Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,189
[emoji120][emoji120][emoji7][emoji7]
Akhsante kushukuru Shunie.....
Akhsante kushukuru Shunie.....
Mmh!!!!Hee ushauri tu toka zaman
Siri ya kambi aijua askari wa zamu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Muda ndio kila kitu,.ila usijiendekeze kumfikiria,.vingine siri ya kambi hatusemi semi hovyo[emoji4]
Tena ule wimbo wa tenzi za rohoni namba 52 "yote namtolea Yesu" mzuri saaaana...aimbe huo usiku huu.Achana na mawazo hayo, ukiona unaanza kumuwaza chukukua kitabu cha dini au
tenzi za rohoni imba mpaka usingizi utakupitia hutamuaza tena huyo zilipendwa wako,
Pole sana shost
Barikiwa Mpendwa....[emoji120][emoji120][emoji7][emoji7]
Sasa kwani nini na nesanesa balaa unamuokota baunsa yeyote unapita naye hapo hapo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani tena usiombee uvae high heels ya "wejes" woii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo mwendo Beyonce anasubiri
Hahahaa siri siriniSirj ya kambi aijua askari wa zamu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wooozeeer wooozerr [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaah uwwiiii wapi security officers.... Ni hiviii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Sasa kwani nini na nesanesa balaa unamuokota baunsa yeyote unapita naye hapo hapo [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante Ely na kwako piaBarikiwa Mpendwa....
Naomba nikutakie usiku mwema Shunie
Haaaa haaaa machozi ya nini siku ndugu zake wakifa sijui atalia na nini [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Tena ule wimbo wa tenzi za rohoni namba 52 "yote namtolea Yesu" mzuri saaaana...aimbe huo usiku huu.
Pressure ya nini wakati kila mtu ana mwili wake tena x tu sio mme atambae tu
Itabidi uje nikufanyie counselling
Sema walahi!! haujakutana na fundi naona,laiti ungekutana naye (mfano mimi) hiyo kauli utafuta!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mm tumeachana haipiti week nakusahau hata tukionana naweza hata nisikusalimie achana na kushtuka sijui na kukosa kulala hiyo haitokei kamwe tukiachana kila kitu kuhusu wewe nasahau nakuhesabia marehemu woiiii
Hapo chachaaHaaaa haaaa machozi ya nini siku ndugu zake wakifa sijui atalia na nini [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeenh