majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 1,363
- 1,564
- Thread starter
- #21
Duuh basi fuata utaratibu kama Hana tatizo umuone mtazamo wakeYye mwenyewe ananiambia ameniridhia na ananipenda ...Nilitaka kuanza kujuana na ndugu zake kama anakwepa hivi so nikipata binti naona fasta ..Siwezi kuishi kwenye nyumba peke yangu na uzinzi siwezi kabisa kwa imani yangu .