Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
Hahha jichekee love asikuumize kichwa huyo[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hahha jichekee love asikuumize kichwa huyo[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Wooozeeer wooozeeerr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Woooii shunii mbavu zanguu,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]master of all disasters hahahahaa nimecheka sana uwwii
Mda ndo naingia ndan nowPita kushoto
bas pumzika kwa amani dadaCtaki..mwingine tena!
Haaaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Upo mkoa gani ? Njoo nichukue mimi tupite mbele yake japo mimi ni dereva wa matatu
Umeona unapita tu tena kwa madaha [emoji23] [emoji23] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ndio utaona umuhimu wa kuwa na backup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anampenda mwaya,.lakini ngoja atuambie miaka yake usikute yuko 19 lazima alie,..sasa wazee wa siku kama mm naww ma king kong yenyewe ya porini vitu kama hivi tunasov kizee zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wozaa
Muda ndio kila kitu,.ila usijiendekeze kumfikiria,.vingine siri ya kambi hatusemi semi hovyo[emoji4]Sasa nafanyaje..hili shetani anitoke kichwani?
Za mimi poa sana tu Shunie..
Karibu tule chakula
Yaani tena usiombee uvae high heels ya "wejes" woii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo mwendo Beyonce anasubiriUmeona unapita tu tena kwa mdaha [emoji23] [emoji23] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akafie mbele nikakose amani kwa kitu kisicho sema [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mie mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] King kong master naanzaje kutolala sababu ya x marehemu
Hee ushauri tu toka zamanHaya mambo umeanza lini eti
Akafie mbele nikakose amani kwa kitu kisicho sema [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mie mbele kwa mbele
Hee ushauri tu toka zaman
Akhsante kushukuru Shunie.....Asante sana Ely kwa chakula
Achana na mawazo hayo, ukiona unaanza kumuwaza chukukua kitabu cha dini auSasa nafanyaje..hili shetani anitoke kichwani?