Nimeamua kumuacha salama salmini

Nimeamua kumuacha salama salmini

Mi pia nipo kwenye harakati za kuchagua mke nimeshapata option mbili tabia nzuri na familia wanayoyoka ni familia salama ngoja niangalie moyo umependa wapi zaidi nikaoe
Hatua nzur mkuu mungu akutangulie
 
Akipasha tu imekula kwake mdau huyu kwani wanawake ni wajanja sana hutumia siraha hiyo kupata chochote watakacho. Pia mawasiliano yanapaswa kuvunjwa kabisa maana hawaishi vituko na kumwaga chozi la mamba ziwani.
I take it brow 👍 nmefuta na namba yake
 
Huyu piga chini mkuu!! Polee jamaa wewe unaonekana una uvumilivu na unampenda uyo demu” piga kisela huku unatafuta sehemu nyingine ujiweke
Hakika mkuu
 
Habari za majukumu ndugu zangu hapa JF,

Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang

NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua hatua ya kumwambia asifikilie Tena swala la mim kutakata kumuoa yeye ingawa mama mzazi ananipenda

Vijana wenzangu tuwe zaidi ya umakinI tunapotaka kuoa tusikurupuke tutajikuta kweny msongo na shinikizo la mawazo

Tusikatae ndoa Bali tuwe makini kweny kutafuta ndoa

Watu wa JF wamenipa ushaur na nimeona n kheri nusu shali kuliko shali kamili

*Achana na mwanamke asiyekuwa na msimamo juu Yako.

*Achana na mwanamke asiyekuwa na roho ya kulizka na kidogo kwan hakuna kikubwa kweny Dunia Kila siku watu wanaotafuta

*Mwanamke mwenye historia ya kuwa na mpenzi aliyempenda sana achana naye kwani upendo wa huyo jamaa bado ataishinao siku zote

##wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo ni vyema tutulie katka kuchagua mke
yaani umeshamvua chupi binti wa watu halafu hutaki kumuoa. Unataka kutupa tabu sisi ambao tulikuwa na mipango ya kumuoa.

Ukisubiri mwanamke aliyakamilika basi utachelewa sana kuoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom