Nimeachana nae..ila bado naona wivu

Nimeachana nae..ila bado naona wivu

Hahahaaah uwwiiii wapi security officers.... Ni hiviii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tena unapita naye ukifika mbele unamwambia pita pale kisha rudi tena huku kama
hawata ondoka na mtu wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji151] [emoji151]
 
Tena unapita naye ukifika mbele unamwambia pita pale kisha rudi tena huku kama
hawata ondoka na mtu wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji151] [emoji151]
Mbio za bombadia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukishindwa kumsahau mnywee mkojo tu kama anavyosema usipojipanga unamsahau sekunde ya nn kujiumiza kichwa
Yaani mie huwashangaa watu wengine wiki inatosha sana tena kimya kimya ukitoka humo
wazamani maisha yanasonga saaaasa wengine mpaka anapauka uso mthiiiiiiiu [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Habari wanajamvi

Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake

Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke mwingine...wakitanua...

Sio siri moyo wangu ulilipuka na kuumia sana....usiku wa siku hiyo...sikulala nilisongwa na mawazo... Nikifikiria zile mechi ambazo tulikuwa tunacheza....ndo watakuwa wanazicheza

Nimeachana nae...ila najikuta namuwaza na kuhisi wivu

Nifanyeje nimsahau..na nisione wivu..nimuonapo akiwa na mpenzi wake mwingine?
Njoo kwangu hakika hutomkumbuka tena wala kuhisi wivu kwake
 
Sema walahi!! haujakutana na fundi naona,laiti ungekutana naye (mfano mimi) hiyo kauli utafuta!!
Kujiendekeza tu kama mdada aliyetaka kunywa sumu kisa msanii kafa na si ndugu yake,
kaulizwa mbona alipokufa baba yako hukunywa sumu,

Hakuna cha ufundi wala nini chini ya dunia yote ni yale yale tu
 
Yaani mie huwashangaa watu wengine wiki inatosha sana tena kimya kimya ukitoka humo
wazamani maisha yanasonga saaaasa wengine mpaka anapauka uso mthiiiiiiiu [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wouzzzerrrrr siku 7 unatoka mpyaaaa kama mtoto mchanga vile,.[emoji23][emoji23]
 
Yote namtolea Yesu nampa moyo wote, Nampa moyo wote, Nitampenda siku zote namwandama kila saa halelujah
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2] [emoji28] mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji99]
 
Tafuta mwanaume mwenye hela zaidi ya mpenzi wako wa zamani
 
Kwan ww huna wa kula nae raha?!ulidhani mkiachana ndio atakuwa peke yake bila mtu mwingine?!
 
Yote kwa Yesu, yote kwa Yesu, yote kwako, Ee mwokozi natoa sasa [emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444] halleluja hallelujah [emoji120][emoji120]
Oh Haleluyaaaaaa sanaa...[emoji122][emoji122]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2] [emoji28] mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji99]
 
Back
Top Bottom