CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Wamakamte coz wanakiji wote wanajua kuwa ni mchawi
Wachawi wabaya mamii, wasikie tu kwa jirani
Bado tunarudi kule kule...Serikli haiamini uchawi, mwisho wa siku anaachiwa kurudi uraiani!
Wamakamte coz wanakiji wote wanajua kuwa ni mchawi
Wachawi wabaya mamii, wasikie tu kwa jirani
Kamateni huyo Baba yake, shangazi halafu Mtendaji.Dogo kaded lakin nite anaibuka home kwao na sanda,last time wanafamilia walikimbia wakapiga kufuri kumfungia ndani wakakusanya majiran wamuone kijana wao lakin walipofungua hawakumkuta tena
Kuna familia moja huku vijiji vyetu vya Shinyanga,Bukombe imepata tatizo.Alianza mama wa familia kuugua vitu visivyojulikana kila akifanya medical checkups hapatwi na kitu,akapewa rufaa tu Bugando,kule hali ikawa vilevile but mum is serious sick,amekaa Bugando kama mwezi hv,madaktari kupima tena wakamkuta na uvimbe tumboni,issue inakuja kuwa ngumu,kila wakitaka kufanya operation,vpmo vinaonesha hana damu na maji,saiv ni mwezi wa tatu yuko serious kitandan,Kuna ukweli pia huyu mama alikorofishana na kufokeana na dada wa mumewe yaani wifi ake.
Sasa kuna mtoto wa huyu mama mgonjwa ambae anasoma kidato cha nne aliumizwa sana na mateso anayopata mama ake akachukua uamuzi wa kuandika kama barua kwa wale amewataja kwenye hiyo barua kuwa ni wachawi na wamemroga mama ake, yaan anamshutumu shangazi ake sasa,aliandika pia kuwapa onyo kuwa mama ake apone la sivyo kibaya kitatokea,akabandika hyo barua sehemu kama nne hv humo kijijin,basi ikawa gumzo,zile barua zikatolewa na kupelekwa ofis ya mtendaj kwa sababu zilikua na vitisho.
Huyo dogo akakamatwa baada ya wale walioshutumiwa kumshtak ofis ya kata,lakin kwa vile hao watu ni kweli wanajulikana kuwa ni wachaw mtendaji aliendesha kesi kisela na kumwachia dogo.Baada ya kuachiwa wale watu pa1 na shangaz yake walmuibukia nyumban na kumuonya kuwa atakoma,yeye atatangulia kabla ya mama ake, kesho yake dogo anaenda shule alipokaribia xul akaanguka akafa.
Na baada ya mazishi dogo amekua akija kwao usiku akiwa amejifunika sanda aliyozikiwa,Jamani nimeamini uchawi upo,saiv imepita kama siku 5 toka azikwe na leo ilikua graduu yake na huku mama pia haongei leo siku ya pili,ndo alikua mvulana pekee home.
sasa yule paroko wa moshi mrudisha misukule akimrudisha huyu dogo ndiyo tutaamini utumishi wake umetukuka - tena awahi kabla dogo hajaharibiwa sana!! maana kule wakakatwa ndimi, hawanyoi nyewe wala kukata kucha!! na msosi wao maiti na damu za watu.Kama hiyo stori ni ya kweli huyo dogo ni msukule tu.
Huamini unaacha!!
Jaman uchawi upo palepale, hata kma vpimo vya kisasa vtakuwepo.. Namuunga mkono mtoa hoja, hata mm nshawah kutoa hoja kma hii ambyn iltokea live kijijin kwetu mbogwe-geita ambpo kijana aliyehitumu kidato cha 6, kijana huyu aliugua mshpa wa ngiri na alifarik ghafla usku huo, wakat wanamzka alikuwa hana jcho m1 wakat alikuwa na macho yte, je mshpa wa ngri huwa unanyofoa macho? Baada ya mazshi cku mbil baada kijana huyo alikutwa bwawan ananyolewa nywele na wabibi wawili na baada ya kufanya jthada za kuwakamata watu hao waliingia ndan ya bwawa na kupotea, je hao wabib wawil ndo madaktar bngwa wenye vfaa vya kisasa?
Wakati huo huo ratio ya doctors to population ni 1:30,000 see here --> Challenges in Transforming Medical Schools in Tanzania - Dr. Erick J. Mazyala - wavuti.com
Na hapo hapo tunakuwa mabingwa wa ku diagnose "uchawi" kwa vitu tusivyovielewa, wakati hata hiyo "New England Journal of Medicine" --> MMS: Error yenyewe imejaa papers ambazo watu wenye madaktari, vifaa na historia ya utabibu hawajayajua mpaka leo. Na kutoyajua maana yake si automatically uchawi. Kwani hata UKIMWI miaka ya 70 ulikuwa haujulikani.
Kwa hiyo wale waliokufa kwa UKIMWI miaka ya 70 na mwanzoni 80, ambapo hata tests zilikuwa bado kupatikana (kwa sababu ugonjwa ulikuwa haujaeleweka) wangesemwa wamekufa kwa "uchawi" ingekuwa sawa?
