Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,127
- 110,901
Hii ndio maana watu wanapaswa kutunza akiba ya maneno.Unapenda kutibua sana matangazo ya watu
Na hapo ndipo mahabat yangu na Jf yalipo, maana haiongopi.... tehteehhh
Hii ndio maana watu wanapaswa kutunza akiba ya maneno.Unapenda kutibua sana matangazo ya watu
Sawa babu[emoji23] [emoji23] [emoji23] madam s huyo aliamua tu kuniita babu
[emoji23] [emoji23] umeanzaSawa babu
[emoji23] [emoji23] umeanza
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] King kong master naanzaje kutolala sababu ya x marehemu
Hahahahaha
I can't you bebez
Akili zenu mwazijua wenyewe
Haaaaa haaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] bonge ya bubujikoYote namtolea Yesu, nainamia pake nimeacha na anasa kwako Yesu nipokee [emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445] uwiiii shunie mm naacha anasa bye bye
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Woiii namm naacha yoote...yooooote ni ubatili na kujilisha upepo..bora nibaki kwenye umama mchungaji wangu tuu,..bye bye anasa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini mnanizeeshaJamani mm tena kwahiyo mm sifai kukuita babu eenh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mm tumeachana haipiti week nakusahau hata tukionana naweza hata nisikusalimie achana na kushtuka sijui na kukosa kulala hiyo haitokei kamwe tukiachana kila kitu kuhusu wewe nasahau nakuhesabia marehemu woiiii
dawa yake ipo ambayo ukiwa tu na Mimi yeye ndio ataanza kuona wivuHabari wanajamvi
Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake
Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke mwingine...wakitanua...
Sio siri moyo wangu ulilipuka na kuumia sana....usiku wa siku hiyo...sikulala nilisongwa na mawazo... Nikifikiria zile mechi ambazo tulikuwa tunacheza....ndo watakuwa wanazicheza
Nimeachana nae...ila najikuta namuwaza na kuhisi wivu
Nifanyeje nimsahau..na nisione wivu..nimuonapo akiwa na mpenzi wake mwingine?