Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ni mtazamo kwa uelewa wako lakini sio uhalisia kwa wengi.
Hatima ya mwanaadam imegawanyika mara mbili tu mwalimu..... (Usipokuwa huku ni lazima uwe kule, either kwa kujua au kutojua!!
(Kwa Imani yangu na Wafuasi wa hivi vitabu wooote ulimwenguni lazima wakubaliane na mm
Injili, Taurat, Zaburi na Quran)

Kwa watu wa Imani zingine huwenda wanamitizamo tofauti, ila hukum ya Wafuasi wa vitabu tajwa hapo juu wanaishi chini ya hii Sheria

Na kwa upande wa majinn sijui hatima yenu ipoje.. ila kwetu binaadam huwa hatuna option namba 3
 
Mkuu nakuelewa sana uko sahihi,una madini aisee endelea kutuelimisha.
 
Hatima ya mwanaadam imegawanyika mara mbili tu mwalimu..... (Usipokuwa huku ni lazima uwe kule, either kwa kujua au kutojua!!
(Kwa Imani yangu na Wafuasi wa hivi vitabu wooote ulimwenguni lazima wakubaliane na mm
Injili, Taurat, Zaburi na Quran)

Kwa watu wa Imani zingine huwenda wanamitizamo tofauti, ila hukum ya Wafuasi wa vitabu tajwa hapo juu wanaishi chini ya hii Sheria

Na kwa upande wa majinn sijui hatima yenu ipoje.. ila kwetu binaadam huwa hatuna option namba 3
Sikuelewi unasema nini.
 
Nimeenda nilipokuwa Dubai lakini niliambiwa sina tatizo. Kuna kipindi nikiingia mall yeyote ile nilikuwa naanza kusikia kizunguzungu ndio hapo nilipoamua kwenda hospital lakini nikaonekana nipo sawa. Chanzo cha tatizo kikubwa kilikuwa ni uradi niliopewa na Sheikh mmoja ambao alisema unatokana na jina langu na nilipoanza kuusoma tu siku ya tatu tatizo likaanza hadi leo tokea 2012.
In sha Allah tutatafuta njia, tutakujulisha hapahapa.

Tumuombe Allah atufanyie wepesi.
 
Arsis Mwami Atale Lidafo
Mimi naomba niuulize jambo Moja ....

1. Huwa nikipata hela kidogo nikaweka ndani Ili nikusanye ifike kiasi Fulani Ili niweze kufanya jambo nilokusudia ,naweza Kaa hata miezi 6 haiongezeki hata Senti 10. Ila nikiitoa Ile hela mfano nikasema nifanye kidogo au ninunue vifaa vyake kwanza au ninunue baadhi ya vinavyohitajika ...kifupi nikiitoa ,napata hela na naweza timiza jambo nilopanga chini ya mwezi Mmoja. Mifumo ya hela ikafunguka tu mpaka nikashangaa nimetimiza lile jambo ndani ya muda mfupi ......Kielimu ya kiroho hii imekaaje?

2. Kuna mtu Mmoja aliniambia kwa kushangaa ....kwamba huwa akinipa hela flani labda baada ya kazi flani au akitoka semina au mafunzo, akanipa nami ninywe walau soda ....huwa anapata hela zaidi ndani ya muda mfupi kiasi kwamba akawa anawatania wadau wengine kwenye eneo letu la kazi...kwamba mpeni hela Goguryeo mtapata zaidi ....though sijui kama ni kweli ila mhusika ndo mjuzi zaidi.......Hii pia imekaaje kielimu zaidi .....?
NB. Mimi ni mtu wa Swala kiasi kidogo napambana bado walau zisimame 5 InshaAllah kwa siku. Nafikiri umenielewa hapo.
Arsis
 
