Nimeamua kumuacha salama salmini

Nimeamua kumuacha salama salmini

yaani umeshamvua chupi binti wa watu halafu hutaki kumuoa. Unataka kutupa tabu sisi ambao tulikuwa na mipango ya kumuoa.

Ukisubiri mwanamke aliyakamilika basi utachelewa sana kuoa.
Kiukwel Kwa uyu moyo wangu umekufa siwez kuendelea naye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom