mselambaya
Senior Member
- Jan 10, 2017
- 106
- 77
Arsis swali langu hili sijajibiwaElezea ulivyofundishwa na Arsis kuhusu aina za binadam
Arsis swali langu hili sijajibiwaElezea ulivyofundishwa na Arsis kuhusu aina za binadam
BossArsis; Usilaumu na usilinganishe Wakristo na Waislam, linganisha Ukristo na Uislam. Wewe fundisha elimu yako, wao wafundishe elimu yao, wote tupate elimu.
Msitafute mshindi. Akishinda mkristo muislam tabatizwa, watasema Aleluya, akishinda Muislam Mkristo atashahadia, watasema Allahu Akbar.
Mbona nyinyi Waislam mna kitabu kizuri sana, kinafundisha kila kitu lakini mnasema Adam mtu wa kwanza. Wapi imeandikwa? Mnasema Adam ana mke anaitwa Hawa, wapi imeandikwa? Mnase Wakristo wapi imeandikwa?
Nataka majibu ya elimu ya vitabu. Kila mtu aone, na yule sheikh anaongea sauti yake inaletwa na yehye ajibu pia.
Waislam mnaharibu Qur'an. Niseme zaidi?
Simba.
Hapana sasa sitakaa kimya,arsis unazingua sana,kuna baadhi ya mambo unasema uongo kabisaArsis" Raptha ipo Kilwa. Kila mahali duniani ipo miji chini ya bahari. Inaangamizwa, nenda Lamu, unaona mji upo chini ya bahari, maji meupe kabisa kila siku, hata vumbi hakuna. Uliza jirani waytu wa Lamu kwanini? Uliza kwanini wengi wanakimbia Lamu mpaka leo, wanaitwa wagunya, wamejaa Mombasa, Tanza, Pemba, Ungja, Mwanza Dodoma, Somalia. Dar. why?
Nyinyi mnafikiri mmeumbwa watu wa kwanza? Ndio mnadanganyana sijui adam miaka 7000 nyuma, you are all fools to believe that. Especially Muslims are the biggest fools of all. Mna Qur'an kila mahali, hamuijui badala ya kusoma Qur'an mkaifundisha mnafundisha biblia.
Simba.
Simba; Mbona tumeweka picha? Labda uzi unakwenda mbio sana imekupita?Ni kweli kuna wengi wameuliza mambo ya kuomba msaada naona hauajajibiwa kabisa. Mi nadhani tungeendelea na story tu. Na pia kuna picha aliweka hapa ya jini ila kwwnye story hakuonesha kuna sehemu aliomba hata kuwapiga picha. Inafikirisha kidogo.
Nilitoa angalizo mapema huyu si wa kumwamini,jini always ni jini,uongo ndio sehemu ya maisha yaoBro mtoe Arsis hapo coz is so disgusting.
Nataka nijadiliane na wewe au na me nimlete wa kwangu wajadiliane?
Hahaaa dah, hatari hii jamani.Simba; Sasa hivi tumeanza utaratibu anachosema yeye kinaanza kwa jina lake, ninachosema mimi kinaanza kwa jina langu, usimsome kama anakuchukiza.
Simba.
Sawa nimetafuta sura zinazo anza na alif lam miim katika quran nimepata ni sura nane hivyo kutakuwa na alif nane lam nane na miim nane sasa katika mpangilio wa abjad alif ina uzito wa 1, lam ina uzito wa 30 na miim ina uzito wa 40 hivyo itakuwa hivi 1x 8= 8, 30x 8=240, 40x8=320 ukijumlisha 320+240+8= 568.Arsis: Weka hapa tuone ulichopata na ueleze umepata vipi na wengine waelewe. Abjad.
Simba.
Jamaa ana kwepa maswali mengiHII SIMULIZI WAKATI INAANZA NILIIPENDA SANA MPAKA PALE ALIPOINGIZWA ARSIS, KWA ZILE SIFA ZA KWENYE SIMULIZI NA KUSEMA ARSIS ATAKUWEPO KUJIBU MASWALI WENGI WAKAWA NA SHAUKU KUTAKA KUULIZA MASWALI WAPATE MAJIBU NA WENGINE WATATATULIWE SHIDA ZAO.
IKAWA KINYUME NA MATARAJIO YA WENGI MPAKA WENGINE WAMEPUUZA UZI WANASOMA KAMA BURUDANI SABABU SO CALLED ARSIS ALIJIBU MASWALI ANAYO YATAKA YEYE AU NI SEME MEPESI KWAKE NA MENGINE ALIJIBU KWA KIFUPI SIO CLEAR YAANI ANAJIBU HUJAELEWA NA HATAKI KUELEZEWA UELEWE HATA MASWALI YALIVYO JIBIWA SIO YA MTU KWENYE ELIMU ALIYO JINASIBU KUFUNGIWA KWENYE CHUPA SIJUI NA MAJINN WAKUBWA JINN SUBIAN TU HAJAJIBU KAJIBU TU MAANA YA SUBIAN NI SABAYIN YAANI HAKUNA UFAFANUZI YAANI HAKUNA ILE ELIMU DEEP UKASHIBA NI KAWAIDA SANA NA NDIVYO WALIVYO WATU WASOJUA HUJIONA WANAJUA WAO BORA KULIKO WENGINE KAMA KUNA MTU ANAAMINI KUNA ARSIS SIJUI UTAPATA ELIMU MAJIBU YA MASWALI YAKO NA MJANJA KUKATAA INBOX KUSEMA WATU WAULIZE HAPA HADHARANI WATU WAJIFUNZE ANAJUA SIO RAHISI MTU AJIANIKE AU KUSEMA AJE NA ID NYINGINE NDO MAANA WALOULIZA KUELEZEWA SHIDA WAMEACHWA WANAELEA NASIKITIKA HAMTOPATA MNACHO KITARAJIA HAPA HAMNA KITU ILA MPAKA UWE NA D 2 😁 NDO UTAELEWA VILE WENGI HAWANA ELIMU YA MAMBO HAYO NDO KABISA MIE BINAFSI NILISHAWAHI KUMUULIZA SIMBA AMUULIZE ARSIS NILIMPA MASWALI AMBAYO ANGEJIBU NINGEJUA ELIMU IPO ILA SIMBA AKASEMA ATAULIZA ILA HANIPI AHADI I KAKA TANGAZO HAKUNA PM KUNA MASWALI NIKAULIZA SIJAJIBIWA NIKAJIBIWA TU NIMEULIZA MENGI KWA PAMOJA NIULIZE MOJA WAKATI INAWEZEKANA KUJIBU MOJA MOJA AENDELEE NA STORY ZA KAMBA NA BABU WA SOMALI ILA ELIMU HAKUNA HAPA NIENDELEE NA MAMBO MENGINE YA UTAFUTAJI MAISHA OVER AND OUT NATEREMKA HAPA BOAT YANGU IMETIA NANGA KUNA WATU KAMA LIDAFO ETUGRUL BEY FAIZA FOXY NAWEZA KUSEMA WANA ELIMU KULIKO SO CALLED SIMBA NA ARSIS WAKE.
Simba; Sasa hivi tumeanza utaratibu anachosema yeye kinaanza kwa jina lake, ninachosema mimi kinaanza kwa jina langu, usimsome kama anakuchukiza.Bro mtoe Arsis hapo coz is so disgusting.
Nataka nijadiliane na wewe au na me nimlete wa kwangu wajadiliane?
Arsis; zaidi hata wewe ni jini , nani akuonae na kukujua?Nilitoa angalizo mapema huyu si wa kumwamini,jini always ni jini,uongo ndio sehemu ya maisha yao
Safi sana bossSawa Arsis umeelewaka.
Kuhusu Adamu kuwa mtu wa kwanza hilo halijawekwa wazi katika Qur an moja kwa moja namaanisha Quran haijasema wazi kuwa Adamu ndio binadamu wa kwanza ila kuna kitu kinaitwa dalil tul aqil yaani ishara za kiakili kupitia hiyohiyo quran unaweza ona katika surat baqarah aya ya 30 ( AL BAQARAH 2:30) inasema
"وَإِذْ قَالَ رَبُّكَ لِلْمَلَائِكَةِ إِنِّي جَاعِلٌ فِي الْأَرْضِ خَلِيفَةً ۗ قَالُوا أَتَجْعَلُ فِيهَا مَنْ يُفْسِدُ فِيهَا وَيَسْفِكُ الدِّمَاءَ ۖ وَنَحْنُ نُسَبِّحُ بِحَمْدِكَ وَنُقَدِّسُ لَكَ ۗ قَالَ إِنِّي أَعْلَمُ مَا لَا تَعْلَمُونَ"
"Na Mola wako alipowaambia malaika: 'Mimi ninamteua khalifa katika ardhi,' waliposema: 'Je, utamteua mtu ambaye atatenda ufisadi humo na kumwaga damu, wakati sisi tunakusifu kwa sifa zako na tunakutakasa?' Mungu alisema: 'Mimi ninajua msiyo yajua.' "
Katika aya hii utaona Allah anawaambia malaika kuwa yeye anamteua khalifa katika ardhi hapa unaweza sema adamu kateuliwa na Mola hivyo labda huenda kuna wandamu wengine hawakuteuliwa sasa twende taratibu baada ya mola kumteua adamu aya inaendelea kusema malaika waliambiwa wamsujudie baada ya yeye kufundishwa elimu na mungu kama ilivyokatika SURA YA 2:34 AL BAQARAH
"وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ أَبَى وَاسْتَكْبَرَ وَكَانَ مِنَ الْكَافِرِينَ"
Na tuliposema kwa malaika: 'Jinyenyekeeeni kwa Adam,' walijinyenyekea isipokuwa Iblisi; alikataa na kujikweza na akawa miongoni mwa makafiri."
Mpaka hapa utaona kuwa hakuna viumbe vilivyotajwa isipokuwa ni Malaika, Adamu na Iblis hii kwanza inatupa alert kuwa Huenda adamu ni binadamu wa kwanza.
Ingawaje madai ya kuwa Adam ni binadamu wa kwanza yametolewa na wanazuoni wa tafsir na hadith hilo halina shaka hivyo madai ya kuwa adamu sio binadamu wa kwanza yanaweza kuwa kweli au kinyume chake ningependa kusikia kutoka kwako Arsis nani ni Mwanadamu wa kwanza na ushahidi uko wapi? Asante.
Arsis; Wewe una akili kuliko Allah? usijidanganye hata kidogo. Hakuitumia hio akili yake mbora wa viumbe wote aliepewa Qur'an awaletee, itakua wewe?Sawa Arsis umeelewaka.

Ndio maana kwa kulijua hilo na kwa kfuata qur'an ndio maana tunaamini maneno ya Allah kwanzaSimba; Sasa hivi tumeanza utaratibu anachosema yeye kinaanza kwa jina lake, ninachosema mimi kinaanza kwa jina langu, usimsome kama anakuchukiza.
Arsis; zaidi hata wewe ni jini , nani akuonae na kukujua?
Sema Waislam mmeshindwa kujibu kiuhusu Qur'an.
Adama kua mtu wa kwanza imeandikwa wapi? Hawa mmemtoa wapi?
Kapekue vitabu, wewe si unafundishana na Wakristo humu, nakusoma mimi.
Anawashinda yule Sheikh #@che mponda analeta uongo anaizulia Qur'an uongo mnashindwa kumjibu kielimu.
Maswali yangu kwenu yamelenga kuwafundisha elimu, mpande darja kielimu. Hivi jini gani anaweza kumpotosha mtu anaeisoma Qur'an akaielewa?> hakuna jini mwenye uwezo zaidi ya aliopewa binadam.
Arsis kupitia Simba.
Arsis; Ndio napenda, ili elimu ipanuke. Jumlikeni wote mnipige spana. Nimejua wapi niwachokonoe mje mbio mbio.Safi sana boss
Nimeipenda hii
Huyu bwana kuna haja ya kumpiga spana kuanzia sasa