Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mkuu sasa ukishindwa vita hiyo tena
Hii huwa n vita ya kuchagua upande, nothing else bro....
Ni either Black or White!!
Na huwa hakuna katikati, usipokuwa huku utakuwa kule✍️

Kwahyo ukitaka kuwa White side itabidi uingie ulingoni kuzichapa na Black side, ukizidiwa ndo hvyo inabidi uwe member!!
Ukitaka kuwa neutral itabidi ufe au ukutane na Arsis😁
(Note: Arsis = mtu mwenye elim kubwa, sio lazima awe Simba nimetumia lugha ya picha
 
Hatari sana, shukran

Arsis Swali lililoulizwa lipo kwenye mabano na jibu pia ulilotoa lipo kwenye mabano
Nguvu zipi unazomaanisha nguvu za mwili au akili au maarifa au vyote?
Tufafanunulie hapa Arsis kivipi binadamu ana nguvu kuliko jini?
Ukiangalia kwa nje ni kama majini wana nguvu kuliko binadamu nitatoa mifano:-
  • Majini wanaishi miaka mingi kuliko binadamu hivyo wameshuhudia mengi,wamejifunza mengi, wameona ambayo binadamu hatujayaona, wanaona tunayoyaona na pengine wataona tusiyoyaona hili pekee linawapa fursa wao kuwa na maarifa mengi kuliko binadamu mfano.. kwenye visa vyako ulimzungumzia jini bakora ambaye anafahamu mizizi au vijiti kama sijakosea ambavyo binadamu akitafuna haonekani, ulielezea jinsi majini walivyotoa msaada shinyanga kwa yule binti aliyekuwa na mashetani, Hapa inaonekana katika kujua au kufanya baadhi ya mambo mwanadamu anapewa msaada na hawa viumbe vipi tena sisi tuwazidi maarifa ?
  • Nimewahi shuhudia binadamu aliyekumbwa na pepo (jini mchafu) kiukweli alikuwa na nguvu sana na alikuwa mwanamke lakini wanaume wanne walishindwa kumtuliza na kumbeba alikuwa na nguvu za mwili sana hapa jini yule aliwashinda nguvu za mwili binadamu, Kama ni nguvu za kimwilihapa pia tulizidiwa. Naomba ufafanuzi.
Binaadam ananguvu kubwa kuliko jinn, ndivyo Allah alivyotaka iwe hvyo!!
Swali n je,,,, mbona sisi ni dhahifu sana tofauti na majinn?

Binaadam alipata upendeleo wa kuwa na nguvu kubwa kuliko viumbe wengine ambayo nguvu hyo humfanya kuwa mtawala Dunian (khalifa)
Na upendeleo huo ukaja na masharti mawili
A. Binaadam hatoishi umri mrefu katika ardhi
B. Nguvu hiyo binaadam hatoweza kuitumia mpaka ifunguliwe kwa taratibu maalum

Hapo tumeona kumbe binaadam nguvu anayo ndani lakini imelala✍️
Ndio utaona watu wa meditation, kundalin awakening n.k huwa wanaamini Kuna nguvu ambayo ipo ndani ya mtu anatakiwa kuiamsha
(Utaenda kusoma article zao utapata kitu)

Sasa Kuna nguvu ya asili kimaumbile katika kila kitu, hiyo nguvu inamajina tofauti tofauti kutokana na eneo au jamii husika ....... hiyo power ndio source ya kila kitu (hapa ndo tunapata nadharia ya Mungu.)
Sasa binaadam ili aweze kuwa na nguvu kuliko viumbe wengine tumesema n lazima aweze kufungua nguvu ya asili iliyopo ndani yake,,,, ambayo nguvu hiyo imefungwa na Nguvu kuu (Mungu mwenyew) pia hufunguliwa na hiyo hiyo Nguvu Kuu.

Twende taratibu..... Nguvu kuu ikampa mwanaadam sharti au mapatano au Nini afanye ili afungue nguvu yake ya ndani.... ambapo taratibu hizo binaadam tukaziita DINI

Dini ni promis za kuifikia Ile nguvu kuu...
Ndo maana dini ni nyingi lakini lengo n moja tu, kuifikia Ile Nguvu kuu

Dini ikawa n mkataba wa gain and loss baina ya binaadam na Ile Nguvu kuu... kwamba ili binaadam awe mfalme kwa viumbe wengine sharti awe mtumwa kwa Ile Nguvu kuu✍️

Kwahyo dini zote lengo n kumfika Mungu na ukimfika Mungu ndio unafungua nguvu ya asili ya binaadam...... hakuna shortcut!!

Hapa naizungumzia nguvu ya asili ya binaadam ili uwe Bora kuliko majinn kama ulivyotaka.

Note: Kutokana na uwezo wa mwanaadam kuwa n mkubwa sana ikiwa utafunguliwa..... ikabidi upite mchujo mkali ili kubakiza wachache wataokidhi vigezo haswaa
Ndio utaona Sheria karibu zoote za dini ni ngumu na zinataka ukandamize nafsi ili uvuke.... utaona unakatazwa kufanya vitu unavyopenda halafu unalazimishwa kufanya vitu usivyopenda
(Uswali mara 5 per day tena bila kusahau asubuh na baridi lake ukashike udhu😂)

Hapa n kwamba mashart lazima yawe mengi ili kuchuja vizuri sababu malipo yake n makubwa kupita kawaida

Kwahyo mwanaadam nguvu anayo ndani yake ila ili ifunguke akubali kupita kwenye katiba ya Nguvu kuu!!!

Majinn pia wanamapito Yao huko ambayo hayafanani na yetu... wao pia wananamna Yao kuifikia nguvu kuu (ambayo n hii hii moja)

Swali lako n gumu sana, ila nimejitahidi hvyohvyo kadiri nnavyoelewa
Lidafo

Vizuri Arsis ...... angechambua hilo swali maana Lina Siri nyingi tusizozijua
 
Unaelezea vizuri sana ndgu.

Hata mimi nina imani hii pia, sasa huu mvurugano wa hizi dini ,mambo mengi ya uongo yanapachikwa, hasa hizi main kwa hapa kwetu uislam na ukristo.

Nini kipo nyuma yake?
 
Hizi dini ni katiba ambayo inakupeleka kwa Mungu (kwenye ulimwengu wa kiroho)
Ndo maana zikaitwa Imani.....
Dini zote zimegawanyika kwenye maumbile mawili
A. Umbo la nje
B. Umbo la ndani

Umbo la nje.... hapa Kuna Sheria, elimu ya kusoma darasani, hapa Kuna vitabu vya kidini, hapa Kuna makatazo na basics zooote za kidini✍️
(Kwahyo hii n elim ya awali katika kumfika Mungu)

Sasa hii dini katika umbo la nje,,,, ndio humfikisha mtu katika Dini umbo la ndani
Na ukifika katika dini umbo la ndani ndio unaanza kumjua Mungu japo kidogo.... huku ndio Kuna Siri za ulimwengu, huku ndio unaanza kuziona ahadi za mwenyezi Mungu kuwa n real, huku ndio dini ya Hakika ilipo

Sasa kama dini n 100%.... Umbo la nje n 5%
Na umbo la ndani ni 95%.

Kwahyo hao waasisi wetu wa dini wengi huwa na elim ya dini katika umbo la nje.... (Ambayo n elim kidogo sana kwenye dini)
Wao huishi kwa kusoma na kusomea watu maandishi ya vitabu, ila kamwe hawagusi nguvu iliyopo nyuma ya hvyo vitabu

Jiulize swali: vitabu vya dini humpa ahadi mtu akimtegemea Mungu 100% atakuwa na maisha mazuri hapa Dunian na kesho peponi ...... ila mbona watumishi wa Mungu maostadh na waimba kwaya ndo wanaongoza kuwa na ugum wa maisha???

Ni kwamba watu wapo kwenye dini umbo la nje... ambapo bado hawajafikia hatua ya kupata ahadi za Mungu kwa ukamilifu wake

Kwahyo watumishi wa dini, wengi wao wanaelim umbo la nje kaka... ndo maana huona wanakulazimisha uamini bila kuona chochote,, sababu hawana uwezo wa kukuonesha chochote maana wao kwenye daraja ya dini na Siri zake, wapo chini kabisa!!

Jiulize kitu, Mungu n huyuhuyu toka mwanzo wa ulimwengu, ila zamani watu walifufua wafu, kuita moto kutoka mbinguni live, kupasua bahari n.k
Ila mbona Dunia ya Leo mambo hayo yamebaki story??
 
Binaadam ananguvu kubwa kuliko jinn, ndivyo Allah alivyotaka iwe hvyo!!
Swali n je,,,, mbona sisi ni dhahifu sana tofauti na majinn?

Binaadam alipata upendeleo wa kuwa na nguvu kubwa kuliko viumbe wengine ambayo nguvu hyo humfanya kuwa mtawala Dunian (khalifa)
Na upendeleo huo ukaja na masharti mawili
A. Binaadam hatoishi umri mrefu katika ardhi
B. Nguvu hiyo binaadam hatoweza kuitumia mpaka ifunguliwe kwa taratibu maalum

Hapo tumeona kumbe binaadam nguvu anayo ndani lakini imelala✍️
Ndio utaona watu wa meditation, kundalin awakening n.k huwa wanaamini Kuna nguvu ambayo ipo ndani ya mtu anatakiwa kuiamsha
(Utaenda kusoma article zao utapata kitu)

Sasa Kuna nguvu ya asili kimaumbile katika kila kitu, hiyo nguvu inamajina tofauti tofauti kutokana na eneo au jamii husika ....... hiyo power ndio source ya kila kitu (hapa ndo tunapata nadharia ya Mungu.)
Sasa binaadam ili aweze kuwa na nguvu kuliko viumbe wengine tumesema n lazima aweze kufungua nguvu ya asili iliyopo ndani yake,,,, ambayo nguvu hiyo imefungwa na Nguvu kuu (Mungu mwenyew) pia hufunguliwa na hiyo hiyo Nguvu Kuu.

Twende taratibu..... Nguvu kuu ikampa mwanaadam sharti au mapatano au Nini afanye ili afungue nguvu yake ya ndani.... ambapo taratibu hizo binaadam tukaziita DINI

Dini ni promis za kuifikia Ile nguvu kuu...
Ndo maana dini ni nyingi lakini lengo n moja tu, kuifikia Ile Nguvu kuu

Dini ikawa n mkataba wa gain and loss baina ya binaadam na Ile Nguvu kuu... kwamba ili binaadam awe mfalme kwa viumbe wengine sharti awe mtumwa kwa Ile Nguvu kuu✍️

Kwahyo dini zote lengo n kumfika Mungu na ukimfika Mungu ndio unafungua nguvu ya asili ya binaadam...... hakuna shortcut!!

Hapa naizungumzia nguvu ya asili ya binaadam ili uwe Bora kuliko majinn kama ulivyotaka.

Note: Kutokana na uwezo wa mwanaadam kuwa n mkubwa sana ikiwa utafunguliwa..... ikabidi upite mchujo mkali ili kubakiza wachache wataokidhi vigezo haswaa
Ndio utaona Sheria karibu zoote za dini ni ngumu na zinataka ukandamize nafsi ili uvuke.... utaona unakatazwa kufanya vitu unavyopenda halafu unalazimishwa kufanya vitu usivyopenda
(Uswali mara 5 per day tena bila kusahau asubuh na baridi lake ukashike udhu😂)

Hapa n kwamba mashart lazima yawe mengi ili kuchuja vizuri sababu malipo yake n makubwa kupita kawaida

Kwahyo mwanaadam nguvu anayo ndani yake ila ili ifunguke akubali kupita kwenye katiba ya Nguvu kuu!!!

Majinn pia wanamapito Yao huko ambayo hayafanani na yetu... wao pia wananamna Yao kuifikia nguvu kuu (ambayo n hii hii moja)

Swali lako n gumu sana, ila nimejitahidi hvyohvyo kadiri nnavyoelewa
Lidafo

Vizuri Arsis ...... angechambua hilo swali maana Lina Siri nyingi tusizozijua
Naam akhy umeleza vizuri sana, maelezo yanaonekana yametoka katika spiritual realm.😀😀
Nimetingwa kidogo Nikipata muda narudi kusoma kwa kutulia zaidi.
 
Dini ikawa n mkataba wa gain and loss baina ya binaadam na Ile Nguvu kuu... kwamba ili binaadam awe mfalme kwa viumbe wengine sharti awe mtumwa kwa Ile Nguvu kuu✍️
Kumbe black n white sides zote Zina mkataba, kwa hyo maamuzi ni yako na ili ufanikiwe kuipata hii nguvu ni lazima uchague upande wa kuelekea vinginevyo utakua mpenzi mtazamaji na msindikizaji hapa Ulimwenguni au Duniani.
 
Mpaka nimecheka😂.... sure, ukiwa vuguvugu hakuna neema kubwa itafika kwako ndugu!!
Labda upande mmoja uamue kukuhurumia tu

Anyway lkn 90% ya watu wote Dunian wanaishi hapa katikati.... yaan kwa mganga wanaenda na msikitin/kanisani wanaenda!!!

Watu wote waliofanikiwa huwa wanasiri ya mafanikio ambayo huwa hawapendi kuiweka hadharani.... (Wote huwa wamechagua upande na wakakubali kuwa watumishi watiifu na waaminifu kwa pande zao)

Note: Hizi nguvu mbili Black na White zote huwa zimo ndani ya mtu.... Yaan mwili wa binaadam ni kama chombo cha kuhifadhia nafsi
Ndio utaona jinn Kuna muda anaweza kukuazima mwili wako akaanza kuutumia yeye, Wakristo wakiwa katikati ya maombi utaona wanaanza kuongea lugha ya ajabu (hapa n roho ngeni imeazima mwili wao )
Pia kwa bible Kuna andiko linasema "mwili wa binaadam n hekalu la Mungu"
Zote hzo n nadharia kuwa binaadam mwili wake wote ni Kiti cha Nguvu yoyote ya Kiroho iwe nzuri au mbaya!!

Sasa ukisikia mtu ili ufanikiwe unatakiwa uchague pande maana yake seat hiyo unatakiwa uikabidhishe kwenye Nguvu unayohisi n salama kwako ikutawale Yani uipe ufalme✍️
Either seat hiyo umpe Mungu au Ibiris

(Nashindwa kuyaweka sawa haya mambo n magum sana .... jitahd kuelewa hvyohvyo ndugu
 
Kwakweli bado nipo kwenye kutafuta upande , upande wowote utakao boom nitaegemea huko daima.
 
Umeeleweka vizuri sana Mkuu!
 
Wewe unasoma nini kupata maarifa mkuu, ni hivi hivi vitabu au kuna vingine pia??

Na unasoma kwa namna gani?
 
Arsis Swali lililoulizwa lipo kwenye mabano na jibu pia ulilotoa lipo kwenye mabano
Nguvu zipi unazomaanisha nguvu za mwili au akili au maarifa au vyote?
Tufafanunulie hapa Arsis kivipi binadamu ana nguvu kuliko jini?
Ukiangalia kwa nje ni kama majini wana nguvu kuliko binadamu nitatoa mifano:-
  • Majini wanaishi miaka mingi kuliko binadamu hivyo wameshuhudia mengi,wamejifunza mengi, wameona ambayo binadamu hatujayaona, wanaona tunayoyaona na pengine wataona tusiyoyaona hili pekee linawapa fursa wao kuwa na maarifa mengi kuliko binadamu mfano.. kwenye visa vyako ulimzungumzia jini bakora ambaye anafahamu mizizi au vijiti kama sijakosea ambavyo binadamu akitafuna haonekani, ulielezea jinsi majini walivyotoa msaada shinyanga kwa yule binti aliyekuwa na mashetani, Hapa inaonekana katika kujua au kufanya baadhi ya mambo mwanadamu anapewa msaada na hawa viumbe vipi tena sisi tuwazidi maarifa ?
  • Nimewahi shuhudia binadamu aliyekumbwa na pepo (jini mchafu) kiukweli alikuwa na nguvu sana na alikuwa mwanamke lakini wanaume wanne walishindwa kumtuliza na kumbeba alikuwa na nguvu za mwili sana hapa jini yule aliwashinda nguvu za mwili binadamu, Kama ni nguvu za kimwilihapa pia tulizidiwa. Naomba ufafanuzi.
Nguvu za kila kitu za binadam ni bora zaidi.
 