Kwa kuongezea zaidi:
  • Siku ya kwanza nilipofika kwa huyu Sheikh ambae ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa sana hapa Tanzania ila yeye hapendi kuwa kwenye mitandao alichukua karatasi akaandika maneno ambayo siyajui kwa zafarani kisha akaifukisha kwenye udi halafu akaniambia nikaiweke chini ya mto na ndoto yeyote nitakayoiota nimwambie.
  • Usiku ule nikaota ndoto nipo kwenye reli ya kati baina ya Tabata na Buguruni karibu na yale mabwawa makubwa ya Sukita ya kufugia samaki nipo mimi na mwanamke mmoja ambae amekuja kwa sura ya mwanamke niliewahi kufanya nae kazi Qatar ambae ni Mromania. Kwenye ndoto amekuja kama mpenzi wangu tumekaa kwa upande wa chini wa reli kwenye kituo cha basi tukisubiri basi huku tumekumbatiana kimapenzi. Tulipoona basi linachelewa kuja tukaamua kupandisha juu tutembee na reli mpaka Buguruni maana pale tulipokuwa sio mbali na Buguruni. Wakati tunapandisha juu kabla hatujaifikia reli kuna trekta la kulimia majani likawa linapita linalima majani. Cha ajabu wakati linalima majani ukawa unatokea uyoga na baada ya hapo nikaamka. Nilipompigia simu huyo Sheikh kumuelezea nilichoota hakunipa tafsiri yake akaniambia njoo tuanze kazi na mpaka leo hii hajawahi kunielezea tafsiri yake.
  • Wakati nafanya nae tiba aliwahi kuniambia nitafute chumba ambacho atakuwa haingii mtu isipokuwa mimi na watu nitakaowaruhusu katika watu wema. Baada ya miaka 8 nilifanikiwa kujenga nyumba yangu nikamfata tena akaniambia itabidi tulitue hilo jini ulilokuwa nalo tuliweke katika hicho chumba ili uweze kufanya mambo yako vinginevyo hutokuja kufanya chochote katika maisha. Nilipoenda kumfuata aje tuifanye hiyo kazi akaniambia sasa hivi baada ya siku chache utaingia mwezi mtukufu wa Ramadhani hivyo nakuwa busy na mambo mengine kwa hiyo tusubiri hadi Ramdhani iishe ila ntawatuma vijana wangu waje kukufungulia nyumba kwanza. Akawatuma vijana wake wawili mmoja ni mwanae wakaja wakasoma dua nyumbani nikawasindikiza. Wakati nawasindikiza yule mwanae akasema we una nini ndugu yangu kuna dua chuo kizima tumehangaika nayo miezi mitatu ila ulivyokuja wewe ile siku dua ikajibu? Nikamwambia mi sijui.
  • Baada ya hapo nikaenda tena kwa yule Sheikh wa Bagamoyo maana nilikuwa nikipata fursa naenda kwenye dua nikamuelezea kisa kizima cha yule Sheikh anachotaka kuja kufanya nyumbani. Akaniambia usithubutu kumleta kwako na kama angefanikiwa kuja angekuwekea jini kwenye hicho chumba na ndio angekutawala vizuri na hata ukajikuta unamkabidhi hiyo nyumba. Usirudi tena kwake na kweli mpaka leo tokea 2020 sijakanyaga kwa yule Sheikh wala mawasiliano nae sina.
  • Mi nimezunguka kwa zaidi ya wataalamu 30 wakiwemo 6 kutoka nje ya nchi na hapa Tanzania nimezunguka Dar, Zanzibar, Mtwara, Tanga, Bagamoyo, Dodoma, Bariadi, etc na miongoni mwao waliniambia nina jini la kike kubwa sana linatoka ardhi ya 7 na wataalamu wengi huwa wanamuogopa ndio maana unaona hufanikiwi. Wengine wakasema ni jini mahaba wengine ni jini mchamungu wataalamu wamemvuruga walitaka kumchukua hivyo kila mtu kaongea lake na solution haijapatikana mpaka leo.
  • Nina miaka 47 sina mke wala mtoto. Nimeoa mara mbili South Africa na Morocco lakini wake wote kila mmoja nimeishi nao mwaka mmoja mmoja tu. Maisha yangu yapo zero hakuna ninalofanya likaenda.
  • Huo ndio ufupi wa tatizo langu.
Viumbe hao ila hii dunia hii , tufanye mema sana na kuwa waja wema tu ila iko na wenyewe
 
