Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

NAOMBA NITOE SIRI NZITO ZA UKRISTO WA KALE NI TIBA YA AJABU "BIBLE HAS A VERY STRONG SECRET; chukua jina kamili la mtu umuhisiye kwa si mwema kwako, liandike ktk karatasi nyeupe kwa ukamilifu,baada ya hapo soma zaburi ya 23 umalizapo ktk karatasi hiyo image ilo jina ktk mstatili liwe ktk ya mstatili baada ya hapo then ktk kila kona chora alama za msalaba mitatu ktk kila kona ktk umbo la pyramid means kutakuwa na idadi ya misalaba 12 then ikunje ktk nusu alafu robo wakati unakunja inakwenda na utatu wa kikristo then open a bible ktk zaburi ya 91 isome then install,CLOSE BIBLE malizia kwa zaburi 23 THE ISSUE IS OVER CAN'T GOING TO WIN YOU NEVER EVER

na huo ni uchawi
 
Waueni wachawi mnapowabaini wakiwaloga tena kwa kuwachoma moto
 
Baba ktk jina la Yesu vunja na haribu kabisa harakati za wachawi!
Halafu mi huwa nawashangaa sn hawa wachawi wa bongo,badala ya kuwaloga mafisadi wa ccm wao wanaloga innocent people,,,,,shame on them.
 
Huyo dogo yupo..!

Dogo kaded lakin nite anaibuka home kwao na sanda,last time wanafamilia walikimbia wakapiga kufuri kumfungia ndani wakakusanya majiran wamuone kijana wao lakin walipofungua hawakumkuta tena
 
Inategemea KIASI cha imani sio uamini tu saizi yoyote unaoweza kukufanya usibabuliwe na wachawi; imani kilo tano na uchawi kilo sita unaliwa kama kawa
Imani yangu ya kwamba siwezi kudhuriwa na uchawi ni kamili. Achia mbali kilo 6, hata mia sita sitaathirika.
 
Imani yangu ya kwamba siwezi kudhuriwa na uchawi ni kamili. Achia mbali kilo 6, hata mia sita sitaathirika.

Huo ni mfano tu dogo inaweza kuwa kilo mia sita kwa mia saba sio lazima sita aiseee; nilitaka kuonyesha tu kuwa lazima imani yako iwe juu vya kutosha na ushahidi uwe nao sio iwe imani kuhusu wachawi tu lakini haionekani ikitenda kazi zingine katika maisha yako km. unalala njaa, unaandamwa na magonjwa, migogoro kibao, faraka kwa wingi, nk. imani ni upana wa maisha haisimamii jambo moja
 
Wakuu hata huku kwetu wachawi wapo,wanaua watoto wa watu na kuwatesa bila sababu.binafsi nimejaribu kufikiri hatua ya kuchukua lkn bado sijafanikiwa!
 
wakati niko kidato cha sita kuna mganga wake akanifata akaniambia maneno flan indirect ambayo nimechukua muda sana kuja kumwelewa alikua na maana gani, jamaa yule ilikua njaa tu inamsumbua bt nadhani hakupenda kabisa yule mama anachawafanyia ndugu zake, na pia hutumii akili nyingi kumtambua mchawi as long as uwe na akili timamu.

Alikwambia maneno gani?
 
Baba ktk jina la Yesu vunja na haribu kabisa harakati za wachawi!
Halafu mi huwa nawashangaa sn hawa wachawi wa bongo,badala ya kuwaloga mafisadi wa ccm wao wanaloga innocent people,,,,,shame on them.

weeeee watawaweza jinsi walivyobobea katika uchawi!! wakiwaona wao wenyewe wanatetemeka
 
Wakuu hata huku kwetu wachawi wapo,wanaua watoto wa watu na kuwatesa bila sababu.binafsi nimejaribu kufikiri hatua ya kuchukua lkn bado sijafanikiwa!

Unawajua hao wachawi?au unahisi hisi tu?kama unawajua kwa uhakika ni Pm nikupe permanent solution.
 
Hawa jamaa ukiamishia vita mwilini umekwisha hawa huwa manakutana huko huko kwenye ulimwengu wa roho na kama unazo nguvu za Mungu za kutosha wanapigika kikwelikwelii asuhuhi mkikutana anaishia kukununia tu na wewe unatulia kimya kama haujui kinachoendelea
Nawashangaaga sana wanaopigizana kelele na wachawi wamesahau kwamba hiyo vita sio ya damu na nyama
Wakuu hata huku kwetu wachawi wapo,wanaua watoto wa watu na kuwatesa bila sababu.binafsi nimejaribu kufikiri hatua ya kuchukua lkn bado sijafanikiwa!
 
Back
Top Bottom