mapozi kwenye mitandao ikiwemo status za Whatsup
  • Mwanamke mwenye laini nyingi za simu
  • Mwanamke anayekuomba hela mara kwa mara
  • Mwanamke asiyekushauri mipango ya maendeleo yenu ya baadae
  • Mwanamke mwenye matatizo ya kiafya ikiwemo majini
  • Mwanamke mvivu
  • Mwanamke anayependa starehe
  • Mwanamke mchoyo hasa chakula kwako
  • Mwanamke mbishi na anayependa malumbano
  • Mwanamke ambaye ameshawahi kuliwa ule mtandao uliobadili jina
Nyingine endelea kuongezea
Nakazia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom