Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

Lakn madem wa kichagga wana mapenz ya kweli hawagawi ovyoovyo na wana malengo katka maisha yao thats y wanaongoza kwa kuolewa! Mimi mwenyewe ndoto yangu ni kuishi na mtoto wa kichagga! Wewe endelea na research zako nao wanasearch pesa zako!
 
Nyie ndo mnafanya tz tuambiwe wa 9 duniani kwa upumbafu!
 
Lakn madem wa kichagga wana mapenz ya kweli hawagawi ovyoovyo na wana malengo katka maisha yao thats y wanaongoza kwa kuolewa! Mimi mwenyewe ndoto yangu ni kuishi na mtoto wa kichagga! Wewe endelea na research zako nao wanasearch pesa zako!

Miaka zaidi ya 50 ya uhuru bado una ndoto za kikabila?
 
Kwa ufahamu wangu ukioa mwanamke wa kichaga ni kama umenunua gari 4x4. Uwe na raha au shida atakuwa na wewe. Kile kiapo 'kwa shida na raha', wenzetu wanakielewa vyema. Sasa kama wewe unataka kukatikiwa kiuno nenda pwani kutoka Tanga, Uzaramoni mpaka Ntwara ila ukiishiwa na pesa mwenye pesa zake atakusaidia.

Wachaga wa wapi hawa, na wa mwaka gani? Utafiti wangu mdogo wanaume waliooa wachaga wanalia, complications kibao na kupenda makuu. Wanaume wa kichaga wenyewe sasa hivi wanaanza kuoa makabila mengine. Chaggas are my neighbours, naongea ninavyowafahamu. Najua mtanimeza maana ukweli unauma.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni uongo. Mimi mwenyewe si mchaga lakini wachaga nawakubali kabisa, yaani wanajua maana ya ndoa ni nini katika uvumilivu
 
Wachaga wa wapi hawa, na wa mwaka gani? Utafiti wangu mdogo wanaume waliooa wachaga wanalia, complications kibao na kupenda makuu. Wanaume wa kichaga wenyewe sasa hivi wanaanza kuoa makabila mengine. Chaggas are my neighbours, naongea ninavyowafahamu. Najua mtanimeza maana ukweli unauma.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Wanaume wa kichagga gani unawaongelea?? Tukaoe kabila lingine tumerogwa au?? Tukioa huko ni kwa bahati mbaya tu, sie tunaoana wenyewe acheni kujipa kick
 
Wadada wengi wao ni watata kiburi,dharau,ubabe na ukorofi usio na kichwa wala miguu.Usiombee ukawa umemfia,atakuendesha km gari bovu.Japo wapo wachache wanajielewa ambao hautadhubutu kuwaacha bila kuoa.Japo kwa sehemu kubwa ni shida
 
Wachaga wa wapi hawa, na wa mwaka gani? Utafiti wangu mdogo wanaume waliooa wachaga wanalia, complications kibao na kupenda makuu. Wanaume wa kichaga wenyewe sasa hivi wanaanza kuoa makabila mengine. Chaggas are my neighbours, naongea ninavyowafahamu. Najua mtanimeza maana ukweli unauma.

Sent from my iPhone using JamiiForums

The chaga women I know, being married is status and they don't sit down and wait for their men success, their fighters on their own right. Mrs Shayo can be a bank manager while Mr Shayo is a shoe shiner
 
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.

Ndugu miezi miwili tayari umefyagia 9, mweeeeee! Si utakuwa umebaki na kibamia mkuu?
 
Mimi ni sio mchaga na hua sicomment thread ila kwa ufupi wanawake wa kichaga ninawakubali sana. Full kujitambua na sio magoal keeper.
 
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.

Mkuuu nimeona kichwa cha habari kabla sijasoma content hahahahahaha nimecheka mpaka kidogo nipate ajari
 
Back
Top Bottom