Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.

Teh teh teh teh!
Tell me about it!

Mikojo kibao .

Cc 2013 dada zako ovyo sana wewe.
 
Last edited by a moderator:
It takes two to tango. If you cannot handle the pressure do not play the blame game.It is so obvious.
 
Inawezekana huna ela,mpe ela mwanamke wa kixhaga halafu uone kama hujasahau kwenu

Ndio maana najisemea hohehale shida yao ni kuona unakimbizana kitandani tu.kulala na wanawake 9 in a month,huyu ni scraper name kimeo
 
hawa ndo wenye akili za kushikiwa.. mabinti wa kichaga hatujui mapenzi, so what??? baada ya utafiti, hadithi yako inatufundisha nini??? wanaojua mapenzi wamepata nn zaidi ya kutumika hovyo tu??? uchagani tuliagizwa hela tu... mapenzi achia wazaramo
 
Hivi sahihi hawajui mapenzi au hawajui kungonoka/kufanya tendo la ndoa?!!!

Mwingine alikuja na uzi kulalama ndugu zake/kabila wanatekwa/owa wachaga na hivyo kuhamisha uchumi. Sasa hao hao wasiojua mapenzi ndo wanazidi kuolewa, huo utafiti utakuwa umekosea kwenye malengo(,objectives), kama hujageuza data.
 
Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.
.

tek care of urslf urslf kaka
 
Hata wewe hujui mapenzi kabisa,
Mwezi mmoja wasichana tisa, hivi unatwanga au unakoboa. miss chagga yuko huko milimani, lara 1 naye yuko huko huko, hao wangekutosha.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ufahamu wangu ukioa mwanamke wa kichaga ni kama umenunua gari 4x4. Uwe na raha au shida atakuwa na wewe. Kile kiapo 'kwa shida na raha', wenzetu wanakielewa vyema. Sasa kama wewe unataka kukatikiwa kiuno nenda pwani kutoka Tanga, Uzaramoni mpaka Ntwara ila ukiishiwa na pesa mwenye pesa zake atakusaidia.

dada huo ufahamu wako, mmmmmmhhhh! labdaaaa. miss chagga akithibitisha hili basi instantly naanza kusaka mke wa kichagga. :msela:
 
Last edited by a moderator:
Vijana bwana, watu wanajisifia ni kiasi gani at the end of the day wanaingiza pesa kiasi gani.... Hawa vijana wa kitz wanajisifia kufanya "utafiti" wa kwa wasichaja 11.....! Nchi hii bwana, that thing in between your legs will at one time become the lope to hung you!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wabongo Bana,nini Ambacho Hamjaelewa?Alifanya Utafiti Akagundua Hawajui Mapenz That's All,au Mlitaka Asemeje? Ndiyo Aliwagegeda Wote 9 Akagundua Hawajui Ku Do! Sasa Mnatakaje? Udadisi Wa Kiwehu Toeni Hapa Bana,mie Nawakubali Wahaya,wasukuma,wanyamwezi Na Wamasai Kunako Sita Kwa Sita Wewe Acha Tu.
 
Usituchoshe!!Tunajua, hatujui waachie waume na wapenzi wetu. Nyie wapita njia muonyeshwe mapenzi ya kazi gani?!
 
Hiv unajua ukimwi upo ama unahis ni gonjwa la kusadikika
 
Back
Top Bottom