Tumezidi kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu.
Ali Hassan Mwinyi alijiuzulu kwa watu kuuawa kwa shutuma za uchawi Shinyanga miaka ya mwanzo ya sabini, hatujajifunza mpaka leo.
Watu wa Shinyanga mna nini? Nina jamaa wamestaarabika sana huko, mbona ustaarabu huu siuoni kwa baadhi wanaoendeleza mila hizi za kishenzi?
Watu hawana milo ya kueleweka huko wanajiangukia kwa njaa na minyoo na mental health problems na kuvuta moshi wa kuni kwa miaka na miaka, na Malaria sugu na typhoid etc halafu hospitali zisizo na vifaa wala wataalamu zikishindwa kujua sababu mnataka kuua zaidi kwa sababu ya "uchawi"?
Kuna familia moja huku vijiji vyetu vya Shinyanga,Bukombe imepata tatizo.Alianza mama wa familia kuugua vitu visivyojulikana kila akifanya medical checkups hapatwi na kitu,akapewa rufaa tu Bugando,kule hali ikawa vilevile but mum is serious sick,amekaa Bugando kama mwezi hv,madaktari kupima tena wakamkuta na uvimbe tumboni,issue inakuja kuwa ngumu,kila wakitaka kufanya operation,vpmo vinaonesha hana damu na maji,saiv ni mwezi wa tatu yuko serious kitandan,Kuna ukweli pia huyu mama alikorofishana na kufokeana na dada wa mumewe yaani wifi ake.
Sasa kuna mtoto wa huyu mama mgonjwa ambae anasoma kidato cha nne aliumizwa sana na mateso anayopata mama ake akachukua uamuzi wa kuandika kama barua kwa wale amewataja kwenye hiyo barua kuwa ni wachawi na wamemroga mama ake, yaan anamshutumu shangazi ake sasa,aliandika pia kuwapa onyo kuwa mama ake apone la sivyo kibaya kitatokea,akabandika hyo barua sehemu kama nne hv humo kijijin,basi ikawa gumzo,zile barua zikatolewa na kupelekwa ofis ya mtendaj kwa sababu zilikua na vitisho.
Huyo dogo akakamatwa baada ya wale walioshutumiwa kumshtak ofis ya kata,lakin kwa vile hao watu ni kweli wanajulikana kuwa ni wachaw mtendaji aliendesha kesi kisela na kumwachia dogo.Baada ya kuachiwa wale watu pa1 na shangaz yake walmuibukia nyumban na kumuonya kuwa atakoma,yeye atatangulia kabla ya mama ake, kesho yake dogo anaenda shule alipokaribia xul akaanguka akafa.
Na baada ya mazishi dogo amekua akija kwao usiku akiwa amejifunika sanda aliyozikiwa,Jamani nimeamini uchawi upo,saiv imepita kama siku 5 toka azikwe na leo ilikua graduu yake na huku mama pia haongei leo siku ya pili,ndo alikua mvulana pekee home.
Bado tunarudi kule kule...Serikli haiamini uchawi, mwisho wa siku anaachiwa kurudi uraiani!
We tulia tuondolee huo usayansi wako,sasa inakuaje mti afe afu usiku awe anarudi home? Ni ugonjwa gani huo?
Huyu aliyeandika thread hii naye atakuwa mchawi kwa sababu kuna maneno kama hayo niliyopigia rangi nyekundu kayajuaje
washindwe kwa jina YESU
Bado sana.
Ukiangalia medical mysteries documentaries utaamini hakuna uchawi. Manake magonjwa yanayosumbua vichwa yanatafutiwa ufumbuzi na yanatibiwa.
usiseme wanyakyusa wa Kyela ni wachawi,sema mama yako mdogo ni mchawi.sio kanda ya ziwa tu, hata wanyakyusa wa mbeya hasa wa kyela ni wachawi sana, tena wanalogana ndugu wa tumbo moja, mimi ni mhanga wa hayo matukio, kuna mama mdogo ni mshirikina sana, hapendi ndugu wengine waendelee kwa lolote, iwe watoto au wakubwa wenzake, ukiwa na akili darasani ni tatizo, na pia anakaribia kuacha kutumia waganga na kua mchawi ye mwenyewe aende front, ila mambo yanamtokea puani kwa sasa, ila ameyacost sana maisha yangu na ya ndugu zangu wengi, simpendi kusema kweli coz alianza kutuchezea wakati tuko wadogo hatujui lolote.
kwani binadamu ameacha kuzeeka?shy ukizeeka tuu ushakua mchawi,mimi nililima mpunga kwa misimu 3 maeneo ya Mwamalili,Bubale na Mwankinga,huko hawana tofautiti na Gamboshi,kuna uchawi balaa yaani kila kitu back up yake ni uchawiHivi shy walishaacha kuua vibibi na vibabu kweli?