Mpaka nimecheka😂.... sure, ukiwa vuguvugu hakuna neema kubwa itafika kwako ndugu!!
Labda upande mmoja uamue kukuhurumia tu

Anyway lkn 90% ya watu wote Dunian wanaishi hapa katikati.... yaan kwa mganga wanaenda na msikitin/kanisani wanaenda!!!

Watu wote waliofanikiwa huwa wanasiri ya mafanikio ambayo huwa hawapendi kuiweka hadharani.... (Wote huwa wamechagua upande na wakakubali kuwa watumishi watiifu na waaminifu kwa pande zao)

Note: Hizi nguvu mbili Black na White zote huwa zimo ndani ya mtu.... Yaan mwili wa binaadam ni kama chombo cha kuhifadhia nafsi
Ndio utaona jinn Kuna muda anaweza kukuazima mwili wako akaanza kuutumia yeye, Wakristo wakiwa katikati ya maombi utaona wanaanza kuongea lugha ya ajabu (hapa n roho ngeni imeazima mwili wao )
Pia kwa bible Kuna andiko linasema "mwili wa binaadam n hekalu la Mungu"
Zote hzo n nadharia kuwa binaadam mwili wake wote ni Kiti cha Nguvu yoyote ya Kiroho iwe nzuri au mbaya!!

Sasa ukisikia mtu ili ufanikiwe unatakiwa uchague pande maana yake seat hiyo unatakiwa uikabidhishe kwenye Nguvu unayohisi n salama kwako ikutawale Yani uipe ufalme✍️
Either seat hiyo umpe Mungu au Ibiris

(Nashindwa kuyaweka sawa haya mambo n magum sana .... jitahd kuelewa hvyohvyo ndugu
Unaeleweka ndugu😁
 
