Nimeamini uchawi upo,na nina support kuua wachawi

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,714
Kuna familia moja huku vijiji vyetu vya Shinyanga,Bukombe imepata tatizo.Alianza mama wa familia kuugua vitu visivyojulikana kila akifanya medical checkups hapatwi na kitu,akapewa rufaa tu Bugando,kule hali ikawa vilevile but mum is serious sick,amekaa Bugando kama mwezi hv,madaktari kupima tena wakamkuta na uvimbe tumboni,issue inakuja kuwa ngumu,kila wakitaka kufanya operation,vpmo vinaonesha hana damu na maji,saiv ni mwezi wa tatu yuko serious kitandan,Kuna ukweli pia huyu mama alikorofishana na kufokeana na dada wa mumewe yaani wifi ake.

Sasa kuna mtoto wa huyu mama mgonjwa ambae anasoma kidato cha nne aliumizwa sana na mateso anayopata mama ake akachukua uamuzi wa kuandika kama barua kwa wale amewataja kwenye hiyo barua kuwa ni wachawi na wamemroga mama ake, yaan anamshutumu shangazi ake sasa,aliandika pia kuwapa onyo kuwa mama ake apone la sivyo kibaya kitatokea,akabandika hyo barua sehemu kama nne hv humo kijijin,basi ikawa gumzo,zile barua zikatolewa na kupelekwa ofis ya mtendaj kwa sababu zilikua na vitisho.

Huyo dogo akakamatwa baada ya wale walioshutumiwa kumshtak ofis ya kata,lakin kwa vile hao watu ni kweli wanajulikana kuwa ni wachaw mtendaji aliendesha kesi kisela na kumwachia dogo.Baada ya kuachiwa wale watu pa1 na shangaz yake walmuibukia nyumban na kumuonya kuwa atakoma,yeye atatangulia kabla ya mama ake, kesho yake dogo anaenda shule alipokaribia xul akaanguka akafa.

Na baada ya mazishi dogo amekua akija kwao usiku akiwa amejifunika sanda aliyozikiwa,Jamani nimeamini uchawi upo,saiv imepita kama siku 5 toka azikwe na leo ilikua graduu yake na huku mama pia haongei leo siku ya pili,ndo alikua mvulana pekee home.
 
sio kanda ya ziwa tu, hata wanyakyusa wa mbeya hasa wa kyela ni wachawi sana, tena wanalogana ndugu wa tumbo moja, mimi ni mhanga wa hayo matukio, kuna mama mdogo ni mshirikina sana, hapendi ndugu wengine waendelee kwa lolote, iwe watoto au wakubwa wenzake, ukiwa na akili darasani ni tatizo, na pia anakaribia kuacha kutumia waganga na kua mchawi ye mwenyewe aende front, ila mambo yanamtokea puani kwa sasa, ila ameyacost sana maisha yangu na ya ndugu zangu wengi, simpendi kusema kweli coz alianza kutuchezea wakati tuko wadogo hatujui lolote.
 
Kama hiyo stori ni ya kweli huyo dogo ni msukule tu.
Huamini unaacha!!
 
sio kanda ya ziwa tu, hata wanyakyusa wa mbeya hasa wa kyela ni wachawi sana, tena wanalogana ndugu wa tumbo moja, mimi ni mhanga wa hayo matukio, kuna mama mdogo ni mshirikina sana, hapendi ndugu wengine waendelee kwa lolote, iwe watoto au wakubwa wenzake, ukiwa na akili darasani ni tatizo, na pia anakaribia kuacha kutumia waganga na kua mchawi ye mwenyewe aende front, ila mambo yanamtokea puani kwa sasa, ila ameyacost sana maisha yangu na ya ndugu zangu wengi, simpendi kusema kweli coz alianza kutuchezea wakati tuko wadogo hatujui lolote.

Hii ni kweli.
wanyakyusa wa kyela ni wachawi mno.
 
hapo penye red panataka ufafanuzi. Alikuwa anawachezeaje? kwani niliwahi kusikia kuna watu wanawafanyia wenzao vitendo vya kisodoma kwa njia za kishirikina, mikoa ya kusini wanaitwa "Cheje". Sasa kwa huyo shangazi inakuwaje? au alikuwa anawapapasa papasa tu na vidole vyake? funguka mkuu
 
Ili udhurike kwa uchawi ni budi uwe na imani nao. Sisi tusiouamini wala hautupi shida.

mwasyoke ndg yangu, uchawi ulioko kwa ndugu hata useme huamini au usiamini unaweza kukudhuru, hasa kama hufaham chochote kua huyo ndugu yako anaweza kukufanyia ubaya wa kiwango hicho. Ila jina la yesu litabaki kusimama, mungu huwa ana revenge na wachawi kabla hawajafa. namshukuru mungu kwa hilo.
 
sio kanda ya ziwa tu, hata wanyakyusa wa mbeya hasa wa kyela ni wachawi sana, tena wanalogana ndugu wa tumbo moja, mimi ni mhanga wa hayo matukio, kuna mama mdogo ni mshirikina sana, hapendi ndugu wengine waendelee kwa lolote, iwe watoto au wakubwa wenzake, ukiwa na akili darasani ni tatizo, na pia anakaribia kuacha kutumia waganga na kua mchawi ye mwenyewe aende front, ila mambo yanamtokea puani kwa sasa, ila ameyacost sana maisha yangu na ya ndugu zangu wengi, simpendi kusema kweli coz alianza kutuchezea wakati tuko wadogo hatujui lolote.
Mwe! Mbombo ngafu. Sasa ulijuwaje Kama huyo ni mchawi bila wewe kwenda kufanya mambo ya kichawi? Nina wasiwasi nyie wote ni wa aina moja!
 
Hivi shy walishaacha kuua vibibi na vibabu kweli?
 
hapo penye red panataka ufafanuzi. Alikuwa anawachezeaje? kwani niliwahi kusikia kuna watu wanawafanyia wenzao vitendo vya kisodoma kwa njia za kishirikina, mikoa ya kusini wanaitwa "Cheje". Sasa kwa huyo shangazi inakuwaje? au alikuwa anawapapasa papasa tu na vidole vyake? funguka mkuu

sasa ndugu mada hujaielewa, alikua anatuloga wakati tuko vitoto bt kwa sasa bwana yesu katuponya na mauchawi yake
 
Nakemea mamlaka zote zilizo kinyume na kazi ya Mungu zishindwe na kuteketezwa kabisa.
 
Mwe! Mbombo ngafu. Sasa ulikuwaje Kama huyo ni mchawi bila wewe kwenda kufanya mambo ya kichawi? Nina wasiwasi nyie wote ni wa aina moja!

wakati niko kidato cha sita kuna mganga wake akanifata akaniambia maneno flan indirect ambayo nimechukua muda sana kuja kumwelewa alikua na maana gani, jamaa yule ilikua njaa tu inamsumbua bt nadhani hakupenda kabisa yule mama anachawafanyia ndugu zake, na pia hutumii akili nyingi kumtambua mchawi as long as uwe na akili timamu.
 
Back
Top Bottom