Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 833
- 565
hawa ndo wenye akili za kushikiwa.. mabinti wa kichaga hatujui mapenzi, so what??? baada ya utafiti, hadithi yako inatufundisha nini??? wanaojua mapenzi wamepata nn zaidi ya kutumika hovyo tu??? uchagani tuliagizwa hela tu... mapenzi achia wazaramo
kwahiyo unakubaliana na matokeo ya utafiti huu? Kwamba nyinyi wachaga ni pesa tu mapenzi kushoto! Au sijakuelewa?