Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.
Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?
Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).
Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.
Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.
Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.
Unazungumzia hawa waume mnaowauwa mkishahisi mmekusanya mali za kutosha au..??Usituchoshe!!Tunajua, hatujui waachie waume na wapenzi wetu. Nyie wapita njia muonyeshwe mapenzi ya kazi gani?!
Hata waliogundua ndege.... umeme ambao leo unajidai nao waliparapandiwa na ugunduzi wao9! Ingawaje umetuficha idadi halisi, lakini jitoe mtandaoni. Tafiti nyingine Ni tiketi huru za parapanda
ni kweli aisee ila sasa pesa yako yangu ,.. pesa yangu yangudada huo ufahamu wako, mmmmmmhhhh! labdaaaa. miss chagga akithibitisha hili basi instantly naanza kusaka mke wa kichagga. :msela:
dunia ni lukumbo lukumboWengine wakiwa wanaumiza vichwa vyao kuwa ilikuwaje hawakuyafikia malengo yao ya mwaka uliopita.....huku akifikiria namna ya kuukabili mwaka mpya huku akiomba uwe wa mafanikio.....kuna binaadamu wengine wamewekeza akili zao na bongo zao kwenye tafiti za kuwafikisha wakina dada vileleni....wakati kuna mtu anakesha kumuomba mungu amjalie mke mwema na mzuri wa tabia...kuna mpumbavu mmoja mmoja anatafiti makabila katika kupata mke mwema.......kweli nimeamini dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti......
Ww ulikuwa hujui mimi na wachaga kama paka na.panya hata habari nao sina akili zao zote ziko kwenye mijihela unamananii yaani unamnanihiii kwenyw sita kwa sita anakwambia kesho naenda saloon alafu lile gauni la x-mas hujaninunulia aaaakh i hate chaga lady
Hata wewe hujui mapenzi kabisa,
Mwezi mmoja wasichana tisa, hivi unatwanga au unakoboa. miss chagga yuko huko milimani, lara 1 naye yuko huko huko, hao wangekutosha.
Unazungumzia hawa waume mnaowauwa mkishahisi mmekusanya mali za kutosha au..??
Wanawake tisa kwa mwezi???? Duh! Huvai boksa rafiki??
hivi ukifanyiwa vifuatavyo unataka nini tena
1.blowjob
2.upewe vi3
3.styl kama on top
4.....
UNATAKA NINI TENA
MAANA MNASEMA WACHAGA HAWAJUI MAPENZI LAKINI HAMSEMI KIPI HASA MNATAKA