Nilikuwa na uhusiano na binti wa kichagga wa Sanya Juu na ni lazima niconfess kwamba toka niachane naye kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu kwa wakati huo sijapata kukutana na binti wa aina yake kwenye sita kwa sita.So stop the witchhunt . Na by the way mimi sio mchagga.Ni chiasaka.
jina la huyo binti linaanza na herufi "NA"