Kwa kuongezea zaidi:
  • Siku ya kwanza nilipofika kwa huyu Sheikh ambae ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa sana hapa Tanzania ila yeye hapendi kuwa kwenye mitandao alichukua karatasi akaandika maneno ambayo siyajui kwa zafarani kisha akaifukisha kwenye udi halafu akaniambia nikaiweke chini ya mto na ndoto yeyote nitakayoiota nimwambie.
  • Usiku ule nikaota ndoto nipo kwenye reli ya kati baina ya Tabata na Buguruni karibu na yale mabwawa makubwa ya Sukita ya kufugia samaki nipo mimi na mwanamke mmoja ambae amekuja kwa sura ya mwanamke niliewahi kufanya nae kazi Qatar ambae ni Mromania. Kwenye ndoto amekuja kama mpenzi wangu tumekaa kwa upande wa chini wa reli kwenye kituo cha basi tukisubiri basi huku tumekumbatiana kimapenzi. Tulipoona basi linachelewa kuja tukaamua kupandisha juu tutembee na reli mpaka Buguruni maana pale tulipokuwa sio mbali na Buguruni. Wakati tunapandisha juu kabla hatujaifikia reli kuna trekta la kulimia majani likawa linapita linalima majani. Cha ajabu wakati linalima majani ukawa unatokea uyoga na baada ya hapo nikaamka. Nilipompigia simu huyo Sheikh kumuelezea nilichoota hakunipa tafsiri yake akaniambia njoo tuanze kazi na mpaka leo hii hajawahi kunielezea tafsiri yake.
  • Wakati nafanya nae tiba aliwahi kuniambia nitafute chumba ambacho atakuwa haingii mtu isipokuwa mimi na watu nitakaowaruhusu katika watu wema. Baada ya miaka 8 nilifanikiwa kujenga nyumba yangu nikamfata tena akaniambia itabidi tulitue hilo jini ulilokuwa nalo tuliweke katika hicho chumba ili uweze kufanya mambo yako vinginevyo hutokuja kufanya chochote katika maisha. Nilipoenda kumfuata aje tuifanye hiyo kazi akaniambia sasa hivi baada ya siku chache utaingia mwezi mtukufu wa Ramadhani hivyo nakuwa busy na mambo mengine kwa hiyo tusubiri hadi Ramdhani iishe ila ntawatuma vijana wangu waje kukufungulia nyumba kwanza. Akawatuma vijana wake wawili mmoja ni mwanae wakaja wakasoma dua nyumbani nikawasindikiza. Wakati nawasindikiza yule mwanae akasema we una nini ndugu yangu kuna dua chuo kizima tumehangaika nayo miezi mitatu ila ulivyokuja wewe ile siku dua ikajibu? Nikamwambia mi sijui.
  • Baada ya hapo nikaenda tena kwa yule Sheikh wa Bagamoyo maana nilikuwa nikipata fursa naenda kwenye dua nikamuelezea kisa kizima cha yule Sheikh anachotaka kuja kufanya nyumbani. Akaniambia usithubutu kumleta kwako na kama angefanikiwa kuja angekuwekea jini kwenye hicho chumba na ndio angekutawala vizuri na hata ukajikuta unamkabidhi hiyo nyumba. Usirudi tena kwake na kweli mpaka leo tokea 2020 sijakanyaga kwa yule Sheikh wala mawasiliano nae sina.
  • Mi nimezunguka kwa zaidi ya wataalamu 30 wakiwemo 6 kutoka nje ya nchi na hapa Tanzania nimezunguka Dar, Zanzibar, Mtwara, Tanga, Bagamoyo, Dodoma, Bariadi, etc na miongoni mwao waliniambia nina jini la kike kubwa sana linatoka ardhi ya 7 na wataalamu wengi huwa wanamuogopa ndio maana unaona hufanikiwi. Wengine wakasema ni jini mahaba wengine ni jini mchamungu wataalamu wamemvuruga walitaka kumchukua hivyo kila mtu kaongea lake na solution haijapatikana mpaka leo.
  • Nina miaka 47 sina mke wala mtoto. Nimeoa mara mbili South Africa na Morocco lakini wake wote kila mmoja nimeishi nao mwaka mmoja mmoja tu. Maisha yangu yapo zero hakuna ninalofanya likaenda.
  • Huo ndio ufupi wa tatizo langu.
Ibada unafanya? Hususan za salat? Kama hufanyi anza mara moja.
 
Naomba kufahamishwa jambo:
Miaka ya nyuma nilipokuwa mdogo mzee wangu alikuwa na elim flan hivi.... alipendelea kuiita elim ya malaika!!
Alikuwa ananipa story kuhusu hawa viumbe, makazi Yao, kazi zao husika, siku zao n.k
(Kwa Imani yake alikuwa ananiambia hao n malaika!!)
Mfano alikuwa anamtaja sana METATRON na Ariel

Alikuwa anajua namna ya kuwaita... (Kipindi hicho mm nilikuwa mdogo sana, akaniambia ukikua ntakufundisha kila kitu kuhusu hii elim)

Kwasasa mzee wangu kishafariki... ila kitabu alichoandika chenye elim 80% aliyokuwa nayo kipo!!
Huwa naogopa hata kukifata maana nahisi hizo elim n ushetani 🤔

Hivi hao kina METATRON, Ariel n.k ni malaika kweli au mzee alikuwa anadeal na demons??

Maana alikuwa akitaka kuwaita anafunga week nzima, Ali vyakula vyenye roho n.k ........
Halafu maneno ya kuwaita hao viumbe n lugha ya ajabu kidogo,,,, nadhani n lugha za kale
Mfano wa hii hapa chini...
("Baruch ata adonai elohim melech haolam")

Na zingine ngumu zaidi:::::

Em sema neno hapa Arsis

Hii elim sio ya gizani kweli?
 
