Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

sio kanda ya ziwa tu, hata wanyakyusa wa mbeya hasa wa kyela ni wachawi sana, tena wanalogana ndugu wa tumbo moja, mimi ni mhanga wa hayo matukio, kuna mama mdogo ni mshirikina sana, hapendi ndugu wengine waendelee kwa lolote, iwe watoto au wakubwa wenzake, ukiwa na akili darasani ni tatizo, na pia anakaribia kuacha kutumia waganga na kua mchawi ye mwenyewe aende front, ila mambo yanamtokea puani kwa sasa, ila ameyacost sana maisha yangu na ya ndugu zangu wengi, simpendi kusema kweli coz alianza kutuchezea wakati tuko wadogo hatujui lolote.


Kwa kweli mkuu mimi si mnyakyusa ila nimekaa nao hasa hao wa kyela wanapenda ushirikina balaa
 
Back
Top Bottom