Nimeachana nae..ila bado naona wivu

Nimeachana nae..ila bado naona wivu

Hahaha halafu nilitaka nikuite bi shost bado anampenda jamaa ujue
Hapa ndio utaona umuhimu wa kuwa na backup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anampenda mwaya,.lakini ngoja atuambie miaka yake usikute yuko 19 lazima alie,..sasa wazee wa siku kama mm naww ma king kong yenyewe ya porini vitu kama hivi tunasov kizee zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wozaa
 
Au sio
 
Hahahhaha nyie dawa yenu huwa niiyo tu " Kukunjwa kisawasawa katika mechi" utaachana namtu lkn kumsahau sasa kaaaaaazi kwelikweli .

Pole Cute b , tulia tu kwasasa, Wala usije ukatafuta Naww mtu wakukupigisha mechi nzito nzito ,utajikuta umehama bucha kibao lkn bado .

Tulia, huenda akajikuta huko aliko hakuna maana na Akarudi kwako, nahata asiporudi, Utakua umejipa muda wakujenga Hisia nzito zaidi namtu mwingine ..nakwasababu ya hisia izo, hata siku mkinjunjana Utajikuta unaikubal Show yake kisawasawa.

Funzo la uzi wako....

wakati fulan kumbe mwanamke anamkumbuka mwanamme wake Pale tu anapoanza kukumbuka alivyokua anakunjwa.

Hivo basi, wana Wakunjeni madem wenu hata asikae anakusahau.
Loh!..una mambo
 
Hahahah hapo itakuwa umemuona yuko na kifaa kikali zaidi yako
Afu lijamaa vile linakupaga show za hatar lazma ukonde ukizkumbuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mm tumeachana haipiti week nakusahau hata tukionana naweza hata nisikusalimie achana na kushtuka sijui na kukosa kulala hiyo haitokei kamwe tukiachana kila kitu kuhusu wewe nasahau nakuhesabia marehemu woiiii
Hapa ndio utaona umuhimu wa kuwa na backup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anampenda mwaya,.lakini ngoja atuambie miaka yake usikute yuko 19 lazima alie,..sasa wazee wa siku kama mm naww ma king kong yenyewe ya porini vitu kama hivi tunasov kizee zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wozaa
 
Kubali tu sio wako tena

Hakuna kitu kinauma kama kuachana na mtu ambae moyo wako bado ulihitaji kua nae na ushajiweka ukajua unafanya naye future inauma lakini ikifikia mahali ukaona hiyo ndo njia sahihi huna namna

Halaf utakua umejifunza kuyamaliza kabla hamjalala mkikorofishana

Kufanya haraka kupata suluhu kwa ajili ya uhai wa gurudumu la mahusiano yenu

Pole hili nalo litapita mwache atambe na mpya we kubali kuumia sasa ili baadae usiumie tena wala kulia tena
Asanty...mum
 
Fikiria kabla yake uliishije? Mwache aende zake, utazoea taratibu, kuumia ni kawaida ila usitafute mpenzi mwingine kwa sasa, jipe muda kutafakari
 
Back
Top Bottom