Hii lm ina mitazamo tofauti. Kwanza kabisa iategemea uelewa na ufahamu (Arsh) ya mtu anaeliongelea au anaelisikiza.

Huwa tunaamua hiki ni nini au nini kutokana na uelewa (Arsh) zetu.

Ukubwa na upana wa "arsh" zetu hutokana na tulioyaona, yasikia, yasoma, yanusa, yaonja na kuyapitia kwa uchache au wingi wake katika maisha.

Mfano; Mtu alyeishi Alaska ambako barafu siku zote na mpaka ana miak 30 hajwahi kuona au kusikia chochote kuhusu embe mbichi za pilipili ya unga iliyochanganywa ana chumvi, hawezi kuuhisi ule ugwadu mawazoni mwake na hawezi kujawa na mate kinywani. Tofauti na mimi ninaezijuwa, ikielezewa tu mate yananijaa kinywani.
 
Asis kwakweli unatuchanya ulichoulizwa na jibu lako sinahakika kama vimewiana.
 
Naomba kufahamishwa jambo:
Miaka ya nyuma nilipokuwa mdogo mzee wangu alikuwa na elim flan hivi.... alipendelea kuiita elim ya malaika!!
Alikuwa ananipa story kuhusu hawa viumbe, makazi Yao, kazi zao husika, siku zao n.k
(Kwa Imani yake alikuwa ananiambia hao n malaika!!)
Mfano alikuwa anamtaja sana METATRON na Ariel

Alikuwa anajua namna ya kuwaita... (Kipindi hicho mm nilikuwa mdogo sana, akaniambia ukikua ntakufundisha kila kitu kuhusu hii elim)

Kwasasa mzee wangu kishafariki... ila kitabu alichoandika chenye elim 80% aliyokuwa nayo kipo!!
Huwa naogopa hata kukifata maana nahisi hizo elim n ushetani 🤔

Hivi hao kina METATRON, Ariel n.k ni malaika kweli au mzee alikuwa anadeal na demons??

Maana alikuwa akitaka kuwaita anafunga week nzima, Ali vyakula vyenye roho n.k ........
Halafu maneno ya kuwaita hao viumbe n lugha ya ajabu kidogo,,,, nadhani n lugha za kale
Mfano wa hii hapa chini...
("Baruch ata adonai elohim melech haolam")

Na zingine ngumu zaidi:::::

Em sema neno hapa Arsis

Hii elim sio ya gizani kweli?
Wakristo hao
 
Dah ...... shukraan sana!!!
Nimepata kitu kikubwa sana hapa✍️

Lakini ninaswali kupitia majibu yako haya
maelezo ulotoa sio tu jibu la swali nilouliza pekee ila n darsa Pana sana ambalo ndani yake ndio Kuna jibu la swali langu!!
(Alhamdulillah Mimi nimeelewa kiasi na pia jibu langu limelipata tayari!!)

Aina hii ya elim ambayo hupita moja kwa moja kwenye nafsi ya mtu bila kuanzia kwenye ufaham wake ...... ni elim ya aina gani??

Yani namaanisha elim ambayo wewe unakuwa umeelewa full ila huwezi kumfundisha mtu mwingine na wewe mwenyew hujui umeelewaje ni kama elim iloshushwa kichwani direct bila process za usomaji

Nakuuliza sababu majibu ya swali langu elim yake umeileta kwa namna hiyo...
(Ukitaka kuamini maneno yangu.... 90%. Ya watu wakisoma swali langu na majibu yako,,,, wataona haviendani na mwisho watasema hujajibu swali✍️
Tafsiri yake n kwamba hayo majibu ili mtu ayaelewe lazima afungue nafsi kwanza... ila akitumia ufaham pekee ataona hakuna ulichojibu

Nataka kujua hiyo n aina gani ya elim.... maana pia waalimu wangu huitumia sana wakitaka kunifundisha jambo gum
Kweli hata mimi nimeona kama vile hajajibu ulichouliza, kumbe sivyo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom