Dada zangu wako Moshi mida hii wanahesabiwa. Up.upu kama huu waaaala hawatauona.
Mtu anayejua mapenzi na ambaye hajui unatumia kigezo gan kuwatofautisha?
Na ni nn kimekuaminisha kuwa ww unayajua mapenzi?
Unajuaje kama ww mwenyew ndio tatizo? Kama huna mvuto kwenye mapenzi, hujui kuhamasisha mwenzio atarespond vp?
Acha maneno ya vijiwen bhana
.. miss chaga uje huku anakutafuta huyu
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.
Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?
Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).
Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.
Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.
Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.
Nilikuwa na uhusiano na binti wa kichagga wa Sanya Juu na ni lazima niconfess kwamba toka niachane naye kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu kwa wakati huo sijapata kukutana na binti wa aina yake kwenye sita kwa sita.So stop the witchhunt . Na by the way mimi sio mchagga.Ni chiasaka.
hahaha...inawezekana hana mvuto wa mapenz kweli mana mwanaume anayekuvutia utampa vyote hadi vya chini ya uvungu
sema hakyamungu!! Ngoja nijikongoje taratibu teh teh