Hi Simba/Arsis,
Mi niliwahi kwenda kwa Sheikh mmoja mwaka 2012 kuombewa dua kutokana na mambo yangu yalivurugika kimaisha. Sheikh akaniambia nina ufalme mkubwa. Akanipiga nyungu 3, tukachinja kondoo kisha akanipa uradi niusome kila siku kabla sijalala. Pia akaniambia nilete kanzu mpya nyeupe, kitambaa cheupe, tasbihi nyeupe na msala wa kijani na perfume. Nikavipeleka akaviombea vyote na akaniambia niwe navaa wakati nafanya ule uradi na niwe naamka kila siku usiku kuswali na hasa jumanne usiku na jumatano usiku. Baada ya kuanza huo uradi ilipofika siku ya 3 kichwa kikaanza kuwa na kizunguzungu, viungo vinajivuta vyenyewe na matatizo mengi tu. Nimehangaika karibu kila kona ya Tanzania sijapata msaada. Nimetafuta wataalamu mpaka Morocco, Tunisia, India, Canada, USA, Cameroon, etc na sijapata msaada mpaka leo hii. Nina miaka 47 sina mke wala mtoto. Nimeoa mara mbili na kila mke nilikaa nae mwaka mmoja tu. Kila nikijaribu kuoa mipango inavurugika.
Tatizo langu kubwa ni hilo kizunguzungu na nasikia kama ubongo wangu unadunda dunda.
Nifanyeje?
Umekwenda hospitali? Kama bado, fanya hivyo.
 
Mpaka nimecheka😂.... sure, ukiwa vuguvugu hakuna neema kubwa itafika kwako ndugu!!
Labda upande mmoja uamue kukuhurumia tu

Anyway lkn 90% ya watu wote Dunian wanaishi hapa katikati.... yaan kwa mganga wanaenda na msikitin/kanisani wanaenda!!!

Watu wote waliofanikiwa huwa wanasiri ya mafanikio ambayo huwa hawapendi kuiweka hadharani.... (Wote huwa wamechagua upande na wakakubali kuwa watumishi watiifu na waaminifu kwa pande zao)

Note: Hizi nguvu mbili Black na White zote huwa zimo ndani ya mtu.... Yaan mwili wa binaadam ni kama chombo cha kuhifadhia nafsi
Ndio utaona jinn Kuna muda anaweza kukuazima mwili wako akaanza kuutumia yeye, Wakristo wakiwa katikati ya maombi utaona wanaanza kuongea lugha ya ajabu (hapa n roho ngeni imeazima mwili wao )
Pia kwa bible Kuna andiko linasema "mwili wa binaadam n hekalu la Mungu"
Zote hzo n nadharia kuwa binaadam mwili wake wote ni Kiti cha Nguvu yoyote ya Kiroho iwe nzuri au mbaya!!

Sasa ukisikia mtu ili ufanikiwe unatakiwa uchague pande maana yake seat hiyo unatakiwa uikabidhishe kwenye Nguvu unayohisi n salama kwako ikutawale Yani uipe ufalme✍️
Either seat hiyo umpe Mungu au Ibiris

(Nashindwa kuyaweka sawa haya mambo n magum sana .... jitahd kuelewa hvyohvyo ndugu
Ni mtazamo kwa uelewa wako lakini sio uhalisia kwa wengi.
 
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1

Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya kimila na jadi.

Lakini hii ya safari hii ilikua kidogo yakutisha. Kijiji chenyewe kipo ufukweni kabisa na kina mito miwili inapita, mmoja Kaskazini mashariki ya kijiji, huu mkubwa kiasi na mmoja mdogo unapita kusinii ya kijiji. Kwa hio kijiji ni kama kimezungukwa na maji, maana mashariki yake ni bahari ya hindi, Kaskazini mto na kusini mto. Magharibi tu ndio kuna njia ya kwenda mpaka barabara kubwa ya lami, ambayo ipo kama kilomita 3 au 4 kutokea hapo kijijini.

Safari hii ilikua ni nzito kidogo kwa sababu niliambiwa unaweza kukaa kijijini huko wiki moja au mbili, itategemea na "babu" huko ataamua kama mambo yako tayari au bado.

Nilifatana na Baba na Mama yangu kwenye gari la nyumbani mpaka hapo barabara kuu kutokea Tanga, hapo nikakuta vijana wawili wakubwa kwangu, wananingoja na baiskeli mbili, moja ya kunipakia mimi na moja ya kupakia mizigo yangu.

Mizigo yangu kweli ilikua mingi, yangu binafsi lilikua ni begi kubwa na racksack ya mgongoni, lakini kuna maboksi kama matatu makubwa yalikua ya mama akanambia haya yote mkabidhi babu yako mkifika.

Basi tukaagana pale, wao wakanambia ukimaliza kazi yako watakuleta hapa barabarani utapanda gari za kuja Tanga, sisi utatukuta Tanga, tutakuja baada ya wiki mbili, kama utakua umemaliza kabla ya wiki mbili ukifika Tanga tusubiri. Wakaondoka zao, na mimi nikapakiwa kwenye baiskeli kama abiria, na nyingine ikafungashwa ile mizigo yetu yote, ikatangulia.

Hatukuchukua muda sana, tukafika kijijini, moja kwa moja mpaka kwa babu yangu. Babu yangu tunajuana sana, na alikua ni sahiba yangu sana, ni mtu ma story ya kizamani na mimi nilikua mdadisi sana. uzuri wa babu alikua hakwepi swali lolote utalomuuliza na alikua hamumunyi maneno, anakujibu mpaka likuingie. Nilikua namshangaa sana, kwani hakuna swali lilililokua gumu kwake.

Hata niwe na swali, mwenyewe naliona gumu kweli, nikimuuliza babu ananijibu huku ananisifia "swali zuri sana hilo", ananijibu kiurahisi kabisa, mengine huwa anachukua muda kuyajibu, mtindo wake wa kuibu ulikua kama anakusimulia hadithi, anaweza akatoka kabisa nje ya swali ulilomuuliza lakini atakuhadithia mpaka utalipata jibu. Mara nyingi akikujibu basi lazima utakua na maswali mengine mawili matatu ya kuuliza. Kwa ufupi alikua anaelewa kufungua "kichwa" kwa mujibu baba yangu.

Links za muendelezo zipo chini hapo (bofya maandishi ya buluu).

Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 2
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 3
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 4
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 5
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 6
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 7
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 8
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 9
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 10
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 11
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 12
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 13
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 14
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 15
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 16
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 17

Episode 2 Nilioyaona Dar.

Nilioyaona nilipoingia Dar. 1
Nilioyaona nilipoingia Dar. 2
Nilioyaona nilipoingia Dar. 3
Nilioyaona nilipoingia Dar. 4
Nilioyaona nilipoingia Dar. 5

Episode 3 Safari ya Shinyanga.

Safari yangu ya Shinyanga. 1
Safari yangu ya Shinyanga. 2
Safari yangu ya Shinyanga. 3
Safari yangu ya Shinyanga. 4
Safari yangu ya Shinyanga. 5
Safari yangu ya Shinyanga. 6
Safari yangu ya Shinyanga. 7.

Kisa Cha Adam.

Kisa cha Adam. Utangulizi 1
Kisa cha Adam. Utangulizi 2
Kisa cha Adam. Utangulizi 3

Rejea ya baadhi ya istilahi (terminologies) 1
Kisa cha Adam 1
Kisa cha Adam 2
Kisa cha Adam 2.1
Kisa cha Adam 2.2
Kisa cha Adam 2.3
Kisa cha Adam 2.4
Kisa cha Adam 2.5
Kisa cha Adam 2.6
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom