Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

kumiliki bastola ni jambo muhimu zaid, matumizi yapo
 
Wakuu hata huku kwetu wachawi wapo,wanaua watoto wa watu na kuwatesa bila sababu.binafsi nimejaribu kufikiri hatua ya kuchukua lkn bado sijafanikiwa!

Huko wapi sasa?
 
Huo ni mfano tu dogo inaweza kuwa kilo mia sita kwa mia saba sio lazima sita aiseee; nilitaka kuonyesha tu kuwa lazima imani yako iwe juu vya kutosha na ushahidi uwe nao sio iwe imani kuhusu wachawi tu lakini haionekani ikitenda kazi zingine katika maisha yako km. unalala njaa, unaandamwa na magonjwa, migogoro kibao, faraka kwa wingi, nk. imani ni upana wa maisha haisimamii jambo moja
(a) Ni vema usipende kutumia neno "dogo" bila kumfahamu mhusika - dharau hazilipi (b) Sielewi kulala njaa na shida zingine kunahusiana vipi na uchawi, ambao ndio mjadala hapa!
 
Hospitali zetu zisizo na vifaa wala wataalam wa kutosha kushindwa diagnosis = uchawi.

Hilarious.
 
Kinachouma ni kwamba wachawi wapo wanajulikana ila jamii inayowazunguka inawaogopa
 
Hospitali zetu zisizo na vifaa wala wataalam wa kutosha kushindwa diagnosis = uchawi.

Hilarious.

Kweli mkuu..watanzania tuna matatizo sana, eti alianguka akafa....sasa hili lina uhusiano gani na unaoitwa uchawi?
 
Kweli mkuu..watanzania tuna matatizo sana, eti alianguka akafa....sasa hili lina uhusiano gani na unaoitwa uchawi?

Wakati huo huo ratio ya doctors to population ni 1:30,000 see here --> Challenges in Transforming Medical Schools in Tanzania - Dr. Erick J. Mazyala - wavuti.com

Na hapo hapo tunakuwa mabingwa wa ku diagnose "uchawi" kwa vitu tusivyovielewa, wakati hata hiyo "New England Journal of Medicine" --> http://www.nejm.org/ yenyewe imejaa papers ambazo watu wenye madaktari, vifaa na historia ya utabibu hawajayajua mpaka leo. Na kutoyajua maana yake si automatically uchawi. Kwani hata UKIMWI miaka ya 70 ulikuwa haujulikani.

Kwa hiyo wale waliokufa kwa UKIMWI miaka ya 70 na mwanzoni 80, ambapo hata tests zilikuwa bado kupatikana (kwa sababu ugonjwa ulikuwa haujaeleweka) wangesemwa wamekufa kwa "uchawi" ingekuwa sawa?

Tumezidi kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu.

Ali Hassan Mwinyi alijiuzulu kwa watu kuuawa kwa shutuma za uchawi Shinyanga miaka ya mwanzo ya sabini, hatujajifunza mpaka leo.

Watu wa Shinyanga mna nini? Nina jamaa wamestaarabika sana huko, mbona ustaarabu huu siuoni kwa baadhi wanaoendeleza mila hizi za kishenzi?

Watu hawana milo ya kueleweka huko wanajiangukia kwa njaa na minyoo na mental health problems na kuvuta moshi wa kuni kwa miaka na miaka, na Malaria sugu na typhoid etc halafu hospitali zisizo na vifaa wala wataalamu zikishindwa kujua sababu mnataka kuua zaidi kwa sababu ya "uchawi"?
 
Jaman uchawi upo palepale, hata kma vpimo vya kisasa vtakuwepo.. Namuunga mkono mtoa hoja, hata mm nshawah kutoa hoja kma hii ambyn iltokea live kijijin kwetu mbogwe-geita ambpo kijana aliyehitumu kidato cha 6, kijana huyu aliugua mshpa wa ngiri na alifarik ghafla usku huo, wakat wanamzka alikuwa hana jcho m1 wakat alikuwa na macho yte, je mshpa wa ngri huwa unanyofoa macho? Baada ya mazshi cku mbil baada kijana huyo alikutwa bwawan ananyolewa nywele na wabibi wawili na baada ya kufanya jthada za kuwakamata watu hao waliingia ndan ya bwawa na kupotea, je hao wabib wawil ndo madaktar bngwa wenye vfaa vya kisasa?
 
maskini, RIP Kijana
Huyo shangazi kwanini asikamatwe wakati anajulikana kuwa ni mchawi
 
maskini, RIP Kijana
Huyo shangazi kwanini asikamatwe wakati anajulikana kuwa ni mchawi

Bidada.... huyo shangazi atakamatwa kwa sheria ipi ilhali serikali haitambui uwepo.wa ushirikina???

Miss u mingi mamito ram.....
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu..watanzania tuna matatizo sana, eti alianguka akafa....sasa hili lina uhusiano gani na unaoitwa uchawi?

Nimeeleza vizuri,just connect th dots, wale wachawi walimwambia lazima atangulie na kumiacha mama ake, na huyo dogo amekua akirud kwao usiku na sanda zake,sasa we huoni huo ni uchawi?
 
Wamakamte coz wanakiji wote wanajua kuwa ni mchawi
Wachawi wabaya mamii, wasikie tu kwa jirani

Bidada.... huyo shangazi atakamatwa kwa sheria ipi ilhali serikali haitambui uwepo.wa ushirikina???

Miss u mingi mamito ram.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom