Nimeachana nae..ila bado naona wivu

Nimeachana nae..ila bado naona wivu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mm tumeachana haipiti week nakusahau hata tukionana naweza hata nisikusalimie achana na kushtuka sijui na kukosa kulala hiyo haitokei kamwe tukiachana kila kitu kuhusu wewe nasahau nakuhesabia marehemu woiiii
Jaaaamaniiii weka baaaariaa mikono juu mwendo wa mateka mikono juu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]in man fongo voice
 
Fikiria kabla yake uliishije? Mwache aende zake, utazoea taratibu, kuumia ni kawaida ila usitafute mpenzi mwingine kwa sasa, jipe muda kutafakari
Asanty
 
Habari wanajamvi

Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake

Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke mwingine...wakitanua...

Sio siri moyo wangu ulilipuka na kuumia sana....usiku wa siku hiyo...sikulala nilisongwa na mawazo... Nikifikiria zile mechi ambazo tulikuwa tunacheza....ndo watakuwa wanazicheza

Nimeachana nae...ila najikuta namuwaza na kuhisi wivu

Nifanyeje nimsahau..na nisione wivu..nimuonapo akiwa na mpenzi wake mwingine?
Tuwe makini jaman na watu wasiojulikana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] King kong master naanzaje kutolala sababu ya x marehemu
Woooii shunii mbavu zanguu,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]master of all disasters hahahahaa nimecheka sana uwwii
 
Habari wanajamvi

Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake

Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke mwingine...wakitanua...

Sio siri moyo wangu ulilipuka na kuumia sana....usiku wa siku hiyo...sikulala nilisongwa na mawazo... Nikifikiria zile mechi ambazo tulikuwa tunacheza....ndo watakuwa wanazicheza

Nimeachana nae...ila najikuta namuwaza na kuhisi wivu

Nifanyeje nimsahau..na nisione wivu..nimuonapo akiwa na mpenzi wake mwingine?
hamia mkoa mwingine
 
Back
Top Bottom