Hahahhaha nyie dawa yenu huwa niiyo tu " Kukunjwa kisawasawa katika mechi" utaachana namtu lkn kumsahau sasa kaaaaaazi kwelikweli .
Pole Cutelove, tulia tu kwasasa, Wala usije ukatafuta Naww mtu wakukupigisha mechi nzito nzito ,utajikuta umehama bucha kibao lkn bado .
Tulia, huenda akajikuta huko aliko hakuna maana na Akarudi kwako, nahata asiporudi, Utakua umejipa muda wakujenga Hisia nzito zaidi namtu mwingine ..nakwasababu ya hisia izo, hata siku mkinjunjana Utajikuta unaikubal Show yake kisawasawa.
Funzo la uzi wako....
wakati fulan kumbe mwanamke anamkumbuka mwanamme wake Pale tu anapoanza kukumbuka alivyokua anakunjwa.
Hivo basi, wana Wakunjeni madem wenu hata asikae anakusahau.